lyenyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 2,651
- 7,299
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa langu nini? Yaani nilitoa angalizo tarehe 25/10/2022 na ajali imetokea 6/11/2022 kulikuwa na siku 10 za kuchukua tahadhari.Kwanini msingenitafuta kabla ya ajali kutokea ili muizuie?Ningekuwa na mamlaka, huyu aliyeanzisha thread hii tungekuwa tumeshaanza kubadilisha mawazo, asingetoka pembeni yangu kwa siku kadhaa. He has all the clues
Kosa langu nini? Yaani nilitoa angalizo tarehe 25/10/2022 na ajali imetokea 6/11/2022 kulikuwa na siku 10 za kuchukua tahadhari.Kwanini msingenitafuta kabla ya ajali kutokea ili muizuie?
Duh,....Kosa langu nini? Yaani nilitoa angalizo tarehe 25/10/2022 na ajali imetokea 6/11/2022 kulikuwa na siku 10 za kuchukua tahadhari.Kwanini msingenitafuta kabla ya ajali kutokea ili muizuie?
Alirudi juzi na kushangaa jina lake kuwepo kwenye orodha ya waliokufa na kuagwaMimi najiuliza yule mtu aliyekimbia ilikuwaje?. hajulikani au ni jini a. k. a kibwego akitaka kula watu?
daahAlirudi juzi na kushangaa jina lake kuwepo kwenye orodha ya waliokufa na kuagwa
Hujasikia kuwa kijana aliyeenda kuwaokoa marubani aliashindwa baada ya watu kumzuia kufanya hivyo wakati marubani walikuwa wanamwashiria abomoe kioo? Wewe huoni kwamba hawa watu walimzuia kijana makusudi ukizingatia kuwa pamoja na kuwepo eneo la tukio, hatujasikia kuwa waliokoa angalau mtu mmoja?Kosa langu nini? Yaani nilitoa angalizo tarehe 25/10/2022 na ajali imetokea 6/11/2022 kulikuwa na siku 10 za kuchukua tahadhari.Kwanini msingenitafuta kabla ya ajali kutokea ili muizuie?
Mmmmmh aiseeee kichwa kinauma, nilikuwa nawaza nani alitoa katazo la kunomoa duhNa tumjadili pia yule aliyeambiwa kuwa sasa umekua kafanye kazi.
Si tulimuona akiabudu kuleee pia yule yuko huko huko kanda ya ziwa,
Je, ndo amekua kwa damu zote hizo?
Mbona pia katazo la kubomoa mlango alilitoa yeye? nini alikuwa anawaza?
Wenda kuna ukweli hapa sasa chombo hatarishi vile wanawekaje mafuta ya bajeti kama ya kuweka kwenye vits kweli?Ukiniuliza sababu hata mimi nitakujibu ni likely ndege ilikuwa ina run low on fuel kwa maana waliweka wese la kidebe hali ya hewa ikawa sio rafiki ikawalazimu wazuge zuge hewani ila sasa walikuwa wanatembelea reserve kwa maana taa ya wese ilikuwa inawaka toka wameanza ku roam.
Mwisho ndio rubani anaambiwa akaitue Mwanza akicheki wese halitoboi akawaambia control room wakasema bora akaidondoshee kwenye maji tu haina jinsi. Maana anageishusha kwenye mawe ya Mwanza yale asingetoka mtu ingekuwa balaa zito.
Na sidhani kama abilia wanajua hili, watakuwa waliambiwa hali ya hewa, wenda hata hao waliookoka hawajuhi hili kitu.Kuna mambo mawili, tyre ziligoma ama wese la kurudi Mwanza lilikuwa halimfikishi.
Kuna taarifa kuwa matahiri yalikuwa hayatoki.Na baada ya kujua hilo ndio maana akatua bahari Kwan nchi kavu ingelipuka.Inaonekana kulikuwa na tatizo la ufundiAma chato kiwanja hakifanyi kazi maana pale ni chap tu angeenda ama nae alikua analazimisha kushuka pale
Kama yalikuwa hayatoki mbona yameopolewa yakiwa Chini kabisa Ziwani?Kuna taarifa kuwa matahiri yalikuwa hayatoki.Na baada ya kujua hilo ndio maana akatua bahari Kwan nchi kavu ingelipuka.Inaonekana kulikuwa na tatizo la ufundi
Acheni assumption huo uwanja wa Bukoba hawajazagi mafuta ndege zote zikifika mwanza uwa zinajaza mafutaKuna mambo mawili, tyre ziligoma ama wese la kurudi Mwanza lilikuwa halimfikishi.
Ndege ilianza Kwenda mpaka Kyaka hadi misenyi wakati akitafta landing possibilities! Ndege haikuishiwa mafuta Kama wengi wanavyojaribu kudanganya UmmaNimeamin Media zina nguvu ile ile katika kueneza ukweli au uongo.
Kuna mambo(facts) ningependa yasiwe sehem ya kuhoji sana kuhusu hali ilikuwaje sekunde chache kabla ya ajari. Niyaweke hapa. Haya ni non disputable, achana na hearsay.
1. Hali ya hewa (visibility) ilikuwa nzuri licha ya kuwepo mvua wakat huo.
2. Ndege ilishuka ikiwa tayar imezima kama tu ndegejoni. Ndan giza, hata mafuta ilishamwaga yote.
3. Ndege ilishuka nje kabsa ya mwelekeo wa uwanja ulivyo ikitokea nyabesiga.
4. Tairi zote hazikuwa zimetoka. Yani zote!
Wakat ruban anakarbia chini alilaza bawa ndo lilianza ndo ikaangalia musira. Kwa mwalon ruban ni shujaa maana alikwepesha asizivae nyumba za pale.
5. Majaliwa si shujaa pekee hasa wa kuingia kwenye ndege kuokoa ila alikuwa mmojawao. Walikuwa 4. Baada ya kupigwa na kamba (baadae sana katika kujarib kuivuta) na kuzimia akakimbizwa na manusura wengine hospital ushujaa wake ukaanzia hapo mana wengine walikuwa eneo la tukio wakiendelea. Kiuhalisia haiko kama wanavyosimulia wa hearsay.
6. Ajari ya ndege hii haina uhusiano wowote na uwanja hata kama uwanja una mapungufu yake tena yanayoathiri ndege kubwa za ATCL.
Pale nyamkazi mwalon kuna shuhuda hasa wa tukio hili mana aliiona ajari kabla hata ndege haijafika majini na akajipanga kuokoa. (Ndiye aliyeingia wa kwanza kwenye ndege ikiwa giza tupu). Alimchukua na majaliwa.
Kifup tu shujaa wa ajari hii amekufa.....ruban!
Tunasubiri ripot ya wataalam lakin kuna facts sio za siri wala kubishaniwa maana ilikuwa hivyo. basi tu ajari ikawa imeingiliwa na siasa kama kawaida yetu.
Huwa naangalia kipindi cha air crash investigation NAT GEO. Nataman kuona ya hii nioanishe na uhalisia.
Unajua tofaut ya kumwaga mafuta na kuishiwa mafuta? Au umesoma kwa haraka!Ndege ilianza Kwenda mpaka Kyaka hadi misenyi wakati akitafta landing possibilities! Ndege haikuishiwa mafuta Kama wengi wanavyojaribu kudanganya Umma
1. Ndege ilishauzidi mpaka uwanja ikaenda mpaka mpaka misennyi ingeanguka kabla ingekuwa kusema imeishiwa mafuta Alafu niwaambie ndege ikiiishiwa mafuta kuna gliding inayowezesha kutua hata baada ya mita 200-400 so TUACHE assumptions
2. Alafu iishiwe mafuta Alafu I land ikiwa imeangalia Musira badala ya Ku land in normal Direction?
Nakazia ndege haiishiwi Kama Bodaboda jisomeeni na fanyeni utafiti
Britanicca Encyclopedia
NimekupataUnajua tofaut ya kumwaga mafuta na kuishiwa mafuta? Au umesoma kwa haraka!
Labda nikazie. Kwa vile haikuwa ajari ya ghafla, had inajimwaga majini, ruban alishamwaga mafuta na kuzima engine ili ianguke bila kulipuka!
Wakati wewe ukikusanya conspiracies zako mi niko kwenye uhalisia wa kwanin tairi hazikutoka!
hata zunguka zunguka yote ile ni tairi zitoke.
sio hali ya uwanja kama tunavyoaminishana.
wewe una maswali mengi mi machache.
Na kwa taarifa tu ndege haikuanguka hata ikiwa usawa wa kuulenga uwanja, ilikuja tu mwambao wa ziwa. Labda kwavile picha imeangalia kisiwa musira inakupotosha!