Sijajua vigezo vilivyotumika kumteua Mwigulu kuwa Waziri Mkuu, hafai

Sijajua vigezo vilivyotumika kumteua Mwigulu kuwa Waziri Mkuu, hafai

FB_IMG_1772545504390.jpg
Mzee wetu amesema japo robo ya ukweli wamemkalisha.
 
Kikwete ndio anawaweka hao, kuanzia Pinda, Shemeji yake Majaliwa na. sasa boya Mwigulu

Lowassa alipoonyesha akili akamhujumu
Tabia ya kuweka PM chawa ilianzishwa na Mkapa, Sumaye alikuwa ni chawa mtiifu na hapo ndipo marais wakabaini urahisi wa kumkimbizakimbiza kiboya PM akiwa ni chawa asiyejiamini.
 
Hilo ni chawa tiifu kwa CCM tangu miaka ya 90s.

CCM ilishapoteza mwelekeo kitambo sana ndo maana viongozi wanapachikwa kwa kujuana nasi kwa uweledi wao.
Mwigulu ni mwizi na mpanga maasi mbobevu.
Ni mtu ambaye anatamani vyama vya upinzani vifutike ibaki CCM tu.
 
Back
Top Bottom