Siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025

Eti huyu ndiye great thinker huko mbogamboga daaah, no wonder miaka 60 baada ya uhuru kule Ubungo wa mama wanauana kwenye kisima cha maji machafu...
 
Unaota mchana. Chaguzi tatu zilizopita CCM haijawahi kushinda, na upinzani haujawahi sogelea gati la ikulu.
 

Kwani lini ulifanyika uchaguzi TZ ?? Labda wakati wa mwingereza kabla uhuru
 
Utalala usingizi mzuri nchi ikiwa mikononi mwa Mbowe? Anaichezea katiba ya chama, ya nchi itakuwaje? CCM may not be good kwa sasa, ila hatuna mbadala wake!! Alitakiwa aachie hiyo post miaka 5 iliyopita, but hataki, hamna watu wenye uwezo kama yeye kuongoza chama?
 
Kwa taarifa yako hakuna mwenye akili timamu atashindwa kuongoza nchi hii. Kazi aliyoweza JK na Magufuli nani atashindwa?
 
Ubwege wa kiwango cha SGR huu,nyumbani kwenu mkiwa vilaza haimaanishi na kwa jirani ni vilaza,
 
CCM mara ya mwisho kishinda uchaguzi ni 2005[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ccm wanajivunia na kale kamamchezo kao ,japo ZAMBIA safari hii, kalishindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…