ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kuna mtu hapo juu kamuita Chibu ake, DOMO KAYA mpaka Lip bum🤣Na wewe ukamuamini mmakonde?
Uyo kijana aungwe mkono na CCM wenzakeDiamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,
Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.
Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo nilishuhudia karibu 90% ya muziki uliokuwa unapigwa basi ulikuwa ni wa Diamond ama msanii wa kundi lake, wakizidi sana walikuwa wanapiga muziki wa Nevy Kenzo "kamatia chini".
Ni akili iliyojaa matope tu kujaribu kuzuia nyota wa pop wa Tanzania Diamond Platnumz eti asishinde tuzo za BET2021 eti kwa sababu aliiunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.
Huyu kijana nyota licha ya kwamba ana kipaji ni mtu mwenye juhudi zisizo na mfano hasa ukichukulia kwamba anatoka nchi iliyojaa vijana wavivu wa kufikiri na wasio na juhudi ya kutafuta mali.
Diamond Platnumz ameajiri vijana wengi sana na hivyo kuboresha maisha ya watanzania wengi bila ya kujali itikadi zao.
Diamond ni mfanya biashara hivyo hachagui afanye kazi na nani, hata siku CHADEMA wakija na pesa ndefu kwa nini asimuimbie Mwenyekiti Mbowe, kamanda wetu asiyetetereka?
ACHENI WIVU WA KIJINGA MUUNGENI MKONO KIJANA, LAKINI PIA MJUE KWAMBA SIYO KILA CHADEMA BASI ANAKUBALIANA NA NYIE, NA KWAMBA KILA ASIYEKUBALIANA NANYI BASI NI MATAGA.
CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
Kwani Ulaya ni mbinguni? Hata wewe ikiwa unataka kuja unaweza.Kwa hiyo mkuu upo ulaya saa hivi tunavyochati hapa[emoji134][emoji134][emoji134]
Kiongozi uiweke link maana kura yangu itaenda NigeriaSubiri tar 7 june wakifungua link tuwapige za chembe.
Kwani melo alilazimisha members kutumia fake I'd? We kama umeamus kujilipua jilipue tuone.Acha ujinga wewe! Kwani unadhani Maxence melo alikuwa mpumbavu kuruhusu watu watumie FAKE ID? Mbona wewe hutumii jina lako la kweli!!! Acha kudharau akina mama wewe! Bila mama yako leo hii usingekuwepo hapa duniani.
Kwani melo alilazimisha members kutumia fake I'd? We kama umeamus kujilipua jilipue tuone.
Kwakuendeshwa na chuki mpaka mnadhani yakwamba diamond akikosa hiyo tuzo ndio utakuwa mwisho wake kimuziki na atafilisika ...Ama kweli chuki ni ulemavu wa fikra.Acheni kumpaisha huyo mpuuzi wenu ,eti mwanamuziki mkubwa dunia wtf?? Hamonaiz alienda naija alishangaa kwamba jamaa yenu hapigwi kabisa tofauti na wanavyojitapa.
Kama yeye alihamasisha kwenye majukwaa wasiwapigie kura wanaharakati basi na yeye zamu yake wacha wanaharakati wahamasishe na yeye asipigiw kura..UBAYA UBAYA TU.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi konde gengi tunapita naye hivyo hivyo na upepo wa kisiasa ili ashuke, tunagomea na nyimbo za zuchu[emoji205][emoji1732][emoji1787]
kwahiyo waungane na mkandamizaji wa demokrasia?Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,
Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.
Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo nilishuhudia karibu 90% ya muziki uliokuwa unapigwa basi ulikuwa ni wa Diamond ama msanii wa kundi lake, wakizidi sana walikuwa wanapiga muziki wa Nevy Kenzo "kamatia chini".
Ni akili iliyojaa matope tu kujaribu kuzuia nyota wa pop wa Tanzania Diamond Platnumz eti asishinde tuzo za BET2021 eti kwa sababu aliiunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.
Huyu kijana nyota licha ya kwamba ana kipaji ni mtu mwenye juhudi zisizo na mfano hasa ukichukulia kwamba anatoka nchi iliyojaa vijana wavivu wa kufikiri na wasio na juhudi ya kutafuta mali.
Diamond Platnumz ameajiri vijana wengi sana na hivyo kuboresha maisha ya watanzania wengi bila ya kujali itikadi zao.
Diamond ni mfanya biashara hivyo hachagui afanye kazi na nani, hata siku CHADEMA wakija na pesa ndefu kwa nini asimuimbie Mwenyekiti Mbowe, kamanda wetu asiyetetereka?
ACHENI WIVU WA KIJINGA MUUNGENI MKONO KIJANA, LAKINI PIA MJUE KWAMBA SIYO KILA CHADEMA BASI ANAKUBALIANA NA NYIE, NA KWAMBA KILA ASIYEKUBALIANA NANYI BASI NI MATAGA.
CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
Ndo raha ya kuwa na exposure, sasa mtu kaishia std 7 anajua nn zaidi ya kutumika tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaharakati wenyewe wanasimamia hukuView attachment 1805129
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anapenda sifa sana huyo, yuko fake fake ndo maana hata mimi simkubali.. mtu anajisifia ana hela kuzidi wanigeria kumbe hana, anatuonaje sisi kutudangamya!
Wana haha hatareeh na hawana Pa kushika.Team domo naona wameshikwa pabaya,, wanatoa povu balaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa chawa wa domokaya wamevurugwa, [emoji23][emoji23][emoji23]Hawajasema wanamshusha bana.
Wamesema wanampigia kampeni Burnboi amshinde Diamond kwenye category husika.
Ataungwa mkono na wale anaowaunga mkono.ACHENI WIVU WA KIJINGA MUUNGENI MKONO KIJANA, LAKINI PIA MJUE KWAMBA SIYO KILA CHADEMA BASI ANAKUBALIANA NA NYIE, NA KWAMBA KILA ASIYEKUBALIANA NANYI BASI NI MATAGA.
CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
Umemaliza kila kitu.2020
Diamond- mpigieni kura Magufuli na CCM
- msiwapigie kura upinzani ni vibaraka wa mabeberu
Wanaharakati - mpigieni kura Lissu na chadema
- msiwapigie kura ccm ni wauwaji
2021
Diamond- nipigieni kura mimi na wasafi
- mimi ni msanii wa tz,kuweni wazalendo
Wanaharakati - wapigieni kura wasanii wa nigeria na watetezi wa haki za waandamanaji
- msiwapigie kura dimondi na wasafi, hawakutetea haki za binadamu
KILA MTU ATACHAGUA MLANGO WA KUTOKEA
CASE CLOSED
Kwakuendeshwa na chuki mpaka mnadhani yakwamba diamond akikosa hiyo tuzo ndio utakuwa mwisho wake kimuziki na atafilisika ...Ama kweli chuki ni ulemavu wa fikra.