Siipendi CCM, lakini nawakumbusha wanaharakati wa Twitter kuwa huwezi kuua muziki mzuri, kujaribu kumshusha Diamond Platnumz ni uzuzu

2020
Diamond- mpigieni kura Magufuli na CCM
- msiwapigie kura upinzani ni vibaraka wa mabeberu

Wanaharakati - mpigieni kura Lissu na chadema
- msiwapigie kura ccm ni wauwaji

2021
Diamond- nipigieni kura mimi na wasafi
- mimi ni msanii wa tz,kuweni wazalendo

Wanaharakati - wapigieni kura wasanii wa nigeria na watetezi wa haki za waandamanaji
- msiwapigie kura dimondi na wasafi, hawakutetea haki za binadamu

KILA MTU ATACHAGUA MLANGO WA KUTOKEA

CASE CLOSED
 
Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,

Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.

Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo nilishuhudia karibu 90% ya muziki uliokuwa unapigwa basi ulikuwa ni wa Diamond ama msanii wa kundi lake, wakizidi sana walikuwa wanapiga muziki wa Nevy Kenzo "kamatia chini".

Ni akili iliyojaa matope tu kujaribu kuzuia nyota wa pop wa Tanzania Diamond Platnumz eti asishinde tuzo za BET2021 eti kwa sababu aliiunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.

Huyu kijana nyota licha ya kwamba ana kipaji ni mtu mwenye juhudi zisizo na mfano hasa ukichukulia kwamba anatoka nchi iliyojaa vijana wavivu wa kufikiri na wasio na juhudi ya kutafuta mali.

Diamond Platnumz ameajiri vijana wengi sana na hivyo kuboresha maisha ya watanzania wengi bila ya kujali itikadi zao.

Diamond ni mfanya biashara hivyo hachagui afanye kazi na nani, hata siku CHADEMA wakija na pesa ndefu kwa nini asimuimbie Mwenyekiti Mbowe, kamanda wetu asiyetetereka?

ACHENI WIVU WA KIJINGA MUUNGENI MKONO KIJANA, LAKINI PIA MJUE KWAMBA SIYO KILA CHADEMA BASI ANAKUBALIANA NA NYIE, NA KWAMBA KILA ASIYEKUBALIANA NANYI BASI NI MATAGA.

CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
Uyo kijana aungwe mkono na CCM wenzake
 
Acha ujinga wewe! Kwani unadhani Maxence melo alikuwa mpumbavu kuruhusu watu watumie FAKE ID? Mbona wewe hutumii jina lako la kweli!!! Acha kudharau akina mama wewe! Bila mama yako leo hii usingekuwepo hapa duniani.
Kwani melo alilazimisha members kutumia fake I'd? We kama umeamus kujilipua jilipue tuone.
 
Acha ujinga! Hata kusoma hujui! Wapi nilipoandika kwamba Maxence kalazimisha chochote humu! Soma kwa kituo acha KUKURUPUKA!
Kwani melo alilazimisha members kutumia fake I'd? We kama umeamus kujilipua jilipue tuone.
 
Acheni kumpaisha huyo mpuuzi wenu ,eti mwanamuziki mkubwa dunia wtf?? Hamonaiz alienda naija alishangaa kwamba jamaa yenu hapigwi kabisa tofauti na wanavyojitapa.

Kama yeye alihamasisha kwenye majukwaa wasiwapigie kura wanaharakati basi na yeye zamu yake wacha wanaharakati wahamasishe na yeye asipigiw kura..UBAYA UBAYA TU.
Kwakuendeshwa na chuki mpaka mnadhani yakwamba diamond akikosa hiyo tuzo ndio utakuwa mwisho wake kimuziki na atafilisika ...Ama kweli chuki ni ulemavu wa fikra.
 
Sisi konde gengi tunapita naye hivyo hivyo na upepo wa kisiasa ili ashuke, tunagomea na nyimbo za zuchu[emoji205][emoji1732][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,

Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.

Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo nilishuhudia karibu 90% ya muziki uliokuwa unapigwa basi ulikuwa ni wa Diamond ama msanii wa kundi lake, wakizidi sana walikuwa wanapiga muziki wa Nevy Kenzo "kamatia chini".

Ni akili iliyojaa matope tu kujaribu kuzuia nyota wa pop wa Tanzania Diamond Platnumz eti asishinde tuzo za BET2021 eti kwa sababu aliiunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.

Huyu kijana nyota licha ya kwamba ana kipaji ni mtu mwenye juhudi zisizo na mfano hasa ukichukulia kwamba anatoka nchi iliyojaa vijana wavivu wa kufikiri na wasio na juhudi ya kutafuta mali.

Diamond Platnumz ameajiri vijana wengi sana na hivyo kuboresha maisha ya watanzania wengi bila ya kujali itikadi zao.

Diamond ni mfanya biashara hivyo hachagui afanye kazi na nani, hata siku CHADEMA wakija na pesa ndefu kwa nini asimuimbie Mwenyekiti Mbowe, kamanda wetu asiyetetereka?

ACHENI WIVU WA KIJINGA MUUNGENI MKONO KIJANA, LAKINI PIA MJUE KWAMBA SIYO KILA CHADEMA BASI ANAKUBALIANA NA NYIE, NA KWAMBA KILA ASIYEKUBALIANA NANYI BASI NI MATAGA.

CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
kwahiyo waungane na mkandamizaji wa demokrasia?
 
Mjinga siyo sisi tunaompinga, mjinga mkubwa ni wewe ambaye unataka tuwaze kama wewe wakati we wenyewe huna akili
 
ACHENI WIVU WA KIJINGA MUUNGENI MKONO KIJANA, LAKINI PIA MJUE KWAMBA SIYO KILA CHADEMA BASI ANAKUBALIANA NA NYIE, NA KWAMBA KILA ASIYEKUBALIANA NANYI BASI NI MATAGA.

CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
Ataungwa mkono na wale anaowaunga mkono.
 
2020
Diamond- mpigieni kura Magufuli na CCM
- msiwapigie kura upinzani ni vibaraka wa mabeberu

Wanaharakati - mpigieni kura Lissu na chadema
- msiwapigie kura ccm ni wauwaji

2021
Diamond- nipigieni kura mimi na wasafi
- mimi ni msanii wa tz,kuweni wazalendo

Wanaharakati - wapigieni kura wasanii wa nigeria na watetezi wa haki za waandamanaji
- msiwapigie kura dimondi na wasafi, hawakutetea haki za binadamu

KILA MTU ATACHAGUA MLANGO WA KUTOKEA

CASE CLOSED
Umemaliza kila kitu.
 
Kwakuendeshwa na chuki mpaka mnadhani yakwamba diamond akikosa hiyo tuzo ndio utakuwa mwisho wake kimuziki na atafilisika ...Ama kweli chuki ni ulemavu wa fikra.

Na yeye alivyokuwa anasema watu wasichague chadema alifikiri ndio itakuwa mwisho wa CHADEMA? Yeye mwenyewe hajawahi hata siku moja kuwa mzalendo zaidi ya mchumia tumbo...Ashinde asisishinde atajijua mwenyewe ila nachojua tarehe 7 june kura kwa Bunaboi.
 
Back
Top Bottom