Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

Kama unaota unafanya ngono ujue una jini mahaba ,ndo linakufarakanisha na wanaume.
Kiingereza wanaita spiritual husband,
ukitaka kujua nisemayo ni kweli angalia mahusiano yako na wanawake wenzio au wanaume ambao hamna mahusiano ya kimapenzi.Ukikuta watu hao mko poa ujue hilo jini mahaba linataka ukae peke yako maana nalo ni mme lina wivu na wanaume wengine.
Dawa ni kimbilia kwenye maombi walifukuze.
 
We wala hujashindikana unajikuta katikati ya Mapopoma tu, we dawa ni kukuzibua kama mwizi na kuzibua vyema sikio la chini utanyooka tu. Yaan ni kuwambwa makofi kama kibaka mbona utanyooka
 
Kila mwanamke ana bonding habit kwa mwanamme wake, hiyo bonding huwa inapungua kulingana na wanaume anaokuwa nao kwenye mahusiano.

Mwanamke bikira ana bonding habit kubwa kwa mme wake kuliko mwanamke aliyedate na wanaume zaidi ya mmoja.

Tatizo lako ni kwamba, wewe umepitia mahusiano mengi ambayo yamekubadilisha tabia na kuwa mtu tofauti hii ni kulingana na experiences mbalimbali ulizokuwa unazipata kwa wanaume mbalimbali. Mwishowe hizo experiences unataka uzipate kwa mwanamme mmoja kitu ambacho hakiwezekani ndo maana unakuwa na hasira.

Mfano kama ulidate na mwanamme mgomvi, ambaye ukizingua anakudunda, mkiachana lazima utamis kipigo chake. Kama ulidate na mwanamme anayekukunja style tofauti tofauti na hajali, mkiachana lazima utamis pigo zake. Kama ulidate na mwanamme mwenye wanawake wengi na alikuwa anakuumiza mara kwa mara, mkiachana lazima kuna moments utammisi.

Sasa hizo mixed feelings ukitaka uzipate kwa mwanamme mmoja lazima utazikosa na kukaa naye unaona anakunyima uhuru. Wewe kubaliana na hali yako kwamba huwezi ishi na mwqnamme mmoja.
 
Jini mahaba au Afya ya akili.
 
Mpe tiGo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…