"Sijafurahishwa" na ushindi wa Mwabukusi: Kwanini ninasema hivyo...

"Sijafurahishwa" na ushindi wa Mwabukusi: Kwanini ninasema hivyo...

Magufuli hakuwa na muda wa kuingilia mambo ya TLS ndio maana wakosoaji wake wakubwa Lissu na Fatma Karume uraisi wao ulikuwa kipindi chake.

Hata ilo Sakata la Mwabukusi ni mambo ya siasa za TLS tu, sema mnayakuza sana.
Mwabukusi ni Wakili pekee aliyeenda Mahakamani kupinga Mkataba mbovu wa DP World.

Kwa mtu anayejielewa na timamu kichwani lazima amuunge mkono kwasababu ni uzalendo na kulinda rasilimali zetu dhidi ya kukwapuliwa na waarabu.

Wamasai wanatimuliwa kwenye ardhi yao kwenda zaidi ya kilometa 540 ili kupisha waarabu kuiba rasilimali zetu.

Madini ya kwenye hifadhi zetu yamepewa baraka ya Rais Samia yachimbwe.

Nchi inapigwa Mnada hii ( Ndugai)

TLS inahitaji mtu jasiri na aliyeonesha mfano kutetea wananchi Mahakamani kulinda rasilimali zetu dhidi ya waarabu.
 
Ndio haya ya ‘expectation gap’, good-luck.

Kama unadhani serikali aina mandate ya kufanya maamuzi ya matumizi ya ardhi.
TLS inawaonesha wananchi serikali imekosea wapi.

Kazi kwenu nyie wananchi kuchukua hatua.

Kwasababu TLS sio muwakilishi wa wananchi, wawakilishi wenu ni Rais na wabunge.
Wakikengeuka nyie ndio mnachukua hatua kuwajibisha kama Kenya.
Msikae huko kwenye sofa mkidhani TLS ataenda kuwajibisha Serikali nyie mkiwa mmerelax.

Hapana, kila mmoja acheze nafasi yake, namna hiyo mambo yataenda vizuri.
 
Hii 'minimal impact' ni ipi? Hawa TLS walishawahi saidia wapi? Msiwarembe sana waambieni ukwel hawana impact yeyote Katika jamiii
TLS imeanza 1954, wewe unaijua TLS ya Lissu & Karume (2017-2018).

Hiyo Katiba yenye haki za Binadamu, Tume ya Uchaguzi & Mfumo wa vyama vingi vya siasa ni matokeo ya Movements za TLS tangu Nyerere.

Hivyo, mchango wa TLS 1954-2024 ni Mkubwa. Kasome historia yake ambayo wanasiasa hawataki muijue ndio utaelewa kwanini hata chaguzi za TLS zinafuatiliwa kuliko vyama vingine vyovyote kitaaluma.
 
Ndugu kuanzia kwa raisi mpaka mwenyekiti wa mtaa, legitimacy ya powers zao ni katiba au sheria zinazotokana na katiba.

Uwezi kujiundia kitaasisi chako hata kama cha wataalamu kikawa na mamlaka kama unavyofikiria wewe kama hayapo kwenye katiba wala sheria.

Mnapenda kufikiria mambo ambayo hayapo kwenye mkataba wa uongozi wa nchi (katiba). Ndio maana katiba ina aspects of organisation (mamlaka za uongozi).
You do know uandishi wa katiba una structure pia, sio watu wanajiandikia mambo hovyo kama rasimu ya Warioba.
Legitimacy ya power zao ndio inataka kila mtu awaimbie pambio za sifa na kuwa chawa wao??
 
Kwa hivyo unadhani wanasheria wataandamana kwa sababu ya maamuzi ya sera za serikali?

Umesoma katiba ya TLS kuhusu kazi zao kama ni kukosoa sera za serikali (yenye mandate ya wananchi) kuongoza nchi.

Kazi ya TLS ni kuishauri serikali maswala ya sheria (ushauri ambao serikali, aina ulazima wa kupokea, provided maamuzi yao hayavunji katiba).

Unajua maana ya katiba ya nchi na uhalali wa mamlaka zilizotajwa kwenye (organs za nchi na majukumu yao), ni wapi umeona TLS imetajwa kama sehemu ya organisation yenye mamlaka Tanzania.

Akili zenu zinawatosha wenyewe, raisi wa TLS si lolote si chochote Tanzania, ni politicisation of the process ndio inawafanya muamini huyo mtu ana umuhimu kwenye nchi ya Tanzania.
Ccm sio wajinga kutumia nguvu kubwa harafu watu wakuamini wewe hata mjinga kabisaa asiejua kitu ataona kuna kitu sio bure haiwezekani Serikali itumie nguvu kubwa vile...
 
Nahisi huelewi chochote kuhusu TLS!!!! Wewe ni wale mnaoteseka na ushindi huu wa Mwambukusi ulioonesha kuwa CCM haikubaliki kabisa miongoni mwa roho za Watanzania

Lissu hakuwahi kugombea urais kwa kupenda Ila ni baadhi tu ya Mawakili walimchukulia fomu tena nyakati hizo akiwa bado yupo Ubelgiji na alitawala kwa miezi mitano pekee yake baadae akaomba kumuachia mtu mwingine kwa sababu hakuwa vizuri kiafya

Fatma Karume alikuwa Rais wa TLS lakini bahati mbaya yule ni mwanamke tena ile power ya kufight Kama Mwambukusi bado ilikuwa chini sana

Subiri Mwambukusi aanze kuwanyoosha na mwaka huu tunaanzisha Maandamano ya kufa mtu kwenye hii nchi mpaka maji mtaita mma

Na kibaya zaid mama yenu hajui kujieleza na Watanzania wanamuona tu Kama Dalali wa rasilimali za watanganyika………sijui ataanza kushinda kwa njia zipi mwaka!???? Yaani ninawaza sana sipati jibu
Wasiwasi wangu wasije wakampiga risasi tu huyu Mwabukusi kwani wakishindwa kwa hoja wanakimbilia risasi kama walivyo magaidi wote duniani wao violence ndiyo option yao.
 
HONGERA MWABUKUSI

1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin hii hainipi matumaini kuwa CCM itachapwa kiboko kikali chaguzi zijazo.

UPINZANI NADHANI KUNA SOMO MMAJIFUNZA KUPITI UCHAGUZI HUU

2. Kama CCM wamepenyeza wizi wa kura, basi chaguzi zijazo zitakuwa chafu kuzidi za 2015/2020!

Jumla ya kura: 2,218
Kura zilizoharikika: 3

Boniface Mwabukusi - 1,274
Sweetbert Nkuba - 807

3. Hii margin siyo "rafiki"/indication nzuri kwa chaguzi zijazo. Na hapa hapakuwepo polisi wa kubeba maboksi kama chaguzi zilizopita. Unadhani chaguzi zijazo ambazo polisi watakuwa wametanda, kuna kushinda kweli?

4. Wasomi wanasheria bado kuna kundi kubwa liko na CCM.....807 siyo kura ndogo. MAWAKILI MMENIVUJA MOYO SANA

UPINZANIA TAKE NOTE OF THIS PLASE
Uko sawa KABISA.
 
Dah yaani wamamuibua kura nyingi sana Adv. Nkuba. Yaani hili jopo la wahesabu kura na wasimamizi nasikia hela zilitembea balaa
 
Hoja yangu imejikita kwenye excitement iliyojitikeza kabla na baada ya huo uchaguzi wa raisi TLS.

Hata kwa Lissu na Karume ilikuwa hivi hivi kwa wafuasi wa CDM na wanaharakati, too much talk kwenye huo uchaguzi. Baada ya ushindi ni nafasi isiyo na impact kwenye siasa za Tanzania.
Nmekuelewa lakini wao kushindwa haimanishi Boniface atashindwa

Tuone atakachofanya
So far Tanzania is a rotten country with a dead soul
 
Tatizo la Chadema wanafikir kupata uenyekiti wa TLS ndio kuiondoa CCM madarakani hiz taasis za serikali zinaongozwa kwa sheria na miongozo
 
A
Kuna uwezekano wa kuwepo kura feki hapo kwa huyo mgombea mwenye vinasaba vya CCM, madai ya uwepo mawakili kutoka Zanzibar kuja kupiga kura huku bara wakiwa wamezima mtandao wao ili ikosekane njia ya kuhakiki uhalali wa wapiga kura, inaweza kuwa sababu ya hizo kura nyingi za mgombea aliyeshindwa.

Hili ni fundisho kwa upande wangu, ili kuwashinda CCM ni lazima mpige kura nyingi sana kuizidi idadi ya kura feki ambazo CCM watazichomekea, lakini watu wakijitokeza wachache kupiga kura, hapo CCM anashinda kirahisi sana.
A very good analysis. Hata lisu aliwahi kusema mje kwa wingi mpige kura. hata wakiiba itafika mahali kura fake zitakuwa chahce kuliko halali. Mfano mmepenyeza kura 1,000, lakini wapiga kura ni 5,000..............fanya mfanyavyo mkija kuhesabu margin itakuwa kubwa sana kuliko kura fake! mtashinda!
Dah yaani wamamuibua kura nyingi sana Adv. Nkuba. Yaani hili jopo la wahesabu kura na wasimamizi nasikia hela zilitembea balaa
Nani kaibiwa Nkuba au Mwabukusi? unanichanganya
 
TLS ni kongwe kuliko Tanzania, ilianzishwa 1954 by Act of Parliament.

Usifafanishe TLS na vyama uchwara.

Unaonekana una wivu na wasomi wa sheria. Pole, unaweza kurudi shule!
Mimi nimesoma sheria as part time hobby nikiwa kazini na safari za majuu kila mwezi almost kwa kazi yangu ilivyokuwa, nimefuzu kabisa with B+ GPA, sikwenda law school! Sina wivu
 
TLS inawaonesha wananchi serikali imekosea wapi.

Kazi kwenu nyie wananchi kuchukua hatua.

Kwasababu TLS sio muwakilishi wa wananchi, wawakilishi wenu ni Rais na wabunge.
Wakikengeuka nyie ndio mnachukua hatua kuwajibisha kama Kenya.
Msikae huko kwenye sofa mkidhani TLS ataenda kuwajibisha Serikali nyie mkiwa mmerelax.

Hapana, kila mmoja acheze nafasi yake, namna hiyo mambo yataenda vizuri.
Correct, wananchi wasibweteke wakadhani TLS itawakomboa including Mayor Quimby ambaye anaona TLS haina la maana wakati yeye hatimizi wajibu wake wa kuiambia serikali ukweli/kero
 
A
Kuna uwezekano wa kuwepo kura feki hapo kwa huyo mgombea mwenye vinasaba vya CCM, madai ya uwepo mawakili kutoka Zanzibar kuja kupiga kura huku bara wakiwa wamezima mtandao wao ili ikosekane njia ya kuhakiki uhalali wa wapiga kura, inaweza kuwa sababu ya hizo kura nyingi za mgombea aliyeshindwa.

Hili ni fundisho kwa upande wangu, ili kuwashinda CCM ni lazima mpige kura nyingi sana kuizidi idadi ya kura feki ambazo CCM watazichomekea, lakini watu wakijitokeza wachache kupiga kura, hapo CCM anashinda kirahisi sana.
A very good analysis. Hata lisu aliwahi kusema mje kwa wingi mpige kura. hata wakiiba itafika mahali kura fake zitakuwa chache kuliko halali. Mfano mmepenyeza kura 1,000 fake, lakini wapiga kura ni 5,000. kura za halali za wapinzania.............fanya mfanyavyo mkija kuhesabu margin itakuwa kubwa sana kuliko kura fake! mtashinda!
 
TLS ishakuwa na raisi Tundu Lissu na Fatma Karume kama wakosoaji wakubwa wa serikali.

Sasa huyo Mwabukusi atakuja na lipi jipya. Zaidi ya kujigamba tu kwa nafasi yake

A fuss about nothing

A storm in a tea cup as far as Tanzania politics goes.
Naona unajitekenya Na unacheka mwenyewe
 
Kwani hii TLS kwa kuongozwa na ambao siyo wakosoaji, imefanya jipya lipi???
 
Back
Top Bottom