Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mifumo haiwezi kubadilishwa bila wananchi kuamka kwenye usingizi wa ki-nyumbu waliolala. Tunarudi pale pale: tatizo la Taznania ni sisi raia!Cdm haiwezi kupata madaraka 2025 hadi mifumo ibadilishwe.
Hujui hata unachokiandika.Hoja yangu imejikita kwenye excitement iliyojitikeza kabla na baada ya huo uchaguzi wa raisi TLS.
Hata kwa Lissu na Karume ilikuwa hivi hivi kwa wafuasi wa CDM na wanaharakati, too much talk kwenye huo uchaguzi. Baada ya ushindi ni nafasi isiyo na impact kwenye siasa za Tanzania.
Kwa hivyo unadhani wanasheria wataandamana kwa sababu ya maamuzi ya sera za serikali?Nahisi huelewi chochote kuhusu TLS!!!! Wewe ni wale mnaoteseka na ushindi huu wa Mwambukusi ulioonesha kuwa CCM haikubaliki kabisa miongoni mwa roho za Watanzania
Lissu hakuwahi kugombea urais kwa kupenda Ila ni baadhi tu ya Mawakili walimchukulia fomu tena nyakati hizo akiwa bado yupo Ubelgiji na alitawala kwa miezi mitano pekee yake baadae akaomba kumuachia mtu mwingine kwa sababu hakuwa vizuri kiafya
Fatma Karume alikuwa Rais wa TLS lakini bahati mbaya yule ni mwanamke tena ile power ya kufight Kama Mwambukusi bado ilikuwa chini sana
Subiri Mwambukusi aanze kuwanyoosha na mwaka huu tunaanzisha Maandamano ya kufa mtu kwenye hii nchi mpaka maji mtaita mma
Na kibaya zaid mama yenu hajui kujieleza na Watanzania wanamuona tu Kama Dalali wa rasilimali za watanganyika………sijui ataanza kushinda kwa njia zipi mwaka!???? Yaani ninawaza sana sipati jibu
Kuonyesha umuhimu wa hiyo nafasi unatakiwa kuelezea legal powers alizonazo raisi wa TLS ndani ya Tanzania.Hujui hata unachokiandika.
Vyama vya kitaaluma vipo vingapi hii nchi? Kwanini kinachoeleweka na kusikika kwa nguvu ni TLS?
Unadhani kusikika kwake kumetokana na nini?
Wewe unadhani ni kwanini CCM na serikali yake hupambana mnoo kuhakikisha watu imara hawashiki hiyo nafasi?
Wewe unadhani ni kwanini Lissu alitwangwa risasi?
Wewe unadhani ni kwanini Lissu na Karume wamewahi kufutiwa leseni zao uwakili ili wasiwepo mahakamani?
Wewe unafikiri kwanini mawakiri wengi wameamua kumchagua Mwabukusi (mtu mwenye mwelekeo wa harakati kama za kina Lissu na Karume) sasa?
Wewe ulitaka Lissu na Karume wafanye kipi wakati wakiwa ni marais wa TLS?
Problem with you guys mnata kila taasis inyenyekee serikali au chama, hilo haliwezekani. Sheria zilizotungwa ndio zitakazo fatwa, history huwa inabadilika, and hatuishi in the past .TLS ishakuwa na raisi Tundu Lissu na Fatma Karume kama wakosoaji wakubwa wa serikali.
Sasa huyo Mwabukusi atakuja na lipi jipya. Zaidi ya kujigamba tu kwa nafasi yake
A fuss about nothing
A storm in a tea cup as far as Tanzania politics goes.
Hapo lazima waliiba zikashindwa kutimiaCcm wamejaribu kuiba weee imeshindikana,pole yao majambazi wa kura
HONGERA MWABUKUSI
1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin hii hainipi matumaini kuwa CCM itachapwa kiboko kikali chaguzi zijazo.
UPINZANI NADHANI KUNA SOMO MMAJIFUNZA KUPITI UCHAGUZI HUU
2. Kama CCM wamepenyeza wizi wa kura, basi chaguzi zijazo zitakuwa chafu kuzidi za 2015/2020!
Jumla ya kura: 2,218
Kura zilizoharikika: 3
Boniface Mwabukusi - 1,274
Sweetbert Nkuba - 807
3. Hii margin siyo "rafiki"/indication nzuri kwa chaguzi zijazo. Na hapa hapakuwepo polisi wa kubeba maboksi kama chaguzi zilizopita. Unadhani chaguzi zijazo ambazo polisi watakuwa wametanda, kuna kushinda kweli?
4. Wasomi wanasheria bado kuna kundi kubwa liko na CCM.....807 siyo kura ndogo. MAWAKILI MMENIVUJA MOYO SANA
UPINZANIA TAKE NOTE OF THIS PLASE
Ndugu kuanzia kwa raisi mpaka mwenyekiti wa mtaa, legitimacy ya powers zao ni katiba au sheria zinazotokana na katiba.Problem with you guys mnata kila taasis inyenyekee serikali au chama, hilo haliwezekani. Sheria zilizotungwa ndio zitakazo fatwa, history huwa inabadilika, and hatuishi in the past .
Mzee upo US lakini kwa makusudi kabisa umeamua kujipiga ganzi kuhusu Trump, kweli mahaba yako ni next level, come November, utarudi hapaUnajua kuna watu nao wanaiamini CCM? Ni sawa na hapa US...unaweza kujiuliza ni watu gani mashabiki wa Trump..kumbe wapo website na wahispaniki
Kuingiza siasa katika hiko chama cha kitaaluma kunakiondolea hadhi mbele ya jamii. Sasa kinaonekana chama cha hovyo.Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika,
MaCCM. licha ya kutujazia mamluki yamepigwa chali kama mbwa kokoHONGERA MWABUKUSI
1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin hii hainipi matumaini kuwa CCM itachapwa kiboko kikali chaguzi zijazo.
UPINZANI NADHANI KUNA SOMO MMAJIFUNZA KUPITI UCHAGUZI HUU
2. Kama CCM wamepenyeza wizi wa kura, basi chaguzi zijazo zitakuwa chafu kuzidi za 2015/2020!
Jumla ya kura: 2,218
Kura zilizoharikika: 3
Boniface Mwabukusi - 1,274
Sweetbert Nkuba - 807
3. Hii margin siyo "rafiki"/indication nzuri kwa chaguzi zijazo. Na hapa hapakuwepo polisi wa kubeba maboksi kama chaguzi zilizopita. Unadhani chaguzi zijazo ambazo polisi watakuwa wametanda, kuna kushinda kweli?
4. Wasomi wanasheria bado kuna kundi kubwa liko na CCM.....807 siyo kura ndogo. MAWAKILI MMENIVUJA MOYO SANA
UPINZANIA TAKE NOTE OF THIS PLASE
Huku kujifanya mnajua kuna kera sana!HONGERA MWABUKUSI

Lissu alitumikia miezi 5, akapigwa Risasi na Meko.TLS ishakuwa na raisi Tundu Lissu na Fatma Karume kama wakosoaji wakubwa wa serikali.
Sasa huyo Mwabukusi atakuja na lipi jipya. Zaidi ya kujigamba tu kwa nafasi yake
A fuss about nothing
A storm in a tea cup as far as Tanzania politics goes.
Uko sahihi kabisa! Huwa najiuliza na niliwahi kumuuliza binti mmoja kijijini kwetu anaishi USA, nikamuuliza hivi waamerika mna akili timamu? mmemchaguaje Trump, akasema na yeye linamkwaza sana! akasema wengi hawana majibu!Unajua kuna watu nao wanaiamini CCM? Ni sawa na hapa US...unaweza kujiuliza ni watu gani mashabiki wa Trump..kumbe wapo website na wahispaniki
Tena!?Hivi Maraisi wa hiyo TLS waliopita wamewahi kuwa na mchango gani kwa taifa?
Lissu alidumu miezi mitano tu, akapigwa risasi.Hoja yangu imejikita kwenye excitement iliyojitikeza kabla na baada ya huo uchaguzi wa raisi TLS.
Hata kwa Lissu na Karume ilikuwa hivi hivi kwa wafuasi wa CDM na wanaharakati, too much talk kwenye huo uchaguzi. Baada ya ushindi ni nafasi isiyo na impact kwenye siasa za Tanzania.