Mindset ya kipumbavu kabisa hiiPengine swali la msingi hapa ni je why haipiti miaka mitano lazima ziwa victoria liondoke na watu?kuna Siri gani?...kuna matambiko ya damu tunafanya? Sisi si ndo nchi ambayo albino wanauwawa kutafuta Utajiri?..
Hawajazidi uwezo wa ndege, wamezidi ikilinganishwa na ripoti 'official' ya idadi ya abiria iliyotolewa na wahusikaUwezo wa ndege ni abiria 48
Ama 43 au 45 bado hawajazidi
Wewe kama hujui kua siasa za nchi hii zimegubikwa na ushirikina wa kutisha basi wewe ndie mpumbavu kabisa
Unajua maana ya abiria 2 kuzidi?Uwezo wa ndege ni abiria 48
Ama 43 au 45 bado hawajazidi
Mkuu unaweza kupandisha link ya uzi wa utabiri wa ajari hii?
Acha imani za kiswahili SwahiliPengine swali la msingi hapa ni je why haipiti miaka mitano lazima ziwa victoria liondoke na watu?kuna Siri gani?...kuna matambiko ya damu tunafanya? Sisi si ndo nchi ambayo albino wanauwawa kutafuta Utajiri?..
Ndio tuvute ndege kama kokoro .... Aseee hii nchi hiiii.... Yule dogo mjsiriamali wa dagaa ameokoa 23 Kwa vifaa duni na elimu duni ya uokoaji .... Lakini utasikia anapongezwa mkuu wa mkoa na mapambio na kusifu jazz band.....Nimekusoma naona ni kama vile unataka kuaminisha kwa hisia zako washindani wa Precision wanahusika kwenye hii ajali, jambo ambalo siliafiki, ajali mara nyingi huwa haichagui pakutokea.
Masuala mengine kama muda wa uokoaji kuwa mrefu, na kufungia uwanja hapo nakubaliana nawe, naona kama Majaliwa alikurupuka jambo litakalosababishia usumbufu abiria na watumiaji wengine wa uwanja wa Bukoba.
Kuhusu machozi ya mtendaji/bosi wa Precision yanaweza kuwa ni hisia za kibinadamu tu, wala sio sababu za kibiashara kama unavyodhani, uhai wa mwanadamu una thamani zaidi ya ushindani wa kibiashara, usiusemee moyo wa mtu.
Pamoja sanaNimekuelewa sana!
Uwezo wa hiyo ndege ni 42 on boardUwezo wa ndege ni abiria 48
Ama 43 au 45 bado hawajazidi
Hapana, hao wanaosemekana kuzidi ni kutokana na rekodi ya idadi ya abiria waliosafiri siku hiyo kwenye ndege hiyo lakini uwezo wa ndege ni zaidi ya idadi hiyo ya 45Kuna taarifa juu ya watu 2 kuzidi ndani ya ndege??
Kuna Bomba unaweza shika ndani ya ndege kama daladala za RANGI tatu mbagala??