Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

Au ndio ile ID yako ya mafichoni😁
Wewe cazee una shida gani? Mbona unafukua makaburi ya watu… ujue imebidi nianze kusoma upya uzi hata sikumbuki km niliwahi kuchangia 😹😹😹

Acha ukorofi basi najua unachokichimba mfyuuu.!! 🤣
 
Wewe cazee una shida gani? Mbona unafukua makaburi ya watu… ujue imebidi nianze kusoma upya uzi hata sikumbuki km niliwahi kuchangia 😹😹😹

Acha ukorofi basi najua unachokichimba mfyuuu.!! 🤣
😆😆😆😆😆😆😆
 
siku mwanamke apasue simu yangu aajuta kuijua hii dunia kaja kufanya nini.
 
Mke wangu yupo kama wewe kabisa kwa kila kitu ulichokisema,na mim nimpole kama huyo jamaa na kaumalaya ninako kadogo ila muda mwingine huwa nafanya makusud kutokana na huyu mwanamke kunisingizia mambo ambayo sijafanya sasa kuna wakat naamua kufanya sasa,maana huwa anatunga uongo kuwa nimetembea na fulani na anaukazia

Au anaweza kupewa kastory huko anakaamin mia asilimia,pia huwa anapenda kujiliza sana yaan naweza ongea kitu fulani tu mara ghafla anaanza kutoa machozi

Kaenda kujifungua nataka talaka yake aipate huko huko
 
Mi ndo maana sitaki kwenda kujifungulia kwetu, mambo ya kutumiwa talaka kwenye parcel sitaki.
Eti wifi Lamomy na huu mdomo wangu nikisafiri wiki si huyu mwanaume simkuti 🤣🤣🤣🤣
 
Mi ndo maana sitaki kwenda kujifungulia kwetu, mambo ya kutumiwa talaka kwenye parcel sitaki.
Eti wifi Lamomy na huu mdomo wangu nikisafiri wiki si huyu mwanaume simkuti 🤣🤣🤣🤣
Tena wifi usikubali kujifungulia kwenu, km siku zimekaribia wewe nambie nije nikukande uzazi huko huko..!!
Tusije kubebewa mume tukachambwa 😹😹😹
 
dada njoo inbox ntakusaidia hiyo hali itaisha,ntakusaidia bure na bila masharti yoyote yale
 
Tatizo lako dogo sana tafuta mkuliya wako safi mtafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…