Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ...Dunia imekwisha.
Vijana hawafanyi chochote zaidi ya kushinda kubet
Jijini Dar es salaam ndio kazi anakula analiwa jioni anarejea na unga na dagaa
Jibu..Betting ni sawaa na hatua za mlevi...mbili mbele tatu nyuma,kushoto kulia chaliii
Jibu ..hao wamepoteza fahamu ndugu
mbwa jizi kubwa wewe.kummmmkTatizo ameshaathirika..yaani mlevi kama mlevi wa betting au niiite gambling 🎰 kabisa. Yaani unakuwa umekufa umeoza kwenye kamari.
Kama hujawahi kuona mtu mtu amefall in love hutaelewa.
Kaka mmoja alinipenda sana. Alitongoza kwa kujiamini sana..akanikosa...akanihonga sana..yaani nikikohoa tu atafanya...amenitafutia kila alichoona nakitamani...hana hata ist ananiahidi Range..wanaume! Amekufa ameoza....ananioesha hata akaunti yake salio.....si akahamisha penzi kwenye betting...akawa ana weka mkeka million kwenye kubet.
Hata kazini amefukuzwa. Na anashinda vibandani.
Huna haja ya kumtukana usiyemjua.mbwa jizi kubwa wewe.kummmmk
angalia utakuja kufrw Kwa utapeli
Duh 🙄 kwahiyo ukamuacha auTatizo ameshaathirika..yaani mlevi kama mlevi wa betting au niiite gambling 🎰 kabisa. Yaani unakuwa umekufa umeoza kwenye kamari.
Kama hujawahi kuona mtu mtu amefall in love hutaelewa.
Kaka mmoja alinipenda sana. Alitongoza kwa kujiamini sana..akanikosa...akanihonga sana..yaani nikikohoa tu atafanya...amenitafutia kila alichoona nakitamani...hana hata ist ananiahidi Range..wanaume! Amekufa ameoza....ananioesha hata akaunti yake salio.....si akahamisha penzi kwenye betting...akawa ana weka mkeka million kwenye kubet.
Hata kazini amefukuzwa. Na anashinda vibandani.
Huenda wewe ndo ukawa sababu ya yeye kuingia kwenye betting ili akutimizie mahitaji yakoTatizo ameshaathirika..yaani mlevi kama mlevi wa betting au niiite gambling 🎰 kabisa. Yaani unakuwa umekufa umeoza kwenye kamari.
Kama hujawahi kuona mtu mtu amefall in love hutaelewa.
Kaka mmoja alinipenda sana. Alitongoza kwa kujiamini sana..akanikosa...akanihonga sana..yaani nikikohoa tu atafanya...amenitafutia kila alichoona nakitamani...hana hata ist ananiahidi Range..wanaume! Amekufa ameoza....ananioesha hata akaunti yake salio.....si akahamisha penzi kwenye betting...akawa ana weka mkeka million kwenye kubet.
Hata kazini amefukuzwa. Na anashinda vibandani.
Weka na picha za makada wa ccm tuone ni wepi wapumbavu kamili
tukikwambia kuna mchongo tunasikilizia uwe unaelewa kuwa tunasubiri mkekaDunia imekwisha.
Vijana hawafanyi chochote zaidi ya kushinda kubet
Jijini Dar es salaam ndio kazi anakula analiwa jioni anarejea na unga na dagaa
anakula na kuliwa eeeDunia imekwisha.
Vijana hawafanyi chochote zaidi ya kushinda kubet
Jijini Dar es salaam ndio kazi anakula analiwa jioni anarejea na unga na dagaa
Kuhusu AVIATOR simshauri mtu ni bora abeti mpira ambao hata yanga ikifungwa anajua imefungwa ila kuhusu ndege kupaa muda gani utachizika walahiKiuhalisia mtu aliyeserious na Betting humkuti ktk vibanda. Wengi wapo magetoni.. wanasuka mikeka mirefu (TRENI) then anatafuta hela za kunywea Bia ktk AVIATOR na games zingine za kubashiri.
Na wanapata hela nzuri tu... mtu anaweka laki5 anapata mil 7 ndani ya sikunde 20 tu.
Wewe upo ofisin mpk ufikishe hiyo mil 7 lini?..
Watu wanalipa hela za kodi, umeme, mafuta ya gari na hata kununua gari na viwanja, kusomesha etc kwa hela ya Betting...
Mbaya sana WANAWAKE ndio wataalam sahiv wakubeti.. jana nilikuwa na Pisi moja hivi ikatumiwa code na mwenzake kaweka leo asubuhi kala 50k ktk basket 😂 nimechoka.
Betting ni hatari kwa afya yako kijana....we jifariji tu kama mvuta bhange eti mbna yule anavuta sigara mbna yule hv na vileJibu..
Mnahukumu pasipo Akili ni yupi kituko kati ya wanasiasa wasiotosheka na ufisadi au hao wanaobet...kati ya anaye gawa bandari bure tena milele kwa kupewa phd za kuchambia na anaye cheza michezo ya kubeti nani ni mpumbavu hapo....kwa tanzania wapumbavu wakuu kabisa wanapatikana kwenye
1)SIASA NA MAMBO YA SIASA
2)DINI NA MAMBO YA DINI
3)SERIKALINI NA MAMBO YA SERIKALI.
💥💥💥hakuna wapumbavu zaidi ya hao kwenye hayo makundi matatu💥💥💥
Jiulize mtu anayetoa laki 5 kwa muhuni mwamposa na kiboko ya wachawi koko na anaye tumia laki 5 kubetia yupi ni mpumbavu haswa hapo ...tumieni akili ...je wewe ukitumia sh 50000 kwenda kutazama mpira wa simba na yanga na mimi nikitumia sh 50000 kubetia nani ni mwenye akili zaidi hapo..?
Tumia akili hatari ya beti siyo mbaya kama athari za ufisadi wa ccm ..... chamsingi ni akili kutawala beti siyo beti kutawala akili yako hata kwenye pombe inatakiwa akili itawale pombe siyo.pombe kutawala akili hata kwenye sex ni hivyo hivyoBetting ni hatari kwa afya yako kijana....we jifariji tu kama mvuta bhange eti mbna yule anavuta sigara mbna yule hv na vile
Kumbe ndio maana wanaopotea ni wengiJibu ..
Mnahukumu pasipo Akili ni yupi kituko kati ya wanasiasa wasiotosheka na ufisadi au hao wanaobet...kati ya anaye gawa bandari bure tena milele kwa kupewa phd za kuchambia na anaye cheza michezo ya kubeti nani ni mpumbavu hapo....kwa tanzania wapumbavu wakuu kabisa wanapatikana kwenye
1)SIASA NA MAMBO YA SIASA
2)DINI NA MAMBO YA DINI
3)SERIKALINI NA MAMBO YA SERIKALI.
💥💥💥hakuna wapumbavu zaidi ya hao kwenye hayo makundi matatu💥💥💥
Jiulize mtu anayetoa laki 5 kwa muhuni mwamposa na kiboko ya wachawi koko na anaye tumia laki 5 kubetia yupi ni mpumbavu haswa hapo ...tumieni akili ...je wewe ukitumia sh 50000 kwenda kutazama mpira wa simba na yanga na mimi nikitumia sh 50000 kubetia nani ni mwenye akili zaidi hapo..?
💥Kuna tofauti ya akili kutawala beti na beti kutawala akili.Kumbe ndio maana wanaopotea ni wengi
Braza unatupanga 😂😂Kiuhalisia mtu aliyeserious na Betting humkuti ktk vibanda. Wengi wapo magetoni.. wanasuka mikeka mirefu (TRENI) then anatafuta hela za kunywea Bia ktk AVIATOR na games zingine za kubashiri.
Na wanapata hela nzuri tu... mtu anaweka laki5 anapata mil 7 ndani ya sikunde 20 tu.
Wewe upo ofisin mpk ufikishe hiyo mil 7 lini?..
Watu wanalipa hela za kodi, umeme, mafuta ya gari na hata kununua gari na viwanja, kusomesha etc kwa hela ya Betting...
Mbaya sana WANAWAKE ndio wataalam sahiv wakubeti.. jana nilikuwa na Pisi moja hivi ikatumiwa code na mwenzake kaweka leo asubuhi kala 50k ktk basket 😂 nimechoka.
Yeye mwenyewe mdangaji atakemeaje udangaji, au haujasoma komenti yake hapo juu anaelezea alivyomchuna kaka mmoja hadi kapoteza kibarua chake!Sijaona mada yako inayobagaza wadangaji na udangaji...
Kwa mtazamo wako, unaamini udangaji ni mzuri kuliko betting?
Au hujui kama udangaji nao upo?
Au kwako ni bora udangaji kuliko ubetiji?
Lengo lako ni kubagaza wabetiji au kukemea maovu, kuwa wazi!