Unataka upostiwe wewe picha?
Kumbe ishu siyo "uwingi wa watu" tena ila ni wewe uone picha zinazopostiwa na viongozi wa CHADEMA, au siyo?
Nimekuambia una tatizo wewe....!!
Jibu lako ni hili;
Kote Shinyanga, Tabora na sasa huko Dodoma, maelfu ya watu kwa hiari yao wanahudhuria mikutano ya ufunguzi wa kampeni za mgombea Urais CHADEMA ya kikanda...
Sasa kama wewe unasubiri picha, kana kwamba picha ndo zinasikiliza sera za mgombea na baadae kupiga kura, basi kalaghabhaho...
..kwenye mikutano ya ccm, wangapi ni wafuasi wa chama, na wangapi ni mashabiki wa wanamuziki?