"Sijafurahishwa" na ushindi wa Mwabukusi: Kwanini ninasema hivyo...

"Sijafurahishwa" na ushindi wa Mwabukusi: Kwanini ninasema hivyo...

Ununuz wa ndege, ukamataji wa makinikia, kihamia Dododoma, ujenzi wa reli vote hivyo vilipingwa na wapinzani wachache tena walidai serikali inakurupuka
Tena wakipinga kwa kutoa sababu za kipumbavu, eti ni maendeleo ya vitu si watu. Sijui hivyo vitu vilikusudiwa kutumiwa na wanyama!

Fikra huru ni muhimu sana kuufikia ukombozi.
 
HONGERA MWABUKUSI

1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin hii hainipi matumaini kuwa CCM itachapwa kiboko kikali chaguzi zijazo.

UPINZANI NADHANI KUNA SOMO MMAJIFUNZA KUPITI UCHAGUZI HUU

2. Kama CCM wamepenyeza wizi wa kura, basi chaguzi zijazo zitakuwa chafu kuzidi za 2015/2020!

Jumla ya kura: 2,218
Kura zilizoharikika: 3

Boniface Mwabukusi - 1,274
Sweetbert Nkuba - 807

3. Hii margin siyo "rafiki"/indication nzuri kwa chaguzi zijazo. Na hapa hapakuwepo polisi wa kubeba maboksi kama chaguzi zilizopita. Unadhani chaguzi zijazo ambazo polisi watakuwa wametanda, kuna kushinda kweli?

4. Wasomi wanasheria bado kuna kundi kubwa liko na CCM.....807 siyo kura ndogo. MAWAKILI MMENIVUJA MOYO SANA

UPINZANI TAKE NOTE OF THIS PLEASE
Uchaguzi wa TLS polisi walizuiliwa kuingiza vurugu zozote!
Ukitaka Upinzani ushinde wazuieni kulete vurugu kwenye vituo vya kuhesabia kura!
 
Back
Top Bottom