johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu hili la kupaka rangi nywele mbona linakukera sana? Mimi sidhani ni kutotaka kuonekana mzee bali ni uamuzi kwani umri wake unajulikana. Mbona kina mama wengi tu wanapaka? Kama wewe unavyopenda uonekane na nywele nyeupe basi ni haki ya mwingine kupenda kuonekana na nywele nyeusi. Ni uamuzi binafsi.Kaenda kivyake, ameanza kujitutumua naona maza anataka kuishia 2025, sema anachangamoto yakutokubali kuwa ni mzee kutwa anapaka rangi nywele
Jamaa anamiaka mingapiKaenda kivyake, ameanza kujitutumua naona maza anataka kuishia 2025, sema anachangamoto yakutokubali kuwa ni mzee kutwa anapaka rangi nywele
Huo muda anautoa wapi wa kukaa salon kupaka rangi nywele na huku nchi inachangamoto kibao?Mkuu hili la kupaka rangi nywele mbona linakukera sana? Mimi sidhani ni kutotaka kuonekana mzee bali ni uamuzi kwani umri wake unajulikana. Mbona kina mama wengi tu wanapaka? Kama wewe unavyopenda uonekane na nywele nyeupe basi ni haki ya mwingine kupenda kuonekana na nywele nyeusi. Ni uamuzi binafsi.
63Jamaa anamiaka mingapi
apake asipake sio shida.kikubwa yupo smart.husuda tuKaenda kivyake, ameanza kujitutumua naona maza anataka kuishia 2025, sema anachangamoto yakutokubali kuwa ni mzee kutwa anapaka rangi nywele
Anapenda vidoshoapake asipake sio shida.kikubwa yupo smart.husuda tu
Hiachukui muda. Usiwe na hofu. Ni kama kunyoa tu. Au kusuka. Na siyo lazima aende salon. Hata mke wake anaweza kufanya hiyo kazi.Huo muda anautoa wapi wa kukaa salon kupaka rangi nywele na huku nchi inachangamoto kibao?
Labda Mkuu Babati yeye ana kipara,Sasa kwenye kipara utapaka ni!? Hata hina huwezi kukipaka kipara!![emoji3][emoji38]Mkuu hili la kupaka rangi nywele mbona linakukera sana? Mimi sidhani ni kutotaka kuonekana mzee bali ni uamuzi kwani umri wake unajulikana. Mbona kina mama wengi tu wanapaka? Kama wewe unavyopenda uonekane na nywele nyeupe basi ni haki ya mwingine kupenda kuonekana na nywele nyeusi. Ni uamuzi binafsi.
Nywele ya mama uliiiona wapi??Kaenda kivyake, ameanza kujitutumua naona maza anataka kuishia 2025, sema anachangamoto yakutokubali kuwa ni mzee kutwa anapaka rangi nywele
Vipi mkuu na wewe unapaka?Mkuu hili la kupaka rangi nywele mbona linakukera sana? Mimi sidhani ni kutotaka kuonekana mzee bali ni uamuzi kwani umri wake unajulikana. Mbona kina mama wengi tu wanapaka? Kama wewe unavyopenda uonekane na nywele nyeupe basi ni haki ya mwingine kupenda kuonekana na nywele nyeusi. Ni uamuzi binafsi.
Ameona meli inazidi kwenda mlama na mama hana mda kaamua kujitoa mhangaKaenda kivyake, ameanza kujitutumua naona maza anataka kuishia 2025, sema anachangamoto yakutokubali kuwa ni mzee kutwa anapaka rangi nywele
Sipaki kwani sina mvi. Ukoo wetu tumebarikiwa.Vipi mkuu na wewe unapaka?
Hapana, Ziara yake na taarifa ya CAG havina uhusiano, Malipo ya zile Fedha alizozitolea Ufafanunuzi umefanyika kwa Mwezi Machi, April, na Mei ikiwa ukaguzi wa CAG umeanzia Januari hadi Machi.Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi.
Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake?
Nasubiri ufafanuzi.