Sijaelewa: Ziara ya waziri mkuu Majaliwa pale Hazina inahusiana na ile report CAG aliyoagizwa na Rais Samia?

Kwani yeye waziri mkuu anasemaje?
 
Kaenda kivyake, ameanza kujitutumua naona maza anataka kuishia 2025, sema anachangamoto yakutokubali kuwa ni mzee kutwa anapaka rangi nywele
Mkuu hili la kupaka rangi nywele mbona linakukera sana? Mimi sidhani ni kutotaka kuonekana mzee bali ni uamuzi kwani umri wake unajulikana. Mbona kina mama wengi tu wanapaka? Kama wewe unavyopenda uonekane na nywele nyeupe basi ni haki ya mwingine kupenda kuonekana na nywele nyeusi. Ni uamuzi binafsi.
 
Jamaa anamiaka mingapi
 
Huo muda anautoa wapi wa kukaa salon kupaka rangi nywele na huku nchi inachangamoto kibao?
 
Hiachukui muda. Usiwe na hofu. Ni kama kunyoa tu. Au kusuka. Na siyo lazima aende salon. Hata mke wake anaweza kufanya hiyo kazi.
 
Mbona mnapotezea mada kuhusu fedha zilizopotea huko hazina kwa kuzungumzia mambo ya nywele za watu? Suala la fedha kuliwa hovyo pale hazina ni suala nyeti sana ambalo linatakiwa lishuhulikiwe kwa umakini sana kwani wale ndio watunza kibubu cha taifa. Sasa kama fedha zetu zinachotwa hovyo namna hiyo ; sisi wananchi tutapata wapi imani kuwa Fedha za nchi ni salama hivyo hatunabudi kulipa kodi?
 
Mkuu hili la kupaka rangi nywele mbona linakukera sana? Mimi sidhani ni kutotaka kuonekana mzee bali ni uamuzi kwani umri wake unajulikana. Mbona kina mama wengi tu wanapaka? Kama wewe unavyopenda uonekane na nywele nyeupe basi ni haki ya mwingine kupenda kuonekana na nywele nyeusi. Ni uamuzi binafsi.
Labda Mkuu Babati yeye ana kipara,Sasa kwenye kipara utapaka ni!? Hata hina huwezi kukipaka kipara!![emoji3][emoji38]
 
Mi nashauri wale jamaa wakati wanasubiru uchunguzi wawekwe ndani maana huo ni uhujumu uchumi. Hii itatoa funzo hata kwa wengine kutothubutu kuchezea Mali za umma.

Ni dhana iliyoanza kujengeka kwa kusema Magu hayupo sasa wanapima kina cha maji. Katika hili mama inatakiwa awe mkali na atumie incidents kama hizo kuonyesha mfano. Watanzania tuna vichwa vigumu muno, kuna mahali inabidi kuwa harsh kidogo otherwise tutageuzwa kuwa shamba LA bibi
 
Mkuu hili la kupaka rangi nywele mbona linakukera sana? Mimi sidhani ni kutotaka kuonekana mzee bali ni uamuzi kwani umri wake unajulikana. Mbona kina mama wengi tu wanapaka? Kama wewe unavyopenda uonekane na nywele nyeupe basi ni haki ya mwingine kupenda kuonekana na nywele nyeusi. Ni uamuzi binafsi.
Vipi mkuu na wewe unapaka?
 
Kaenda kivyake, ameanza kujitutumua naona maza anataka kuishia 2025, sema anachangamoto yakutokubali kuwa ni mzee kutwa anapaka rangi nywele
Ameona meli inazidi kwenda mlama na mama hana mda kaamua kujitoa mhanga
 
Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi.

Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake?

Nasubiri ufafanuzi.
Hapana, Ziara yake na taarifa ya CAG havina uhusiano, Malipo ya zile Fedha alizozitolea Ufafanunuzi umefanyika kwa Mwezi Machi, April, na Mei ikiwa ukaguzi wa CAG umeanzia Januari hadi Machi.
Aidha Ukaguzi wa CAG taarifa yake bado haijatoka ila kazi yake ndio inaelekea kwenye hitimisho!
 
Back
Top Bottom