Sijaelewa plan hii ya vituo vya mwendo kasi (BRT-UDART)

crome20

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2010
Posts
1,193
Reaction score
810
Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano
I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji
2. Kituo cha DIT na KISUTU
3. Kituo cha MSIMBAZI A na MSIMBAZI B.
4. FIRE na JANGWANI (ambacho hakitumiki). Hivi ni vile ambavyo nimekumbuka haraka haraka.
Katika awamu hii inayoendelea, limejirudia tena jambo hili pale Posta mpya ambapo kunajengea kituo na baada ya mita kama 150 kuna kituo kingine pale Daily News karibu na maktaba. Sijui hii ni plan ya aina gani? Ukiangalia gharama ya kujenga hivyo vituo ni kubwa sana, maana wanaweka base kama vile yatapita makatapila ndani ya kituo kumbe ni watu tu,( kwa kweli sijui kwa nini)

Kuna mtu anayeweza kunipa elimu nini matiki ya hii plan?
 
Wahandisi wa Kibongo wanapiga pesa sana.
Ni sawa na yale ya SGR Dar imepita juu. nguzo moja ya SGR unanunua ka helicopter.
Ingepita chini halafu magari na pedestrians wapite juu tungeokoa mabilioni ya pesa.
Chini pana maji labda ujenge maandaki.
But mainjia wa SGR ni kieleleze cha mainjia wetu wanavuta bangi.
Mbugani wamewawekea mifugo na wanyama karavati box za kuvukia chini ya reli hali mijini wamejenga madaraja ambayo sio rafiki.
 
Check BRT ya gerezani airport gongo la mboto barabara inakona kona uncessessary utadhani nyoka halafu wameibana ni gari mbili mbili hali pembeni wameacha nafasi kubwa ambayo ingetosha hata gari nne kwenda nne kurudi wameamua kuweka foleni mjini
 
Wahandisi wa Kibongo wanapiga pesa sana.
Ni sawa na yale ya SGR Dar imepita juu. nguzo moja ya SGR unanunua ka helicopter.
Ingepita chini halafu magari na pedestrians wapite juu tungeokoa mabilioni ya pesa.
Kwel bangi sio nzuri! Unajua gharama yake kama ingepita chini??
 
mainjinia wa kibongo wanaingiaje tena, maana SGR mkandarasi ni mturuki
BRT mkandarasi ni mchina
Hao wachina na waturuki wao ni wajenzi tu wa mradi lakini ramani na design lazima wabongo wanashirikishwa ndo maana wapo wanakagua.
Narudia mainjia wa kibongo wanavuta bangi hawashirikishi watumiaji wengine wa maeneo husika.
Check wa SGR wameua biashara zimekufa kwa kuweka uzio usio lazima pana watz wamejenga mahoteli,mafrem leo yapo tupu hakuna watu wapitao biashara ni watu na watu ni njia.
 
Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano
I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji
2. Kituo cha DIT na KISUTU
3. Kituo cha MSIMBAZI A na MSIMBAZI B.
4. FIRE na JANGWANI (ambacho hakitumiki). Hivi ni vile ambavyo nimekumbuka haraka haraka.
Katika awamu hii inayoendelea, limejirudia tena jambo hili pale Posta mpya ambapo kunajengea kituo na baada ya mita kama 150 kuna kituo kingine pale Daily News karibu na maktaba. Sijui hii ni plan ya aina gani? Ukiangalia gharama ya kujenga hivyo vituo ni kubwa sana, maana wanaweka base kama vile yatapita makatapila ndani ya kituo kumbe ni watu tu,( kwa kweli sijui kwa nini)

Kuna mtu anayeweza kunipa elimu nini matiki ya hii plan?
Upigaji tu
 
Sjaskia kelele za mwendokasi hii wiki iliyoisha, au wameleta ndinga!
 
Nikadhani Wanejifunza kumbe wapi! Sasa unajenga kituo Tangibovu na kingine Mbezi shule interval ya 300MTS. Yaani wanachukua standard zile wakati daladala ni vipanya. Roho inaniuma aisee
 
Hao wachina na waturuki wao ni wajenzi tu wa mradi lakini ramani na design lazima wabongo wanashirikishwa ndo maana wapo wanakagua.
Narudia mainjia wa kibongo wanavuta bangi hawashirikishi watumiaji wengine wa maeneo husika.
Check wa SGR wameua biashara zimekufa kwa kuweka uzio usio lazima pana watz wamejenga mahoteli,mafrem leo yapo tupu hakuna watu wapitao biashara ni watu na watu ni njia.
Sawa tumekusikia tutaenda kung'oa reli ili uendelee kuuza biashara yako..
 
Sidhani kama umefanya “research” yako kwa kutosha

Umbali wa vituo vya mwendokasi ni standard kama ilivo BRT zingine,

1. Jangwani mpaka Fire kuna takribani 1km ambayo ndio distance ya vituo vyote vya BRT phase 1.

2. Kituo cha Msimbazi A&B ni kituo kimoja ambacho kilijengwa kwenye kona ndio chanzo cha kukitenga
Standard ya BRT kituo kimoja ni lazima kichukua gari 8 za “articulated”

3. Foundation za BRT zinawekwa concrete grade 30 na steel za BS kwasababu vinatakiwa vikae kwa miaka 30 lakini pia ikitokea gari limehama njia na kuvamia hiko kituo, msingi wake ni imara hiyo gari isije kuvunja kituo na kuwafikia abiria na kusababisha madhara makubwa.

“I stand to be corrected”
 
Wahandisi wa Kibongo wanapiga pesa sana.
Ni sawa na yale ya SGR Dar imepita juu. nguzo moja ya SGR unanunua ka helicopter.
Ingepita chini halafu magari na pedestrians wapite juu tungeokoa mabilioni ya pesa.
Bangi hz.!!
Sasa hapo kipi kingekuwa gharama kupitisha sgr chini kwenye maandaki au hivyo walivyoweka .?
 
Sidhani kama umefanya “research” yako kwa kutosha

Umbali wa vituo vya mwendokasi ni standard kama ilivo BRT zingine,

1. Jangwani mpaka Fire kuna takribani 1km ambayo ndio distance ya vituo vyote vya BRT phase 1.

2. Kituo cha Msimbazi A&B ni kituo kimoja ambacho kilijengwa kwenye kona ndio chanzo cha kukitenga
Standard ya BRT kituo kimoja ni lazima kichukua gari 8 za “articulated”

3. Foundation za BRT zinawekwa concrete grade 30 na steel za BS kwasababu vinatakiwa vikae kwa miaka 30 lakini pia ikitokea gari limehama njia na kuvamia hiko kituo, msingi wake ni imara hiyo gari isije kuvunja kituo na kuwafikia abiria na kusababisha madhara makubwa.

“I stand to be corrected”
I beg to differ. Kama standard ya kituo hadi kituo ni 1km, basi sehemu chache hiyo std imefuatwa. Mfano DIT na kisutu hakuna 1Km, Jangwani na Fire hakuna 1km hapo. Posta mpya na City council hakuna 1km hapo and the like. Sehemu nyingi wametumia vituo vya zamani vya daladala. Hata awamu hii, Tangibovu na Mbezi shule ni chini ya half of a km.
2. Mimi sijasema std ya ujenzi ni mbaya, ila nimesema, kwa vile vituo vimejengwa kwa gharama kubwa, havitakiwi kuwa karibu karibu, kiasi utakuwa na vituo vingi bila sababu na hivyo kuongeza gharama za mradi.
 
DIT na kisutu ni chini ya KM kwasababu ndani ya KM 1 hakukua na sehem ya kuweka kituo kingine, hivyo Kituo cha kisutu kimejengwa mara mbili
Yani kituo cha Kisutu na City counsil kwenye budget ni kituo kimoja ila cimejengwa sehem mbili tofauti ndio maana vituo hivi vya kisutu na city council vinaruhusu bus 4 kusimama pande zote kwa wakati mmoja huku vituo vingine vinaruhusu basi 8 kwa wakati mmoja,

Ni sawa na kituo cha Maimbazi A na B

Jangwani mpaka Fire kuna zaidi ya 1km
Sawa na Mbezi shule kuja mpaka Tank Bovu
 
Attachments

  • IMG_8814.png
    IMG_8814.png
    640.6 KB · Views: 8
  • IMG_8816.png
    IMG_8816.png
    645.9 KB · Views: 10
DIT na kisutu ni chini ya KM kwasababu ndani ya KM 1 hakukua na sehem ya kuweka kituo kingine, hivyo Kituo cha kisutu kimejengwa mara mbili
Yani kituo cha Kisutu na City counsil kwenye budget ni kituo kimoja ila cimejengwa sehem mbili tofauti ndio maana vituo hivi vya kisutu na city council vinaruhusu bus 4 kusimama pande zote kwa wakati mmoja huku vituo vingine vinaruhusu basi 8 kwa wakati mmoja,

Ni sawa na kituo cha Maimbazi A na B

Jangwani mpaka Fire kuna zaidi ya 1km
Sawa na Mbezi shule kuja mpaka Tank Bovu
Ramani yako sio sawa. Jangwani to Fire ni less tha a Kilometre, Hata tangibovu ni even less than half a Km.

1730117909405.png
 
View attachment 3137306
Ningependa unielimishe unatumia vigezo kasi kusema 1km haijafika kwenye hivo vituo,
Usibishe kwasababu unapenda kubisha kukosoa
Wakati mwingine jikite zaidi kwenye kuelimika utakua kimaarufa
 
Kigezo ni ramani nimeiweka hapo. Soma kwa furaha 🤣
 
Back
Top Bottom