crome20
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 1,193
- 810
Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano
I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji
2. Kituo cha DIT na KISUTU
3. Kituo cha MSIMBAZI A na MSIMBAZI B.
4. FIRE na JANGWANI (ambacho hakitumiki). Hivi ni vile ambavyo nimekumbuka haraka haraka.
Katika awamu hii inayoendelea, limejirudia tena jambo hili pale Posta mpya ambapo kunajengea kituo na baada ya mita kama 150 kuna kituo kingine pale Daily News karibu na maktaba. Sijui hii ni plan ya aina gani? Ukiangalia gharama ya kujenga hivyo vituo ni kubwa sana, maana wanaweka base kama vile yatapita makatapila ndani ya kituo kumbe ni watu tu,( kwa kweli sijui kwa nini)
Kuna mtu anayeweza kunipa elimu nini matiki ya hii plan?