Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Huyu jinga sana achana nayeAcha ujinga wewe! Kwani unadhani Maxence melo alikuwa mpumbavu kuruhusu watu watumie FAKE ID? Mbona wewe hutumii jina lako la kweli!!! Acha kudharau akina mama wewe! Bila mama yako leo hii usingekuwepo hapa duniani.