Siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025

Siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025

Kila nikitazama maisha yanavyozidi kua magumu, watu wanavyolia na ugumu wa maisha na hali inazidi kua mbaya kuliko siku za nyuma, siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi 2025. Ugumu wa maisha hua ni sababu tosha kukiondoshea mapema chama ukombozi.

Mtapiga watu, wagombea kupitia vyama vya upinzani watapitia mateso makali sana, wataumia sana lakini mwisho wa siku ndogo ndio wakaoongoza taifa kwa msaada wa wananchi waliochoka. Polisi wanaweza kupiga na kuumiza watu lakini hawawezi kulifanya hilo nchi nzima.

Kazi kubwa iliyopo kwa wapinzani na wanaharakati wengine ni kuondoa makada wa CCM kule NEC na wakurugenzi kutosimamia Uchaguzi. Na hilo ni lazima kwa namna yeyote ile haliwezi kuachiwa, hii ni nchi yetu sote.
Cdm bhana mnapata mhahoo
 
Wewe endelea kubwabwaja huko mjini afu ikifika 2025 ccm ikishinda kwa kishindo ndio utajua imani ipo au haipo..

Tunachapa kazi 👇

Screenshot_20211004-144019.png

Screenshot_20211004-144034.png
 
Tatizo la viongozi wa upinzani wanaendesha siasa kama zima moto /utakuja kuona imebaki week moja before uchaguzi ndo wanataka kuingiza barabarani watu kudai tume huru ya uchaguzi,hapo ndo wananichoshaga sana wakati wakati sahihi ni huu
Kila nikitazama maisha yanavyozidi kua magumu, watu wanavyolia na ugumu wa maisha na hali inazidi kua mbaya kuliko siku za nyuma, siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi 2025. Ugumu wa maisha hua ni sababu tosha kukiondoshea mapema chama ukombozi.

Mtapiga watu, wagombea kupitia vyama vya upinzani watapitia mateso makali sana, wataumia sana lakini mwisho wa siku ndogo ndio wakaoongoza taifa kwa msaada wa wananchi waliochoka. Polisi wanaweza kupiga na kuumiza watu lakini hawawezi kulifanya hilo nchi nzima.

Kazi kubwa iliyopo kwa wapinzani na wanaharakati wengine ni kuondoa makada wa CCM kule NEC na wakurugenzi kutosimamia Uchaguzi. Na hilo ni lazima kwa namna yeyote ile haliwezi kuachiwa, hii ni nchi yetu sote.
 
SSH hana njaa, na wala hajawahi kuwa na njaa

Hivi unategemea nini ukimkabidhi nchi mtu mwenye njaa?

Unaposema njaa hapa unamaanisha nini?

Mwenye njaa ni nani na mwenye shibe unamjuaje?
 
Hata kwa hayati watu walilia vyuma vimekaza na akaondoka na 84%. Mama itakuwa mafuriko 2025
No this time ji tofauti. Sabaya akila mvua hakuna kiongozi wa serikali atakaye kubali kushiriki kuiba kura kwa sababu mwisho wa siku mamlaka haziwezi kumlinda. Nina uhakika kwa mifumo ya kulindana ikiisha CCM itahitaji watu kama Dkt Magufuli ili kushinda.
 
Wezi wa kura CCM hata wasiposhinda kwa wizi wao wa kila siku watajitangaza wameshinda, bila katiba kubadilishwa tukawa na tume huru na kuzuia polisiCCM na usalama msahau
 
Hata kwa hayati watu walilia vyuma vimekaza na akaondoka na 84%. Mama itakuwa mafuriko 2025

Hakushinda uchaguzi, ww sema kuwa CCM haihitaji kura kutangazwa washindi, maana tume ya uchaguzi na vyombo vya dola vipo upande wao. Wapiga kura nchi nzima hawakufika 10m, lakini ajabu Magufuli akatangazwa kushinda kwa 12m+! Kwa hapa walipofikia ccm, machafuko tu ndio njia ya kuwatoa na kunyonga wote hadharani waliokuwa wakiendesha unyama nchi hii kwa kivuli cha ukada wa ccm.
 
Hii nchi CHADEMA ikishinda tutaingia kwenye umaskini wa kutisha, kwanza wataanza kula na kugawiana keki ya Taifa hadi waje washibe tutakuwa tumepigika vya kutosha,

Kuendesha nchi sio sawa na kuendesha boda boda, anayebisha tusubiri miaka mitano tuone yule mpendwa wa zambia ndio atakuwa case study
Una akili?
 
Naona mleta mada ndio umekuwa raia wa Tanzania leo...
 
Hata Makada wa KANU huko Kenya walikuwa wanasema hakuna chama mbadala wa kuongoza Kenya. Leo hii toka KANU watoke madarakani, Kenya imeongozwa na zaidi ya chama kimoja, na Kenya ina uchumi mkubwa kuliko huu wetu unaoongozwa na chama chenye mitazamo ya karne iliyopita.
But viongozi wote wa Upinzani wa Kenya kwa sasa walikuwa ni makada waandamizi wa KANU, tunarudi kule kule kwa Nyerere, Upinzani wa kweli utatoka CCM
 
Ccm hawajawahi kushinda uchaguzi wowote na hiki alithibitisha Mzee Diallo Mwenyekiti wa CCM Mkoa! Akm
 
Back
Top Bottom