Sijaamini hadi nilivyoona vijana wamejiajiri kubet. Anashinda kibandani na mikeka hadi jioni

Dunia imekwisha.

Vijana hawafanyi chochote zaidi ya kushinda kubet

Jijini Dar es salaam ndio kazi anakula analiwa jioni anarejea na unga na dagaa
Jibu ...
Mnahukumu pasipo Akili ni yupi kituko kati ya wanasiasa wasiotosheka na ufisadi au hao wanaobet...kati ya anaye gawa bandari bure tena milele kwa kupewa phd za kuchambia na anaye cheza michezo ya kubeti nani ni mpumbavu hapo....kwa tanzania wapumbavu wakuu kabisa wanapatikana kwenye
1)SIASA NA MAMBO YA SIASA
2)DINI NA MAMBO YA DINI
3)SERIKALINI NA MAMBO YA SERIKALI.

💥💥💥hakuna wapumbavu zaidi ya hao kwenye hayo makundi matatu💥💥💥

Jiulize mtu anayetoa laki 5 kwa muhuni mwamposa na kiboko ya wachawi koko na anaye tumia laki 5 kubetia yupi ni mpumbavu haswa hapo ...tumieni akili ...je wewe ukitumia sh 50000 kwenda kutazama mpira wa simba na yanga na mimi nikitumia sh 50000 kubetia nani ni mwenye akili zaidi hapo..?
 
Betting ni sawaa na hatua za mlevi...mbili mbele tatu nyuma,kushoto kulia chaliii
Jibu..
Mnahukumu pasipo Akili ni yupi kituko kati ya wanasiasa wasiotosheka na ufisadi au hao wanaobet...kati ya anaye gawa bandari bure tena milele kwa kupewa phd za kuchambia na anaye cheza michezo ya kubeti nani ni mpumbavu hapo....kwa tanzania wapumbavu wakuu kabisa wanapatikana kwenye
1)SIASA NA MAMBO YA SIASA
2)DINI NA MAMBO YA DINI
3)SERIKALINI NA MAMBO YA SERIKALI.

💥💥💥hakuna wapumbavu zaidi ya hao kwenye hayo makundi matatu💥💥💥

Jiulize mtu anayetoa laki 5 kwa muhuni mwamposa na kiboko ya wachawi koko na anaye tumia laki 5 kubetia yupi ni mpumbavu haswa hapo ...tumieni akili ...je wewe ukitumia sh 50000 kwenda kutazama mpira wa simba na yanga na mimi nikitumia sh 50000 kubetia nani ni mwenye akili zaidi hapo..?
 
hao wamepoteza fahamu ndugu
Jibu ..

Tatizo ameshaathirika..yaani mlevi kama mlevi wa betting au niiite gambling 🎰 kabisa. Yaani unakuwa umekufa umeoza kwenye kamari.

Kama hujawahi kuona mtu mtu amefall in love hutaelewa.

Kaka mmoja alinipenda sana. Alitongoza kwa kujiamini sana..akanikosa...akanihonga sana..yaani nikikohoa tu atafanya...amenitafutia kila alichoona nakitamani...hana hata ist ananiahidi Range..wanaume! Amekufa ameoza....ananioesha hata akaunti yake salio.....si akahamisha penzi kwenye betting...akawa ana weka mkeka million kwenye kubet.

Hata kazini amefukuzwa. Na anashinda vibandani.
mbwa jizi kubwa wewe.kummmmk

angalia utakuja kufrw Kwa utapeli
 
Tatizo ameshaathirika..yaani mlevi kama mlevi wa betting au niiite gambling 🎰 kabisa. Yaani unakuwa umekufa umeoza kwenye kamari.

Kama hujawahi kuona mtu mtu amefall in love hutaelewa.

Kaka mmoja alinipenda sana. Alitongoza kwa kujiamini sana..akanikosa...akanihonga sana..yaani nikikohoa tu atafanya...amenitafutia kila alichoona nakitamani...hana hata ist ananiahidi Range..wanaume! Amekufa ameoza....ananioesha hata akaunti yake salio.....si akahamisha penzi kwenye betting...akawa ana weka mkeka million kwenye kubet.

Hata kazini amefukuzwa. Na anashinda vibandani.
Duh 🙄 kwahiyo ukamuacha au
 
Huenda wewe ndo ukawa sababu ya yeye kuingia kwenye betting ili akutimizie mahitaji yako
 
Dunia imekwisha.

Vijana hawafanyi chochote zaidi ya kushinda kubet

Jijini Dar es salaam ndio kazi anakula analiwa jioni anarejea na unga na dagaa
tukikwambia kuna mchongo tunasikilizia uwe unaelewa kuwa tunasubiri mkeka
 
Hivi vita haviishi leo ni either Kanji arudi Mumbai au Maafisa ubashiri warudi shamba.
 
Kiuhalisia mtu aliyeserious na Betting humkuti ktk vibanda. Wengi wapo magetoni.. wanasuka mikeka mirefu (TRENI) then anatafuta hela za kunywea Bia ktk AVIATOR na games zingine za kubashiri.

Na wanapata hela nzuri tu... mtu anaweka laki5 anapata mil 7 ndani ya sikunde 20 tu.
Wewe upo ofisin mpk ufikishe hiyo mil 7 lini?..

Watu wanalipa hela za kodi, umeme, mafuta ya gari na hata kununua gari na viwanja, kusomesha etc kwa hela ya Betting...

Mbaya sana WANAWAKE ndio wataalam sahiv wakubeti.. jana nilikuwa na Pisi moja hivi ikatumiwa code na mwenzake kaweka leo asubuhi kala 50k ktk basket 😂 nimechoka.
Kuhusu AVIATOR simshauri mtu ni bora abeti mpira ambao hata yanga ikifungwa anajua imefungwa ila kuhusu ndege kupaa muda gani utachizika walahi
 
Jibu..
Mnahukumu pasipo Akili ni yupi kituko kati ya wanasiasa wasiotosheka na ufisadi au hao wanaobet...kati ya anaye gawa bandari bure tena milele kwa kupewa phd za kuchambia na anaye cheza michezo ya kubeti nani ni mpumbavu hapo....kwa tanzania wapumbavu wakuu kabisa wanapatikana kwenye
1)SIASA NA MAMBO YA SIASA
2)DINI NA MAMBO YA DINI
3)SERIKALINI NA MAMBO YA SERIKALI.

💥💥💥hakuna wapumbavu zaidi ya hao kwenye hayo makundi matatu💥💥💥

Jiulize mtu anayetoa laki 5 kwa muhuni mwamposa na kiboko ya wachawi koko na anaye tumia laki 5 kubetia yupi ni mpumbavu haswa hapo ...tumieni akili ...je wewe ukitumia sh 50000 kwenda kutazama mpira wa simba na yanga na mimi nikitumia sh 50000 kubetia nani ni mwenye akili zaidi hapo..?
Betting ni hatari kwa afya yako kijana....we jifariji tu kama mvuta bhange eti mbna yule anavuta sigara mbna yule hv na vile
 
Tumia akili hatari ya beti siyo mbaya kama athari za ufisadi wa ccm ..... chamsingi ni akili kutawala beti siyo beti kutawala akili yako hata kwenye pombe inatakiwa akili itawale pombe siyo.pombe kutawala akili hata kwenye sex ni hivyo hivyo
 
Jibu ..
Mnahukumu pasipo Akili ni yupi kituko kati ya wanasiasa wasiotosheka na ufisadi au hao wanaobet...kati ya anaye gawa bandari bure tena milele kwa kupewa phd za kuchambia na anaye cheza michezo ya kubeti nani ni mpumbavu hapo....kwa tanzania wapumbavu wakuu kabisa wanapatikana kwenye
1)SIASA NA MAMBO YA SIASA
2)DINI NA MAMBO YA DINI
3)SERIKALINI NA MAMBO YA SERIKALI.

💥💥💥hakuna wapumbavu zaidi ya hao kwenye hayo makundi matatu💥💥💥

Jiulize mtu anayetoa laki 5 kwa muhuni mwamposa na kiboko ya wachawi koko na anaye tumia laki 5 kubetia yupi ni mpumbavu haswa hapo ...tumieni akili ...je wewe ukitumia sh 50000 kwenda kutazama mpira wa simba na yanga na mimi nikitumia sh 50000 kubetia nani ni mwenye akili zaidi hapo..?
Kumbe ndio maana wanaopotea ni wengi
 
Kumbe ndio maana wanaopotea ni wengi
💥Kuna tofauti ya akili kutawala beti na beti kutawala akili.
💥kuna tofauti ya akili.kutawala pombe na pombe kutawala akili
💥kuna tofauti ya akili kutawala hasira na hasira kutawala akili
💥kuna tofauti ya akili kutawala upendo na upendo kutawala akili
💥kuna tofauti ya akili kutawala sex na sex kutawala akili
💥 kuna tofauti ya akili kutawala pesa na pesa kutawala akili

Mlolongo ni mrefu sana...hivyo kwenye kila kitu akili ndiyo inatakiwa kutawala siyo akili kutawaliwa na kitu chochote...wenzako tunabeti na akili ndiyo inatawala kubeti ...

💥 wema ukitawala akili huo ni upumbavu
💥upendo ukitawala akili huo ni upumbavu
💥pombe ikitawala akili huo ni upumbavu
💥 kamari hiki tawala akili huo ni upumbavu pia
Nk nk nk

Tumia akili nimeandika sana kwa sababu wanawake hqmna akili kuelewa mambo ya logic
 
Kiuhalisia mtu aliyeserious na Betting humkuti ktk vibanda. Wengi wapo magetoni.. wanasuka mikeka mirefu (TRENI) then anatafuta hela za kunywea Bia ktk AVIATOR na games zingine za kubashiri.

Na wanapata hela nzuri tu... mtu anaweka laki5 anapata mil 7 ndani ya sikunde 20 tu.
Wewe upo ofisin mpk ufikishe hiyo mil 7 lini?..

Watu wanalipa hela za kodi, umeme, mafuta ya gari na hata kununua gari na viwanja, kusomesha etc kwa hela ya Betting...

Mbaya sana WANAWAKE ndio wataalam sahiv wakubeti.. jana nilikuwa na Pisi moja hivi ikatumiwa code na mwenzake kaweka leo asubuhi kala 50k ktk basket 😂 nimechoka.
Braza unatupanga 😂😂
 
Sijaona mada yako inayobagaza wadangaji na udangaji...

Kwa mtazamo wako, unaamini udangaji ni mzuri kuliko betting?

Au hujui kama udangaji nao upo?

Au kwako ni bora udangaji kuliko ubetiji?

Lengo lako ni kubagaza wabetiji au kukemea maovu, kuwa wazi!
Yeye mwenyewe mdangaji atakemeaje udangaji, au haujasoma komenti yake hapo juu anaelezea alivyomchuna kaka mmoja hadi kapoteza kibarua chake!
 
Back
Top Bottom