"Sijafurahishwa" na ushindi wa Mwabukusi: Kwanini ninasema hivyo...

"Sijafurahishwa" na ushindi wa Mwabukusi: Kwanini ninasema hivyo...

HONGERA MWABUKUSI

1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin hii hainipi matumaini kuwa CCM itachapwa kiboko kikali chaguzi zijazo.

UPINZANI NADHANI KUNA SOMO MMAJIFUNZA KUPITI UCHAGUZI HUU

2. Kama CCM wamepenyeza wizi wa kura, basi chaguzi zijazo zitakuwa chafu kuzidi za 2015/2020!

Jumla ya kura: 2,218
Kura zilizoharikika: 3

Boniface Mwabukusi - 1,274
Sweetbert Nkuba - 807

3. Hii margin siyo "rafiki"/indication nzuri kwa chaguzi zijazo. Na hapa hapakuwepo polisi wa kubeba maboksi kama chaguzi zilizopita. Unadhani chaguzi zijazo ambazo polisi watakuwa wametanda, kuna kushinda kweli?

4. Wasomi wanasheria bado kuna kundi kubwa liko na CCM.....807 siyo kura ndogo. MAWAKILI MMENIVUJA MOYO SANA

UPINZANI TAKE NOTE OF THIS PLEASE
Kwani TLS ni political party?

Si Kweli kuwa kura zilipigwa ki CCM na kichadema pale.

Ukiangalia idadi ya wapiga kura, mawakili wa Serikali walikuwa wengi sana na wamechangiankumpa Mwabukusi ushindi.
 
Huna unachokijua.

TLS imeanza kabla ya hiyo Katiba unayoitaja, imeanza kabla ya Tanzania, imeanza kabla ya Nyerere kuwa Rais.

Tawala zote za Tanzania imeikuta TLS, kwasababu ilianzishwa by the Act of Parliament,1954.

Rais wa TLS enzi za Nyerere, Wolfgang Duorado, alishinikiza Serikali ibadili Katiba na Kuweka haki za binadamu kwenye Katiba.

Serikali ilimuweka kizuizini, cha ajabu baadae Serikali ilifuata mapendekezo ya TLS chini ya Wolfgang Duorado, ikewemo.

Kuwekwa haki za binadamu kwenye Katiba ( Bill of Rights), 1986.

Kuanzishwa vyama vingi vya siasa,1992.

Tume huru ya Uchaguzi.

Vitu ambavyo vipo kwenye Katiba yenu ya leo.
Hayo yote yalikuwa mashinikizo ya awali ya TLS na Serikali ilikuja kuyafuata baadae.

Unaongea hujui anything kuhusu historia ya hiii nchi kwenye tasnia ya Sheria. Brace off your ignorance imbecile.
Mbona lugha Kama ya TL
 
Kwani TLS ni political party?

Si Kweli kuwa kura zilipigwa ki CCM na kichadema pale.

Ukiangalia idadi ya wapiga kura, mawakili wa Serikali walikuwa wengi sana na wamechangiankumpa Mwabukusi ushindi.
Nao wamewachoka wala na kuvimbiwa ilhali wenyewe na familia zao wanakula miayo.
 
TLS ishakuwa na raisi Tundu Lissu na Fatma Karume kama wakosoaji wakubwa wa serikali.

Sasa huyo Mwabukusi atakuja na lipi jipya. Zaidi ya kujigamba tu kwa nafasi yake

A fuss about nothing

A storm in a tea cup as far as Tanzania politics goes.
Nadhani u - Rais wa mwaka mmoja tu ulikuwa kikwazo pia kwa watu hawa kutekeleza ajenda zao..

Rais wa TLS kukaa ofisini kwa miaka mi3 at least mtu anaweza kupimwa vizuri zaidi. Expectation za CCM na serikali ilikuwa ni kuweka mtu wao pale. Kushindikana tokana na nguvu ya umma ndani ya TLS imewashitua sana..!

Kwa hulka ya Mwabukusi, ujasiri wake na kutokuwa na hofu ktk kusimamia sheria, haki na utawala bora wa sheria ndiyo inayowatia hofu CCM na serikali yao ambayo imebobea kwenye kuvunja sheria na Katiba..

Na hofu yao hii ni halali kabisa.

Wanajua na wanaelewa kuwa, mwisho wao u karibu na pengine umefika tayari.

Wanapowaona watu jasiri, wasioogopa vitisho vya serikali onevu isiyotii na kuzingatia sheria wala katiba kama Adv. Boniface Mwabukusi au Tundu Lissu wakipata sapoti kubwa ya umma na kupigiwa kura nyingi, inawapa CCM na serikali yao ishara ya hatari huko mbeleni.

Ni halali kabisa hawa jamaa kuwa na hofu.

Maandiko yenu haya toka kwa watu kama wewe Mayor Quimby, chiembe, comte, Tlaatlaah etc ni ishara na utpthibitisho wa wazi kuonesha taharuki iliyoko huko CCM..!!
 
ni muhimu kuzingatia amezingukwa na akina nani kuiongoza TLS 🐒

ni wanaharakati kama yeye?, wanataaluma au wanasiasa mawakili? anaweza kuwainfluence waendane na malengo na falsafa yake kama Rais wa TLS? 🐒

wakigomea au kudindia mienendo ya harakati zake si ndio itakua mwanzo wa mwisho wake na kuidhoofisha TLS as before?

namuona akienda kujaribu kulumbana na dollar tu kama wale wengine kabla ya adv Sungusia, hana jipya na hawezi kuleta kipya 🐒
 
ni muhimu kuzingatia amezingukwa na akina nani kuiongoza TLS 🐒

ni wanaharakati kama yeye, wanataaluma au wanasiasa mawakili? anaweza kuwainfluence waendane na malengo yake kama Rais wa TLS?🐒

wakigomea au kudindia mienendo ya harakati zake sio ndio itakua mwanzo wa mwisho wake?

namuona akienda kujaribu kulumbana na dollar tu kama wale wengine kabla ya adv Sungusia, hana jipya na hawezi kuleta kipya 🐒
He has three years.

I'm very sure, we are going to witness some things which were considered "taboos" before to be done by TLS of ndugu Mwabukusi..

Hakuna cha kulumbana na dolla wala kusigana bali ni kurejeshana ktk mstari kuendesha serikali kwa kuzingatia kanuni, sheria na Katiba..

Adv. Boniface Mwabukusi na Tundu Lissu ni watu wenye misimamo ya wazi isiyoyumba.

Ni waumini wa utawala wa sheria unaozingatia katiba ya nchi.

Ni watu wasiohongeka na rekodi ya maisha yao ktk jamii ni very clean.

Hakuna mahali pa kuwakamatia wala kupatumia kama kigezo cha kuwachafua.

Kuna mwenzenu mmoja anaitwa ChoiceVariable alijaribu kumchafua kwa kigezo eti Mwabukusi amezaliwa na kukulia Ngarenaro hivyo hawezi kuongoza TLS.

That was very stupid argument from your guy na amepigwa VIBOKO vya uhakika na wachangiaji wa mada yake. Bila shaka hana hamu huko aliko..

Hofu yenu na actually ya CCM kwa ujumla ni kuona taasisi muhimu kama hii kuongozwa na mtu wa kariba hii na jitihada zote za kumtoa ktk reli kushindikana..

I am just letting you know this. Expect the unexpected to happen in few days to come...........
 
Lisu na Fatuma Karume walikuwa marais8 wa TLS cha maana waluchobadikisha nini kwenye nchi wakati wa uongozi wao?

Mtikila ambaye hakuwa mwanasheria al8wezesha mengi kubadilika kuliko.Tundu Lissu au Fatuma Karume

Lissu au Fatuma karume wana nini cha kujivunia wakiwa maraisi wa TLS?
 
Kwani uchaguzi ulikuwa wa CHADEMA na CCM? Ninadhani ifike sehemu vijana wa CHADEMA muwe mnatumia akili kabla ya kuandika uzi humu JF. Ina maana waliompigia kura Mwabukusi walikuwa wanachadema au mawakili wa TLS?
 
Tuliisafirishwa na posho juu.
Kijani ni kikundi hatari sana.
 
Nahisi huelewi chochote kuhusu TLS!!!! Wewe ni wale mnaoteseka na ushindi huu wa Mwambukusi ulioonesha kuwa CCM haikubaliki kabisa miongoni mwa roho za Watanzania

Lissu hakuwahi kugombea urais kwa kupenda Ila ni baadhi tu ya Mawakili walimchukulia fomu tena nyakati hizo akiwa bado yupo Ubelgiji na alitawala kwa miezi mitano pekee yake baadae akaomba kumuachia mtu mwingine kwa sababu hakuwa vizuri kiafya

Fatma Karume alikuwa Rais wa TLS lakini bahati mbaya yule ni mwanamke tena ile power ya kufight Kama Mwambukusi bado ilikuwa chini sana

Subiri Mwambukusi aanze kuwanyoosha na mwaka huu tunaanzisha Maandamano ya kufa mtu kwenye hii nchi mpaka maji mtaita mma

Na kibaya zaid mama yenu hajui kujieleza na Watanzania wanamuona tu Kama Dalali wa rasilimali za watanganyika………sijui ataanza kushinda kwa njia zipi mwaka!???? Yaani ninawaza sana sipati jibu
Umetoa utetezi wa kipumbavu mno. TLS sio chama cha siasa. Hayo maandamano mtafanya nyie nyumbu ila sio TLS. Au unadhani mawakili wote wa TLS ni wanaCHADEMA?
 
Kwani TLS ni political party?

Si Kweli kuwa kura zilipigwa ki CCM na kichadema pale.

Ukiangalia idadi ya wapiga kura, mawakili wa Serikali walikuwa wengi sana na wamechangiankumpa Mwabukusi ushindi.
Kuna wapumbavu wengi humu wanatamani TLS iwe politically affiliated. Wako pande zote, ccm na huko kwingine.
 
TLS ishakuwa na raisi Tundu Lissu na Fatma Karume kama wakosoaji wakubwa wa serikali.

Sasa huyo Mwabukusi atakuja na lipi jipya. Zaidi ya kujigamba tu kwa nafasi yake

A fuss about nothing

A storm in a tea cup as far as Tanzania politics goes.
Mwabukusi ni tofauti sana na hao uliowataja hao walikuwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali yaani ni wakosoaji na hawatoi solution ya nini kifanyike, ila msikilize Mwabukusi akiwa anaikosoa serikali yeye mara zote hutoa fact na ushauri na pia unamuona kabisa anazungumza kizalendo. Mwabukusi hana siasa za chuki na kutetea vyama mara nyingi yeye humvaa yeyote anayekosea haijalishi yupo chama gani, kifupi huyu jamaa ni fikra iliye huru.
 
Shida yetu moja watanzania kujenga premise ya vitu ambavyo havipo na kuwapa watu powers ambazo hawana.

TLS ni chombo cha kuishauri serikali maswala ya sheria ikiwa kama taasisi ya wataalamu wa sheria

Sasa kwenye kuishauri serikali na wenyewe watakuwa na kanuni zao za kuunda team ya experts wa eneo husika la sheria na kutoa mapendekezo.

Serikali aina ulazima wa ku-implement ushauri wanaopewa. Mandate ya serikali hiko kwa chama kinachoshinda uchaguzi na wanakwenda na ilani yao (ambayo wakati mwingine inaweza tunga sheria mpya, provided ni ndani ya articles za katiba). Wao wanategemea washauri ndani ya civil services kuhakikisha wapio sawa.

Hayo majukumu ya TLS na umuhimu wa raisi wao au taasisi yenyewe kwenye siasa za Tanzania mnawapa nyinyi tu.
 
CONFIDENTIAL /TOP SECRET.

Pokeeni maelekezo ya MWAJIRI kama ifuatavyo:

1: wakurugenzi wa LGAs wanatakiwa kuhakikisha kwamba wanasheria wote wa LGAs ambao ni members wa TLS wanafika Dodoma by kesho bila kukosa kwa ajili ya shughuli ya 2/8/24.

2: vivyo hivyo kwa Ma RAS, refer 1 above.

3: Execuse ya mfumo kutofunguka kama kisingizio kwa wakurugenzi kutokuwaghariamia mawakili hao hakitavumiliwa wala hakitakubalika.

4: kwa mawakili hao execuse pekee ya kutokufika inayokubaliwa ni kifo au ugonjwa.

5: nyote mnaelekezwa kumchagua mgombea anayeungwa mkono na mwajiri.

Be advised accordingly.
Una hoja kubwa, agreed!
 
Mwabukusi ni tofauti sana na hao uliowataja hao walikuwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali
This is wrong! serikali haiwezi kufanya jambo jema ikapingwa! Toa mifano ambayo serikali lifanya vizuri Lisu et al wakapinga. Stop those sweeping statements!
 
This is wrong! serikali haiwezi kufanya jambo jema ikapingwa! Toa mifano ambayo serikali lifanya vizuri Lisu et al wakapinga. Stop those sweeping statements!
Ununuz wa ndege, ukamataji wa makinikia, kuhamia Dodoma, ujenzi wa reli vyote hivyo vilipingwa na wapinzani wachache tena walidai serikali inakurupuka
 
Tunaye rais wa TLS Boniface Mwabukusi ambaye atahudumu kwa miaka mitatu 2024 hadi 2027 kipindi chenye changamoto nyingi ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.

Tunategemea TLS itajiunga na wadau wengine muhimu nchini wa kuchagiza utawala bora, demokrasia, utawala wa kufuata sheria, haki na ushirikishwaji wananchi katika maamuzi mazito

1722779759358.png
 
Ununuz wa ndege, ukamataji wa makinikia, kihamia Dododoma, ujenzi wa reli vote hivyo vilipingwa na wapinzani wachache tena walidai serikali inakurupuka
We are paying dearly kwa maamuzi ya kukurupuka ya maguuli, wenye akili za kuona mbali walipinga ununuzi wa ndege . Samia mwenyewe likuja kulaumu
 
We are paying dearly kwa maamuzi ya kukurupuka ya maguuli, wenye akili za kuona mbali walipinga ununuzi wa ndege . Samia mwenyewe likuja kulaumu
Utakuwa na matatizo ya kufikiri sio bure, nchi yeyote ili iweze kuendelea ni lazima iwekeze kwenye miundombinu ya usafirishaji. Yaani inapiga kelele kuvutia wawekezaji halafu unataka wake kutumia usafiri wa mabasi.
 
Back
Top Bottom