Huna unachokijua.
TLS imeanza kabla ya hiyo Katiba unayoitaja, imeanza kabla ya Tanzania, imeanza kabla ya Nyerere kuwa Rais.
Tawala zote za Tanzania imeikuta TLS, kwasababu ilianzishwa by the Act of Parliament,1954.
Rais wa TLS enzi za Nyerere, Wolfgang Duorado, alishinikiza Serikali ibadili Katiba na Kuweka haki za binadamu kwenye Katiba.
Serikali ilimuweka kizuizini, cha ajabu baadae Serikali ilifuata mapendekezo ya TLS chini ya Wolfgang Duorado, ikewemo.
Kuwekwa haki za binadamu kwenye Katiba ( Bill of Rights), 1986.
Kuanzishwa vyama vingi vya siasa,1992.
Tume huru ya Uchaguzi.
Vitu ambavyo vipo kwenye Katiba yenu ya leo.
Hayo yote yalikuwa mashinikizo ya awali ya TLS na Serikali ilikuja kuyafuata baadae.
Unaongea hujui anything kuhusu historia ya hiii nchi kwenye tasnia ya Sheria. Brace off your ignorance imbecile.
Katiba ni mkataba wa viongozi na wananchi unaotoa uhalali wa uongozi wao na namna watakavyoongoza.
Sasa utakuwaje na katiba kabla ya kutambulika wewe ni nchi huru yenye serikali yake.
Ndio maana katiba yoyote inaanza na
preamble inayoelezea hilo ni taifa la aina gani:
Preamble ya Tanzania 👇
“NOW, THEREFORE, THIS CONSTITUTION IS ENACTED BY THE CONSTITUENT ASSEMBLY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, on behalf of the People, for the purpose of building such a society and ensuring that Tanzania is governed by a Government that adheres to the principles of democracy and socialism and shall be a secular state.
Kabla ya hapo nchi ilikuwa koloni, serikali yake ilikuwa inaongozwa na katiba ya uingereza namna nchi itakavyoongozwa, uwepo wa TLS kabla ya uhuru aina maana hiyo ni taasisi ya kiserikali.
Halafu hakuna katiba isiyo na bill of rights ni aspect ya katiba inayotaka uelezee haki za raia pia, hiyo ya UN aipo kwenye katiba ya Tanzania tu bali karibu kila nchi duniani ambayo inajitambua kama democratic. Declaration of human rights (ya ina add values tu dunia kama standardisation) ndio maana imekuwa adapted kwenye katiba nyingi duniani.
Lakini si kusema TLS ndio wamesababisha hiyo sheria iwepo kwenye katiba, labda wana mchango fulani but not full credit; vinginevyo nchi zisizofuata hizo sheria Leo ni zile ambazo zipo isolated au nyingi sio democratic au baadhi ya maudhui hayaendani na social values zao.
Ni hivi TLS inaweza ishauri serikali sio kuishinikiza, uwezi kuwa na vyama vingi halafu katiba ni ya chama kimoja, that’s just common sense kubadili katiba hata bila ya shinikizo.
Mnakuza tu mambo na mamlaka ambayo TLS hawana.