Siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025

Cdm bhana mnapata mhahoo
 
Wewe endelea kubwabwaja huko mjini afu ikifika 2025 ccm ikishinda kwa kishindo ndio utajua imani ipo au haipo..

Tunachapa kazi 👇



 
Tatizo la viongozi wa upinzani wanaendesha siasa kama zima moto /utakuja kuona imebaki week moja before uchaguzi ndo wanataka kuingiza barabarani watu kudai tume huru ya uchaguzi,hapo ndo wananichoshaga sana wakati wakati sahihi ni huu
 
SSH hana njaa, na wala hajawahi kuwa na njaa

Hivi unategemea nini ukimkabidhi nchi mtu mwenye njaa?


Unaposema njaa hapa unamaanisha nini?

Mwenye njaa ni nani na mwenye shibe unamjuaje?
 
Hata kwa hayati watu walilia vyuma vimekaza na akaondoka na 84%. Mama itakuwa mafuriko 2025
No this time ji tofauti. Sabaya akila mvua hakuna kiongozi wa serikali atakaye kubali kushiriki kuiba kura kwa sababu mwisho wa siku mamlaka haziwezi kumlinda. Nina uhakika kwa mifumo ya kulindana ikiisha CCM itahitaji watu kama Dkt Magufuli ili kushinda.
 
Wezi wa kura CCM hata wasiposhinda kwa wizi wao wa kila siku watajitangaza wameshinda, bila katiba kubadilishwa tukawa na tume huru na kuzuia polisiCCM na usalama msahau
 
Hata kwa hayati watu walilia vyuma vimekaza na akaondoka na 84%. Mama itakuwa mafuriko 2025

Hakushinda uchaguzi, ww sema kuwa CCM haihitaji kura kutangazwa washindi, maana tume ya uchaguzi na vyombo vya dola vipo upande wao. Wapiga kura nchi nzima hawakufika 10m, lakini ajabu Magufuli akatangazwa kushinda kwa 12m+! Kwa hapa walipofikia ccm, machafuko tu ndio njia ya kuwatoa na kunyonga wote hadharani waliokuwa wakiendesha unyama nchi hii kwa kivuli cha ukada wa ccm.
 
Una akili?
 
Naona mleta mada ndio umekuwa raia wa Tanzania leo...
 
But viongozi wote wa Upinzani wa Kenya kwa sasa walikuwa ni makada waandamizi wa KANU, tunarudi kule kule kwa Nyerere, Upinzani wa kweli utatoka CCM
 
Ccm hawajawahi kushinda uchaguzi wowote na hiki alithibitisha Mzee Diallo Mwenyekiti wa CCM Mkoa! Akm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…