Siipendi CCM, lakini nawakumbusha wanaharakati wa Twitter kuwa huwezi kuua muziki mzuri, kujaribu kumshusha Diamond Platnumz ni uzuzu

Acheni kumpaisha huyo mpuuzi wenu ,eti mwanamuziki mkubwa dunia wtf?? Hamonaiz alienda naija alishangaa kwamba jamaa yenu hapigwi kabisa tofauti na wanavyojitapa.

Kama yeye alihamasisha kwenye majukwaa wasiwapigie kura wanaharakati basi na yeye zamu yake wacha wanaharakati wahamasishe na yeye asipigiw kura..UBAYA UBAYA TU.
😂😂😂 We jamaa bna ni sawa na kuamini kua kuna siku lisu atamsema kwa mema mwendazake. We ulitegemea harmonize amsifie mondi. Jiongeze basi
 
Alizungumzia in general hata na yeye included......Domo alimsagia kunguni darasa alipoenda UAE.
 
Jamaa ni no. 1 Tz bna watanzania tuache hizi husda za kuchukia watu wenye mafaniki na kuwazushia na kuwataftia team za kupambana nao, maneno ya kejeli na vitu ka hivyo.
 
Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,

Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.

Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo nilishuhudia karibu 90% ya muziki uliokuwa unapigwa basi ulikuwa ni wa Diamond ama msanii wa kundi lake, wakizidi sana walikuwa wanapiga muziki wa Nevy Kenzo "kamatia chini".

Ni akili iliyojaa matope tu kujaribu kuzuia nyota wa pop wa Tanzania Diamond Platnumz eti asishinde tuzo za BET2021 eti kwa sababu aliiunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.

Huyu kijana nyota licha ya kwamba ana kipaji ni mtu mwenye juhudi zisizo na mfano hasa ukichukulia kwamba anatoka nchi iliyojaa vijana wavivu wa kufikiri na wasio na juhudi ya kutafuta mali.

Diamond Platnumz ameajiri vijana wengi sana na hivyo kuboresha maisha ya watanzania wengi bila ya kujali itikadi zao.

Diamond ni mfanya biashara hivyo hachagui afanye kazi na nani, hata siku CHADEMA wakija na pesa ndefu kwa nini asimuimbie Mwenyekiti Mbowe, kamanda wetu asiyetetereka?

ACHENI WIVU WA KIJINGA MUUNGENI MKONO KIJANA, LAKINI PIA MJUE KWAMBA SIYO KILA CHADEMA BASI ANAKUBALIANA NA NYIE, NA KWAMBA KILA ASIYEKUBALIANA NANYI BASI NI MATAGA.

CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
Mkuu usitumie nguvu kutaka kubadirisha opions za watu kwa mtu. Hizi ni complex issues.
 
Jamaa ni no. 1 Tz bna watanzania tuache hizi husda za kuchukia watu wenye mafaniki na kuwazushia na kuwataftia team za kupambana nao, maneno ya kejeli na vitu ka hivyo.

Hata na yeye ni mnafiki aka mchawi , ma promota wanamtafuta darasa domo akamsagia kunguni ,malipo ni hapa hapa.....Muite domo majina yote tuseme ni msanii namba moja duniani na msanii tajiri namba moja duniani au siyo hapo ushafurahi nadhani.
 
😂😂😂 Broo mbona una hasira namna hiyo, ndo ivo jamaa kashatusua hamna namna huo uchawi wake na unafki wake ni vyake mkuu na labda ni tabia yake hatuwezi jua. Sie twaangalia tumemfahamia wapi ni kazi zake na sio huo unafki na uchawi hayo mengine wataongea na darasa mwenyewe au wewe ndo darasa mkuu.

Kama unajua unajua tu ndgu yangu jamaa kazibwa na kuzinguliwa mara ngapi na media kubwa bado katusua tu, huyo darasa asitafute sababu apambanee kama mwenzie.
 
Sina hasira zozote mkuu,issue zangu huwa haziingiliani na domo kwa 100% ,hivyo awe na pesa au aiswe na pesa mimi haini athiri hata nukta.....afanikiwe au asifanikiwe mimi haini athiri , abaniwe au asibaniwe redioni mimi haini athiri.

Hapa natoa tu maoni kama yeye alisema watu wasiichague chadema na sisi tunasema watu wampigie kura bunaboi ,kwani kuna tatizo hapo? Kwanini mnatulazimisha tumpigie kura?
 
Unasema mondi ni mwanamuziki mkubwa duniani halafu ukaishia kutoa mfano ulipokua kenya tu daaah[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Vijana mnaomshabikia uyu dogo sijui mna matatizo gani kwanini mnalazimisha watu wote wamshabikie msanii wenu aisee.ebu acheni ushamba basi Kama mtu hataki anampigia kura mtu anaemtaka just leave it na mjue Kuna Mambo ya msingi kabisa ya kitaifa lkn huwa hatuwi wamoja ndo tuje tuwe wamoja kwenye Mambo ya kijinga ya tuzo.kwani akipata iyo tuzo sisi inatusaidia nini Kama watanzania au akikosa tutapungukiwa nini mpk tuonekana sio wazalendo.
 
Jamaa ni no. 1 Tz bna watanzania tuache hizi husda za kuchukia watu wenye mafaniki na kuwazushia na kuwataftia team za kupambana nao, maneno ya kejeli na vitu ka hivyo.
Kama Ni kweli tunawachukia watu wenye mafanikio tungemchukia bakhresa,Mo dewji ,Rostam maana hao Wana hela nyingi kuliko uyo dogo.hatupendi Mambo yake ya kijinga tu. Nyie mnaopenda ujinga wake mpigieni kura ashinde kwani tatizo liko wapi mpk mnalalamika sana
 
Unasema mondi ni mwanamuziki mkubwa duniani halafu ukaishia kutoa mfano ulipokua kenya tu daaah[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Chawa wa domokaya wamevurugwa round hii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata na yeye ni mnafiki aka mchawi , ma promota wanamtafuta darasa domo akamsagia kunguni ,malipo ni hapa hapa.....Muite domo majina yote tuseme ni msanii namba moja duniani na msanii tajiri namba moja duniani au siyo hapo ushafurahi nadhani.
Mbona Darasa amekataa hizo habari!!🧐
 
mada 2.PNG
 
Kama Ni kweli tunawachukia watu wenye mafanikio tungemchukia bakhresa,Mo dewji ,Rostam maana hao Wana hela nyingi kuliko uyo dogo.hatupendi Mambo yake ya kijinga tu. Nyie mnaopenda ujinga wake mpigieni kura ashinde kwani tatizo liko wapi mpk mnalalamika sana
Hao kina Rostam na kina bakhera huwezi kuwachukia kwasababu huoni show off zao mzebaba, kubali kataa wabongo chuki nyingi, we umchukie vp Rostam kiumri hamuendani, rika tofauti kabisaa.

Kua na pesa ni ujinga namna gani wewe kijana. Mwache ale maisha pesa kasaka mwenyewe mnamuamulia namna ya kuzitumia, uswahili mwingi sana kwako ndgu.
Enewei acha nikaongeze kura yangu
 
Sina hasira zozote mkuu,issue zangu huwa haziingiliani na domo kwa 100% ,hivyo awe na pesa au aiswe na pesa mimi haini athiri hata nukta.....afanikiwe au asifanikiwe mimi haini athiri , abaniwe au asibaniwe redioni mimi haini athiri.

Hapa natoa tu maoni kama yeye alisema watu wasiichague chadema na sisi tunasema watu wampigie kura bunaboi ,kwani kuna tatizo hapo? Kwanini mnatulazimisha tumpigie kura?
Hakuna aliekulazimisha mkuu, unahamasishwa na yeye alihamasisha watu waipigie kura ccm hakuwashkia mtutu wala wewe hujashkiwa mtutu ila tu unahamasishwa/unashawishiwa wala sio lazima, elewa hilo kwanza.

Mpigie hata burna boy ni vile unapendezwa na uimbaji wake mkuu, hata mimi kama angekua kawekwa msanii ambae simkubali na mimi ningefanya uamuzi kama wako.
 
Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,

Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.

Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo nilishuhudia karibu 90% ya muziki uliokuwa unapigwa basi ulikuwa ni wa Diamond ama msanii wa kundi lake, wakizidi sana walikuwa wanapiga muziki wa Nevy Kenzo "kamatia chini".

Ni akili iliyojaa matope tu kujaribu kuzuia nyota wa pop wa Tanzania Diamond Platnumz eti asishinde tuzo za BET2021 eti kwa sababu aliiunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.

Huyu kijana nyota licha ya kwamba ana kipaji ni mtu mwenye juhudi zisizo na mfano hasa ukichukulia kwamba anatoka nchi iliyojaa vijana wavivu wa kufikiri na wasio na juhudi ya kutafuta mali.

Diamond Platnumz ameajiri vijana wengi sana na hivyo kuboresha maisha ya watanzania wengi bila ya kujali itikadi zao.

Diamond ni mfanya biashara hivyo hachagui afanye kazi na nani, hata siku CHADEMA wakija na pesa ndefu kwa nini asimuimbie Mwenyekiti Mbowe, kamanda wetu asiyetetereka?

ACHENI WIVU WA KIJINGA MUUNGENI MKONO KIJANA, LAKINI PIA MJUE KWAMBA SIYO KILA CHADEMA BASI ANAKUBALIANA NA NYIE, NA KWAMBA KILA ASIYEKUBALIANA NANYI BASI NI MATAGA.

CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
Nenda tweeter ikatweet hivyo
 
Hao kina Rostam na kina bakhera huwezi kuwachukia kwasababu huoni show off zao mzebaba, kubali kataa wabongo chuki nyingi, we umchukie vp Rostam kiumri hamuendani, rika tofauti kabisaa.

Kua na pesa ni ujinga namna gani wewe kijana. Mwache ale maisha pesa kasaka mwenyewe mnamuamulia namna ya kuzitumia, uswahili mwingi sana kwako ndgu.
Enewei acha nikaongeze kura yangu
Show off gani ,ushamba tu unamsumbua uyo dogo.Ebu acheni kumpa kichwa nyie ndo mnamharibu Kama unapenda mziiki wake mpigie kura sio kuja na stori za kwamba Ana hela sijui ndo maana tunamchukia hela zake zinanisaidia Nini mimi awe Hana anazo sitaki hata kujua but the point is watu wote hatuwezi kufata anachotaka uyo dogo msitulazimishe .
 
Back
Top Bottom