Sihukumu: mwanaume ku-post status 100 kwa siku?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Habarini ndugu Wananzengo!

Miongoni mwa vitu vinavyonishangaza na kunichukiza sana binafsi ni habits za wanaume kupenda ku post post status nyiiiiiiiingiii WhatsApp.

Kwa nini inanichukiza? Kwa sababu usipo view, ama uki mute, more of them go angry with you. Au la, wanalalamika sana hali ambayo si nzuri.

Yaani una contacts 30 active zinazo post status, kila moja ina post wastani wa 50 kwa masaa 2 au 3, imagine how much time you'll use to view them all?

Halafu, wanaume wengi wanao post post status nyingi zisizohusiana na BIASHARA, ndiyo wanaolalamika na kuwaona wote wasiotazama status zao ni 'snitches'. Huu ni ushamba. People got lots of things to do!
 
Njoo uchukue bot kaka lina view huo upumbavu wao hata kama uko offline mixer kila status inachapwa like watachanganyikiwa wao wenyewe wataanza kusema huna kazi zakufanya kazi yako ni kuview status
 
simu yake bando lake, kinachokuwasha nini?

bora yake yeye anatumia muda mwingi online anapost biashara kuliko wewe nguchiro wa kiume unaetumia muda mwingi online kufatilia maisha ya watu na udaku
 
Mwanaume analalamika watu hawaview status [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] daah hii kali mim mwenyewe mpaka ni post status labda ni misemo ya kufundisha Tena hapo mpaka nijiskie kumbe watu ndo kazi zao
 
Kama post hazihusiani na biashara basi uyo mwanaume ana vidalili vya uchoko.
 
Duh tumefika kubaya yaan usipo view status mtu anamind
 
halafu gentleman,
kumbe hata wanaume hujipost status? wanajibinua pia au wao inakuaje kwa mfano? nilikua sijui na kwakweli huwa siangalii status ya yeyote 🐒
 
Huu ni uchawi. Simu anunue yeye,bando aweke yeye halafu umpangie Cha kupost?

Kwanini u view status zake? Umelazimishwa?
 
Reactions: rr4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…