"Sijafurahishwa" na ushindi wa Mwabukusi: Kwanini ninasema hivyo...

"Sijafurahishwa" na ushindi wa Mwabukusi: Kwanini ninasema hivyo...

HONGERA MWABUKUSI

1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin hii hainipi matumaini kuwa CCM itachapwa kiboko kikali chaguzi zijazo.

UPINZANI NADHANI KUNA SOMO MMAJIFUNZA KUPITI UCHAGUZI HUU

2. Kama CCM wamepenyeza wizi wa kura, basi chaguzi zijazo zitakuwa chafu kuzidi za 2015/2020!

Jumla ya kura: 2,218
Kura zilizoharikika: 3

Boniface Mwabukusi - 1,274
Sweetbert Nkuba - 807

3. Hii margin siyo "rafiki"/indication nzuri kwa chaguzi zijazo. Na hapa hapakuwepo polisi wa kubeba maboksi kama chaguzi zilizopita. Unadhani chaguzi zijazo ambazo polisi watakuwa wametanda, kuna kushinda kweli?

4. Wasomi wanasheria bado kuna kundi kubwa liko na CCM.....807 siyo kura ndogo. MAWAKILI MMENIVUJA MOYO SANA

UPINZANIA TAKE NOTE OF THIS PLASE
Kutoboa mbele ya majangili ya CCM siyo kazi ndogo
 
Tatizo la Chadema wanafikir kupata uenyekiti wa TLS ndio kuiondoa CCM madarakani hiz taasis za serikali zinaongozwa kwa sheria na miongozo
WRONG.

TLS ina Rais sio mwenyekiti.

TLS sio Taasisi ya Serikali, ni Bar Association ya Mawakili binafsi & Mawakili wa serikali.

Ndio maana Rais wake hateuliwi na Serikali, anachaguliwa na Wanachama wake.
 
TLS ishakuwa na raisi Tundu Lissu na Fatma Karume kama wakosoaji wakubwa wa serikali.

Sasa huyo Mwabukusi atakuja na lipi jipya. Zaidi ya kujigamba tu kwa nafasi yake

A fuss about nothing

A storm in a tea cup as far as Tanzania politics goes.
Kwa hiyo ukiondoa Lissu na Karume wengine walikuwa MISUKULE? Unataka kutuambia CCM huwa inaweka MABUNDI na MANGEDERE yanayokata umeme SGR ili yakate umeme TLS kama ni hivyo kwanini unaona wivu kwa KAJUNJUMELE MWABUKUSI kushangiliwa na watz karibu wote wakiwamo ccm wenye ubongo ukiachana na wale wenye togwa?
 
Mimi nimesoma sheria as part time hobby nikiwa kazini na safari za majuu kila mwezi almost kwa kazi yangu ilivyokuwa, nimefuzu kabisa with B+ GPA, sikwenda law school! Sina wivu
Alisoma na bado mjinga, I expected you to spit facts and not act as a layman.
 
Kuingiza siasa katika hiko chama cha kitaaluma kunakiondolea hadhi mbele ya jamii. Sasa kinaonekana chama cha hovyo.

Anyway Chadema acheni mentality ya kugawa watu.
tatizo la CCM na watu wake ni hili. Huyu ni kada wa CCM, atakifia chama chake Utakifia chama hata kama kuvunja sheria na katiba.....chadema imegawaje watu?

Ndg Sweetbert Nkuba ametangazwa kuwa Mjumbe wa H/K ya Taifa CCM Wilaya ya Kahama baada ya kushinda uchaguzi leo hii.

Image

1722667440060.jpeg
 
Hoja yangu imejikita kwenye excitement iliyojitikeza kabla na baada ya huo uchaguzi wa raisi TLS.

Hata kwa Lissu na Karume ilikuwa hivi hivi kwa wafuasi wa CDM na wanaharakati, too much talk kwenye huo uchaguzi. Baada ya ushindi ni nafasi isiyo na impact kwenye siasa za Tanzania.
TL alipigwa risasi nyingi sana miezi mitano baadae, nakukumbusha.

Excitement? Mawakili walimtaka Mwakubusi na ameshinda, Lazima wawa excited na kufurahi… Ulitakaje?
 
Tatizo la wabongo ni kutokuridhika na chochote kile.
treni imegoma huko hamjaridhika,
mwabukusi kashinda hamtaki mnasingizia ccemu.
Rais wenu wa zamani TLS akajifananisha na Rais wa JMT.
Hamjaridhika,ukipewa uwezo wa kula kwa siku ukishiba utalaumu kwanini Mungu hakuweka choo hapo ulipo.
Unakunywa bia ukishikwa mkojo unalaumu serikali ya Magufuli.
Hizo ni tabia za kivivu wa akili na umaskini kwa ujumla.
Mtu unapewa kazi TRA au popote serikalini unawaza kuiba,ukitumbuliwa unalaumu.
Hamueleweki
 
HONGERA MWABUKUSI

1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin hii hainipi matumaini kuwa CCM itachapwa kiboko kikali chaguzi zijazo.

UPINZANI NADHANI KUNA SOMO MMAJIFUNZA KUPITI UCHAGUZI HUU

2. Kama CCM wamepenyeza wizi wa kura, basi chaguzi zijazo zitakuwa chafu kuzidi za 2015/2020!

Jumla ya kura: 2,218
Kura zilizoharikika: 3

Boniface Mwabukusi - 1,274
Sweetbert Nkuba - 807

3. Hii margin siyo "rafiki"/indication nzuri kwa chaguzi zijazo. Na hapa hapakuwepo polisi wa kubeba maboksi kama chaguzi zilizopita. Unadhani chaguzi zijazo ambazo polisi watakuwa wametanda, kuna kushinda kweli?

4. Wasomi wanasheria bado kuna kundi kubwa liko na CCM.....807 siyo kura ndogo. MAWAKILI MMENIVUJA MOYO SANA

UPINZANI TAKE NOTE OF THIS PLEASE
CONFIDENTIAL /TOP SECRET.

Pokeeni maelekezo ya MWAJIRI kama ifuatavyo:

1: wakurugenzi wa LGAs wanatakiwa kuhakikisha kwamba wanasheria wote wa LGAs ambao ni members wa TLS wanafika Dodoma by kesho bila kukosa kwa ajili ya shughuli ya 2/8/24.

2: vivyo hivyo kwa Ma RAS, refer 1 above.

3: Execuse ya mfumo kutofunguka kama kisingizio kwa wakurugenzi kutokuwaghariamia mawakili hao hakitavumiliwa wala hakitakubalika.

4: kwa mawakili hao execuse pekee ya kutokufika inayokubaliwa ni kifo au ugonjwa.

5: nyote mnaelekezwa kumchagua mgombea anayeungwa mkono na mwajiri.

Be advised accordingly.
 
Uzoeofu duniani kote kabisa unaonyesha kwamba Umma haujawahi kushindwa jambo lolote lile pale unapoamua kwa dhati kabisa kulitenda jambo hilo.

Mamlaka zote kabisa zilizopo zinapaswa kulitambua suala hili.
 
Sometimes you have to accept life events as they have ‘panned out’ historically.
If that were the case, the world would still be in the "Dark Ages"!

What a big 'fuss' you're indulging yourself into!
How do you know that "Sometimes" is now and with this specific issue?
 
Ccm wamejaribu kuiba weee imeshindikana,pole yao majambazi wa kura
Hao walioko CCM jua kuna mrija unawapa kula ndiyo maana lazima waunge mkono kwani game likichenji hawajui watakula wapi
 
Huna unachokijua.

TLS imeanza kabla ya hiyo Katiba unayoitaja, imeanza kabla ya Tanzania, imeanza kabla ya Nyerere kuwa Rais.

Tawala zote za Tanzania imeikuta TLS, kwasababu ilianzishwa by the Act of Parliament,1954.

Rais wa TLS enzi za Nyerere, Wolfgang Duorado, alishinikiza Serikali ibadili Katiba na Kuweka haki za binadamu kwenye Katiba.

Serikali ilimuweka kizuizini, cha ajabu baadae Serikali ilifuata mapendekezo ya TLS chini ya Wolfgang Duorado, ikewemo.

Kuwekwa haki za binadamu kwenye Katiba ( Bill of Rights), 1986.

Kuanzishwa vyama vingi vya siasa,1992.

Tume huru ya Uchaguzi.

Vitu ambavyo vipo kwenye Katiba yenu ya leo.
Hayo yote yalikuwa mashinikizo ya awali ya TLS na Serikali ilikuja kuyafuata baadae.

Unaongea hujui anything kuhusu historia ya hiii nchi kwenye tasnia ya Sheria. Brace off your ignorance imbecile.
Katiba ni mkataba wa viongozi na wananchi unaotoa uhalali wa uongozi wao na namna watakavyoongoza.

Sasa utakuwaje na katiba kabla ya kutambulika wewe ni nchi huru yenye serikali yake.

Ndio maana katiba yoyote inaanza na preamble inayoelezea hilo ni taifa la aina gani:

Preamble ya Tanzania 👇
“NOW, THEREFORE, THIS CONSTITUTION IS ENACTED BY THE CONSTITUENT ASSEMBLY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, on behalf of the People, for the purpose of building such a society and ensuring that Tanzania is governed by a Government that adheres to the principles of democracy and socialism and shall be a secular state.

Kabla ya hapo nchi ilikuwa koloni, serikali yake ilikuwa inaongozwa na katiba ya uingereza namna nchi itakavyoongozwa, uwepo wa TLS kabla ya uhuru aina maana hiyo ni taasisi ya kiserikali.

Halafu hakuna katiba isiyo na bill of rights ni aspect ya katiba inayotaka uelezee haki za raia pia, hiyo ya UN aipo kwenye katiba ya Tanzania tu bali karibu kila nchi duniani ambayo inajitambua kama democratic. Declaration of human rights (ya ina add values tu dunia kama standardisation) ndio maana imekuwa adapted kwenye katiba nyingi duniani.

Lakini si kusema TLS ndio wamesababisha hiyo sheria iwepo kwenye katiba, labda wana mchango fulani but not full credit; vinginevyo nchi zisizofuata hizo sheria Leo ni zile ambazo zipo isolated au nyingi sio democratic au baadhi ya maudhui hayaendani na social values zao.

Ni hivi TLS inaweza ishauri serikali sio kuishinikiza, uwezi kuwa na vyama vingi halafu katiba ni ya chama kimoja, that’s just common sense kubadili katiba hata bila ya shinikizo.

Mnakuza tu mambo na mamlaka ambayo TLS hawana.
 
If that were the case, the world would still be in the "Dark Ages"!

What a big 'fuss' you're indulging yourself into!
How do you know that "Sometimes" is now and with this specific issue?
Given TLS limited powers and the institution being more like a NGO (not even a quasi-quango); their election drama are usually a fuss about nothing.

Not the institution nor their president can force the government to adapt legal measures they don’t wish to. TLS is a toothless dog only barks.
 
You're creating 'drama' yourself unwittingly by all this nonsense you are indulging in here. And for what good?

Who said TLS is going to usher in change instantly on its own?
 
HONGERA MWABUKUSI

1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin hii hainipi matumaini kuwa CCM itachapwa kiboko kikali chaguzi zijazo.

UPINZANI NADHANI KUNA SOMO MMAJIFUNZA KUPITI UCHAGUZI HUU

2. Kama CCM wamepenyeza wizi wa kura, basi chaguzi zijazo zitakuwa chafu kuzidi za 2015/2020!

Jumla ya kura: 2,218
Kura zilizoharikika: 3

Boniface Mwabukusi - 1,274
Sweetbert Nkuba - 807

3. Hii margin siyo "rafiki"/indication nzuri kwa chaguzi zijazo. Na hapa hapakuwepo polisi wa kubeba maboksi kama chaguzi zilizopita. Unadhani chaguzi zijazo ambazo polisi watakuwa wametanda, kuna kushinda kweli?

4. Wasomi wanasheria bado kuna kundi kubwa liko na CCM.....807 siyo kura ndogo. MAWAKILI MMENIVUJA MOYO SANA

UPINZANI TAKE NOTE OF THIS PLEASE
Huu ni ujumbe rafiki kwa wale wanaotegemea kura za wizi na baada ya kuzihesabu kwa wizi wao wanajidai kumwomba Mungu Msamaha, na ujumbe huu huenda ni Mpango wa Mungu kuwa hadhihakiwi na kule waendapo wajue lililo kataliwa duniani na mbinguni limekataliwa.
 
Back
Top Bottom