Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndoa ni ngumu jaribu upweke, ndipo utakuja kugundua hamna kitu kibaya kama upweke.wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona.
Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti...
Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa nimegundua ninatatizo na najichukia lkn siwezi kujicontrol
2013 niliolewa na kijana mzuri anakazi nzuri lkn tuliishi miez 2 tu nikaondoka na mimba juu ya miez 6.
Tatizo nililonalo mkorofi, yan mbabe ukikaa vibaya mwanaume tunashikana tupigane,, au nichukue kitu nikupige nacho ninamaneno nikianza kuongea shombo hata usiku kucha. Mwanzo sikujua tatizo nn niliishia kuwalaumu wanaume na kujiona ninamkosi lkn seriously mi sio mwanamke wa kuishi na mwanaume aisee ...
Mungu kanibariki sura nzuri nyota ya kupata wanaume wa kuniona wapole na wenye kipato kizuri tu tatizo wanakimbia tabia.
2017 nikapata mume mwingine mpole kaka wa watu japo anakaumalaya lkn nimtu peace sana tumezaa mtoto 1,, kaka anapata tabu huyu jaman.
Tunaweza kaa vizuri tu gafla kuna hali inanitokea ya kuanzisha ugomvi tu ambao haueleweki nitalia usiku kucha.
Nikikuta msg ya mwanamke kwenye cm nitapasua cm yake, vitu ndan navunja ...baada ya muda hali inapotea naanza kujuta nalia.
Nikikaa wiki mbili bila ugomvi gafla from no where natafuta ugomvi tu bila sababu yani nikiwaza tu kwamba tunasiku nyingi hatujagombana kosa la jinai halafu baada ya muda mfupi narudi kwenye hali ya kawaida ya kujuta sana na kushangaa kwann nimefanya haya.
Nimekaa nae nimemwambia tuachane maana naona namtesa kaka wa watu lkn hataki unakuta sipendi kua hivi ananiambia anaimani ipo siku nitabadilika.
Mi naona atachoka tu nayeye hata hivyo kanivumilia sana sijui kwann hataki kukubali kuachana
Inaniuma tumeishi tangu 2017 maisha haya haya bila ndoa lkn cha ajabu anataka tuandikishe ndoa tubariki nashindwa kuelewa yeye hachoki haya maisha? Sio mchoyo, ananipa kilakitu kilichondani ya uwezo wake lkn muda wote nalalamika tu.
yeye weakness yake anapenda wanawake na akiwa nao kwenye mahusiano analalamika namnyanyasa mi roho inaniuma namwambia sababu tulianza 0 kwa sasa tunamafanikio na hiyo inatokana na akili yangu ya maendeleo. Nimemwambia anipe mil 5 tu kama mtaji, nyumba nimwachie na viwanja, mifugo lakini hataki kuachana na mimi anasema wewe ni mke wangu hakuna kwenda popote
Kunakipindi alitembea na rafiki yangu tangu nilipogundua hali ndio ikazidi ya ukorofi ni miez 7 lkn nikikumbuka naanzisha ugomvi as if ndio nimemfumania leo..
Nifanyeje jmn either nikae Sawa au niondoke bàdo mapema maana huyu siku akichoka sijui atanifanya nn.
Akipokea mshahara wote ananipa anachukua ya matumiz yake nyingine ananipa mimi ndio napanga ya kula nyingine naweka akiba...kiufupi namimi mbali na hii tabia, nimwanamke wa maendeleo napambana pia nina akili ya maisha hii imetupelekea kupata maendeleo ndani ya muda mfupi..
Huyo kijana unayemsumbua ni mtu wa pwani??

huyu wa kwangu au mtoa madaHuyu ameathirika na aina ya malezi aliyoyapata katika makuzi yake,kama sio hilo basi atakua na matatizo ya akili.
Hii ndio busara sasa,Big up sana.Mimi naona sio roho ya ugomvi ni kiburi cha kupendwa,wanawake tukipendwa Huwa tunaona wanaotupenda ni mafala tu na hata tukiachana tutapata mwingine
Hiyo mindset tu hakuna mapepo badili mtazamo muone mumeo kama kitu Cha thamani licha unajua kuwa ni dhaifu kwako
Fanya mazoez ya kuongea maneno mazuri Kwa mwenzio kma huwez google huko utayapata,fanya zoez Hilo hata Kwa mwezi mmoja utaona mabadiliko
Kuwq mwepes kuomba msamaha pia
Mungu akufanyie wepesi my dear
ShukraniHii ndio busara sasa,Big up sana.
Hamna jini wala nini ni malezi aliyolelewaKimbilia KWENYE maombi wakamtoe jini
Namimi ni mhaya aisee na mama yangu aliniambia mama yake alikua hivi yan bibi yangu,,, bahati yake alipata mwanaume anaempenda sana mpaka kumpikia anampikia na kumtengea.....mi siyataki haya mambo nataman niwe mke mwemawewe huna tofauti na mama yangu mkubwa, mama yangu mkubwa ni mtu mwenye dharau, hupenda sana kutoa maneno ya kejeli kiukweli hana kitu, ni mtu wa kanda ya ziwa (mhaya) nahisi ili nalo linachangia , ni mbabe hupenda sana kumpelekesha mwanaume anaekuwa nae hali hii imepelekea kuwa single mother wa watoto wanne, nikimchunguza huwa naona kama kuna mambo flani ya kimila ndio huwa yanamuendesha....natamani nimsaidie lakini hasaidiki kwa sababu ni mbishi kwelikweli😁😁......solution sasa wewe mkuu rudi kwa wazazi wako kama bado wapo hai waeleze hiyo hali utapata msaada, lakini pia njoo pm kuna kitu zaidi naweza kukusaidia
@lady in action pole sana dada,nnae dada nimezaa nae anatabia copy nakupaste kama zako,tofauti yake yy nimgomvi hata kwa watu wengine,hadi ndani ya familia yake,nikiri kukutana namtu wa aina yakoNamimi ni mhaya aisee na mama yangu aliniambia mama yake alikua hivi yan bibi yangu,,, bahati yake alipata mwanaume anaempenda sana mpaka kumpikia anampikia na kumtengea.....mi siyataki haya mambo nataman niwe mke mwema
wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona.
Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti...
Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa nimegundua ninatatizo na najichukia lkn siwezi kujicontrol
2013 niliolewa na kijana mzuri anakazi nzuri lkn tuliishi miez 2 tu nikaondoka na mimba juu ya miez 6.
Tatizo nililonalo mkorofi, yan mbabe ukikaa vibaya mwanaume tunashikana tupigane,, au nichukue kitu nikupige nacho ninamaneno nikianza kuongea shombo hata usiku kucha. Mwanzo sikujua tatizo nn niliishia kuwalaumu wanaume na kujiona ninamkosi lkn seriously mi sio mwanamke wa kuishi na mwanaume aisee ...
Mungu kanibariki sura nzuri nyota ya kupata wanaume wa kuniona wapole na wenye kipato kizuri tu tatizo wanakimbia tabia.
2017 nikapata mume mwingine mpole kaka wa watu japo anakaumalaya lkn nimtu peace sana tumezaa mtoto 1,, kaka anapata tabu huyu jaman.
Tunaweza kaa vizuri tu gafla kuna hali inanitokea ya kuanzisha ugomvi tu ambao haueleweki nitalia usiku kucha.
Nikikuta msg ya mwanamke kwenye cm nitapasua cm yake, vitu ndan navunja ...baada ya muda hali inapotea naanza kujuta nalia.
Nikikaa wiki mbili bila ugomvi gafla from no where natafuta ugomvi tu bila sababu yani nikiwaza tu kwamba tunasiku nyingi hatujagombana kosa la jinai halafu baada ya muda mfupi narudi kwenye hali ya kawaida ya kujuta sana na kushangaa kwann nimefanya haya.
Nimekaa nae nimemwambia tuachane maana naona namtesa kaka wa watu lkn hataki unakuta sipendi kua hivi ananiambia anaimani ipo siku nitabadilika.
Mi naona atachoka tu nayeye hata hivyo kanivumilia sana sijui kwann hataki kukubali kuachana
Inaniuma tumeishi tangu 2017 maisha haya haya bila ndoa lkn cha ajabu anataka tuandikishe ndoa tubariki nashindwa kuelewa yeye hachoki haya maisha? Sio mchoyo, ananipa kilakitu kilichondani ya uwezo wake lkn muda wote nalalamika tu.
yeye weakness yake anapenda wanawake na akiwa nao kwenye mahusiano analalamika namnyanyasa mi roho inaniuma namwambia sababu tulianza 0 kwa sasa tunamafanikio na hiyo inatokana na akili yangu ya maendeleo. Nimemwambia anipe mil 5 tu kama mtaji, nyumba nimwachie na viwanja, mifugo lakini hataki kuachana na mimi anasema wewe ni mke wangu hakuna kwenda popote
Kunakipindi alitembea na rafiki yangu tangu nilipogundua hali ndio ikazidi ya ukorofi ni miez 7 lkn nikikumbuka naanzisha ugomvi as if ndio nimemfumania leo..
Nifanyeje jmn either nikae Sawa au niondoke bàdo mapema maana huyu siku akichoka sijui atanifanya nn.
Akipokea mshahara wote ananipa anachukua ya matumiz yake nyingine ananipa mimi ndio napanga ya kula nyingine naweka akiba...kiufupi namimi mbali na hii tabia, nimwanamke wa maendeleo napambana pia nina akili ya maisha hii imetupelekea kupata maendeleo ndani ya muda mfupi..
Hapo tatizo ni udhaifu na kutojiamini..Watu wa nje hapana...wa ndani, Mfano watoto , wasaidizi wa kazi yan muda mwingi kuwafokea tu hata wakikosea kidogo..watu wa nje wananiona mimi mpole sana