Siipendi CCM, lakini nawakumbusha wanaharakati wa Twitter kuwa huwezi kuua muziki mzuri, kujaribu kumshusha Diamond Platnumz ni uzuzu

Acha ujinga wewe! Kwani unadhani Maxence melo alikuwa mpumbavu kuruhusu watu watumie FAKE ID? Mbona wewe hutumii jina lako la kweli!!! Acha kudharau akina mama wewe! Bila mama yako leo hii usingekuwepo hapa duniani.
Huyu jinga sana achana naye
 
Hao wanaharakati wana matatizo ya kisaikolojia!
Wanajiona wao ndiyo wanahaki ya kuegemea upande moja ila siyo wana muziki! Tena wa upande mwingine! Nina uhakika angekuwa Roma wangekesha kumpigia kampeni.

Diamond apigiwe kura sababu ya muziki wake mzuri, hayo mambo ya anashabikia chama kipi wamuachie mwenyewe. Kama maovu huko upinzani hamna maovu?
 
Sababu Roma yupo kwa raia, anatetea utu, haki na heshima ya wanadamu
 
Chadema kina wajinga wajinga wengi kweli yani. Keyboard warriors mlifanya nini kipindi cha Magufuli?
 
Chadema kina wajinga wajinga wengi kweli yani. Keyboard warriors mlifanya nini kipindi cha Magufuli?

Umesikia mwenyekiti au kiongozi yeyote katoa tamko?

Tumikia akili

Kama unamtetea diamond..... weka hoja zako hapa
 
Nimekuwa lagos pia, na zaidi niko na wana wa Nigeria huku, kunapokuwa kwenye party basi Diamond anapigwa sana....anajulikana, Konde Boy pia ila siyo kama Diamond, Kiba ndiyo zero kabisa. Sorry nampenda Kiba ila huo ndiyo ukweli
 
Umesikia mwenyekiti au kiongozi yeyote katoa tamko?

Tumikia akili

Kama unamtetea diamond..... weka hoja zako hapa
Me ni shabiki wake na yeye kumuunga mkono Magufuli hakunifanyi na mimi nimuunge mkono ni vilaza kama wewe ndio darasa la saba Diamond anaweza kubadili mawazo yako ya kisiasa.
Mwenyekiti wako anaunga mkono angekuwa haungi viongozi wa chini yake wasingesapoti yanayoendelea.
 
Nimekuwa lagos pia, na zaidi niko na wana wa Nigeria huku, kunapokuwa kwenye party basi Diamond anapigwa sana....anajulikana, Konde Boy pia ila siyo kama Diamond, Kiba ndiyo zero kabisa. Sorry nampenda Kiba ila huo ndiyo ukweli

Hoja yako nini kwani ?
 
Me ni shabiki wake na yeye kumuunga mkono Magufuli hakunifanyi na mimi nimuunge mkono.
Mwenyekiti wako anaunga mkono angekuwa haungi viongozi wa chini yake wasingesapoti yanayoendelea.

Umeongea nini? Hebu rudia kusoma uone kama umeelewa mwenyewe
 
Sababu Roma yupo kwa raia, anatetea utu, haki na heshima ya wanadamu
Nani kasema Diamond hayuko kwa 'Raia'? Kama ni hivyo kwa nini mnakesha mitandao ya kijamii kupiga kampeni ya kumpinga? Si mngekaa kimya sababu hayuko kwa 'raia'.
 
Nani kasema Diamond hayuko kwa 'Raia'? Kama ni hivyo kwa nini mnakesha mitandao ya kijamii kupiga kampeni ya kumpinga? Si mngekaa kimya sababu hayuko kwa 'raia'.

Hebu weka ushahidi wowote kwa jambo lolote diamond amesimama kwa watanzania Kwenye majanga ya haki za mtanzania
 
Watu wa Twitter Republic watakusaidia kule Twitter Mkuu.
Mkuu sipo huko, nisaidie tu kaka.. Leo kwenye hili ngoja tukubaliane kutokukubaliana.. SIYO DHAMBI KIONGOZI.. Nisaide hiyo link
 
Reactions: BAK
Tutampigia sana tuu
 
Nikiona nitakutumia Mkuu. Nadhani upigaji kura utaanza rasmi June 7.
Mkuu sipo huko, nisaidie tu kaka.. Leo kwenye hili ngoja tukubaliane kutokukubaliana.. SIYO DHAMBI KIONGOZI.. Nisaide hiyo link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…