Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Kuna mahali nimesema kujiundia kitaasis changu?Ndugu kuanzia kwa raisi mpaka mwenyekiti wa mtaa, legitimacy ya powers zao ni katiba au sheria zinazotokana na katiba.
Uwezi kujiundia kitaasisi chako hata kama cha wataalamu kikawa na mamlaka kama unavyofikiria wewe kama hayapo kwenye katiba wala sheria.
Mnapenda kufikiria mambo ambayo hayapo kwenye mkataba wa uongozi wa nchi (katiba). Ndio maana katiba ina aspects of organisation (mamlaka za uongozi).
You do know uandishi wa katiba una structure pia, sio watu wanajiandikia mambo hovyo kama rasimu ya Warioba.
Let me put this straight tls inatambulika kisheria, na wana chaguzi zao, hawakuamka na kijitungia kichwani.
Hizo hizo sheria zilizowekwa ndio watakazo fata, figisui na vingine havina nafasi
Narudia tena hizo sheria zilizotungwa ndizo zitakazo tumika period
No time fo figisu or kujipendekeza kama taasis zingine. No time