mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Habarini ndugu Wananzengo!
Miongoni mwa vitu vinavyonishangaza na kunichukiza sana binafsi ni habits za wanaume kupenda ku post post status nyiiiiiiiingiii WhatsApp.
Kwa nini inanichukiza? Kwa sababu usipo view, ama uki mute, more of them go angry with you. Au la, wanalalamika sana hali ambayo si nzuri.
Yaani una contacts 30 active zinazo post status, kila moja ina post wastani wa 50 kwa masaa 2 au 3, imagine how much time you'll use to view them all?
Halafu, wanaume wengi wanao post post status nyingi zisizohusiana na BIASHARA, ndiyo wanaolalamika na kuwaona wote wasiotazama status zao ni 'snitches'. Huu ni ushamba. People got lots of things to do!