Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma


..kwenye mikutano ya ccm, wangapi ni wafuasi wa chama, na wangapi ni mashabiki wa wanamuziki?
 
Kama wanawake wenye mimba hivi. Hah hah!
 
Tusimdharau mtu yoyote, cha muhimu tupigiwe kura na kila mtu
Dodoma ambako ndiyo makao makuu ya CCM na Serikali wananchi wake ni mazezeta. Dodoma ndiyo wanakotoka omba omba wote nchini, wanaishi nyumba za mgongo wa tembo (yaani sakafu udongo na paa udono) lakini bado wanachagua CCM.

WAGOGO HAWAJITAMBUI
 
Mbona zingine tunapostiwa?
 
Kamanda achana na hao ccm, watu ni muhimu kwenye kampeni. Leo dodoma hakuna watu kabisa, kuna tatizo chadema
Threads zako zote ni kujadili matatizo ya chadema,umetumwa wewe ,ushauri wako hatuutaki ni wa hovyo na unamfaa mkeo usilete public, nonsense
 
Mimi siendi kwenye kampeni hata moja Ila napambana kusoma habari humu Jf ,fb,Twitter Basi . Kwa kuwa Ni mzoefu wa mambo yanavyoenda nchini ,sihitaji kujua sijui Nani atafanya hivi na huyu atafanya vile. Swala nalo jua ni CCM wamefeli kuboresha maisha ya kila mtanzania basi. Hafu Niko neutral Sina chama wala sishabikii chama flani. Mimi ni bendera inayojielewa.
 

Sasa kama Wenye drones zao hawajachukua picha za juu hii haimaanishi kuwa hakukuwa na watu wengi Tabora, nenda Youtube kuna video lukuki za Shinyanga na Tabora


Tabora kulikuwa na Nyomi tazama hizi hapa: huhitaji picha ya juu ili kuprove nyomi




Dodoma Picha hizi:




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…