BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Sema suh!Actually nina Ids sabini, including yours.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema suh!Actually nina Ids sabini, including yours.
Sasa kwa yaliyotokea kuhusu Precision hii ni doa tosha kwenye Royal Tour. Naamini watalii wakija nchini wengine wanaenda sehemu mbalimbali za Tz, na Precision wana mchango mkubwa kwenye usafiri wa anga na utalii nchini😭Unadhani wataiacha, wanaweza kusingizia hata imeliwa na mamba 😂😂😂 kama ile engine ya Scania pale mto Wami.
Nawakumbusha, Rostitamu amenunua kampuni ya ndege hapa juzi tu!
Sijasema chochote. Utakachowaza ni mawazo yako mwenyewe!
Hivi hizo ndege za kampuni ya Prescion Air hazina kisanduku cheusi. Black box? Inaonyesha Kila mtu anatoa maoni yake chanzo Cha ajali. Tuziachie mamlaka zitupe taarifa rasmi badala ya kutulisha matango pori.
Hapo no 2 labda waliwajumhisha marubani na wahudumu wa ndani ya ndegeHebu tushirikiane kuwaza mambo kadha wa kadha hapa na ya msingi;
Mara zote kwenye mambo ya msingi nakuwa firm Kabisa utani pembeni hata Kama kuna nyuki wa mama wananikaba Kwa kusema labda sikutakiwa kusema watakuwa wanakosea sana maana nilipumzika kuandika Makala ndefu ndefu nikaishia kuwa naona kama nishaandika kila kitu Kwa wakati sahihi linapotokea ndo nafufua uzi husika wa mada husika !
Swala la ajali hii ya ndege linafikirisha mengi sana nimekuta mtu sehemu anauliza mambo ya msingi Kabisa nikashirikiana naye kuwaza haya
1. Nikiwa nawaamini sana Marubani wa Precision air pengine kuliko wa mashirika mengine, pasi shaka hata chembe najiuliza kwa nini ndege hii imeelekea kwenye uelekeo tofauti wa runway? Katika hili najiuliza Control Tower ilikuwa na ofisa? Na kama ndio alikuwa anafanya kazi gani? Au kwa nini hakutoa vzr/alitoa maelekezo tofauti ya jinsi ya kutua? (Hili linakuja kaa kuwa Rubani yeyote anaweza kutua kiwanja chochote kipya kwa maelekezo kutoka chumba cha waongoza ndege akiwa 5-30miles) juu ya jinsi ya kutua, speed, distance ya kugusia runway, hali ya hewa etc).
Hapa najiuliza sipati majibu na inanipa maswali juu ya chanzo cha ajali hii.
2. Ndege inasema ilikuwa na abiria 43 lakini idadi ya majeruhi 26 na marehemu 19 inafanya maswali mengi. Sitaki kulaumu sana kwa kuwa ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria 48 ila TAA ichunguze hii ATC ilitolewaje? Nani walihusika.
3. Ndege imezama, yaan iko sehemu salama kimfumo wa ajali za ndege, tena mita 100+ tu kutoka kiwanja ila uokoaji umechukua masaa zaidi ya manne, RPC anasema watu watulie kila kitu kiko under control, control ipi?...HII NI AIBU KUBWA KWA SERIKALI YETU.
4. Waziri Mkuu ameagiza uwanja ufungwe... Je kuna siri gani hapa nyuma ya pazia? Uwanja una shida gani kama kila kitu kilikuwa sawa? Kama kila kitu kilikuwa sawa ina maana watu wasisafiri tena kwenda Bukoba sababu ya ajali hii? KUNA NINI CHA KUFUNGIA UWANJA?
5. Nimemuangalia Mkurugenzi Mtendaji wa Precision Airways(Patrick Mwanri) akiomba watu tusipotoshe Umma juu ya ajali hii, amebeba uchungu mzito sana akizungumza akiwa analia machozi mbele ya waandishi... It is not normal, hata kama jamaa anaumia kibiashara ila anajua kabisa Bima watamlipa ila swali la chanzo cha ajali hii na matokeo yake yanawagusa sana Precision kuliko sisi wote.
Binafsi siitazami ajali hii kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake.
Tuwe sometimes na Uwezo wa kuchunguza yanayoendelea chini ya carpet bila kusubiria kulishwa kila taarifa
Kwako Pascal Mayalla
Britanicca
Ndege imetoka dar, inatua mwanza na bukoba, so inategemea na abiria wa mwanza bukoba au bukoba mwanza ndio wataamua ndege ianzie kutua wapi? The route can either be dar bukiba mwanza dar au dar mwanza bukoba darKwani awali ndege ilitaka kutua Mwanza ikashindikana ndo ikaelekea Bukoba? Make Kuna abiria waliopoteza maisha kwenye ajali walikua washukie Mwanza.
Je, ni kweli kuwa hali ya hewa ya Mwanza ndo chanzo za kuilazimu Rubani kuelekea Bukoba? Na pia kwa uzoefu wa Hali ya hewa ya Mwanza na Bukoba wapi panakuwa na angalau? Mamlaka ya Hali ya hewa kwenye viwanja vyetu hawawasikiani kutoa ushauri ni wapi angalau Kati ya Mwanza na Bukoba? Ili Rubani afanye maamuzi sahihi Kati ya Arusha au Chato Kama kweli alishindwa kutua Mwanza.
Hakuna bahari, Bali ni ziwa.Kuna taarifa kuwa matahiri yalikuwa hayatoki.Na baada ya kujua hilo ndio maana akatua bahari Kwan nchi kavu ingelipuka.Inaonekana kulikuwa na tatizo la ufundi
No inafuata taratibu Zote ,ndege haijawai anzia Bukoba ikaenda mwanza Mara zoote zinaanza Mwanza then bukoba, pili ndege ikianzia Bukoba Jua mwanza hali ya hewa mbaya sana na haijatikea siku za karibuNdege imetoka dar, inatua mwanza na bukoba, so inategemea na abiria wa mwanza bukoba au bukoba mwanza ndio wataamua ndege ianzie kutua wapi? The route can either be dar bukiba mwanza dar au dar mwanza bukoba dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jmn jmnWajitahidi kuhoji hao maiti hadi wajibu hayo maswali yao kama yatawasaidia
YeaNimekuelewa sana!
Unataka kusemaj
Nimeona leoPengine swali la msingi hapa ni je why haipiti miaka mitano lazima ziwa victoria liondoke na watu?kuna Siri gani?...kuna matambiko ya damu tunafanya? Sisi si ndo nchi ambayo albino wanauwawa kutafuta Utajiri?..
umeona nini?Nimeona leo