Hakuna cha haiba wala nini.
Sasa hivi Tanzania hatuna serikali, tuna genge la wahalifu wanaowatumia polisi na wanajeshi kuhold power.
Hatutakubali kabisa kuwatambua hao watu.
Hakuna cha haiba wala nini.
Sasa hivi Tanzania hatuna serikali, tuna genge la wahalifu wanaowatumia polisi na wanajeshi kuhold power.
Hatutakubali kabisa kuwatambua hao watu.
Sasa huyu ndo waziri mkuu, kama ameisha wagusa panapo.GT,
Hii ni maajabu huyu jamaa hana haiba ya Uwaziri Mkuu hata kidogo, anaonekana muhuni tu tofauti na wenzake waliopita.
Wangetafuta figure nyingine lakini siyo huu jamaa maana hayuko mioyoni mwa watanzania.
Mwigulu ana msururu wa kashfa, hiyo nafasi haimfai hata kidogo. Japo Kadogosa ni mgeni bungeni, kidogo ana haiba ya Uwaziri Mkuu.
TumepigwaHakuna cha haiba wala nini.
Sasa hivi Tanzania hatuna serikali, tuna genge la wahalifu wanaowatumia polisi na wanajeshi kuhold power.
Hatutakubali kabisa kuwatambua hao watu.
Waziri wa mikopo na madeni ya TaifaSasa huyu ndo waziri mkuu, kama ameisha wagusa panapo.
Huyu huyu tunaenda nae mpaka mtashika adabu kwa hii miaka mitano.
Na bado kidogo mtaiona sura yake haswaaa. Na huyu ni special kwa ajili yenu, sio bahati mbaya kuipata hiyo nafasi.
Hiv hawanaga semina ya uwazir mkuu? Hakuna wazee wanao mseminisha mtu akiupata uwazir mkuu? Yaan jaman jaman labda awe katibu mwenez wa ccm,GT,
Hii ni maajabu huyu jamaa hana haiba ya Uwaziri Mkuu hata kidogo, anaonekana muhuni tu tofauti na wenzake waliopita.
Wangetafuta figure nyingine lakini siyo huu jamaa maana hayuko mioyoni mwa watanzania.
Mwigulu ana msururu wa kashfa, hiyo nafasi haimfai hata kidogo. Japo Kadogosa ni mgeni bungeni, kidogo ana haiba ya Uwaziri Mkuu.
Tupo pamoja katika hilo....like son like mother.
Kikwete ndio anawaweka hao, kuanzia Pinda, Shemeji yake Majaliwa na. sasa boya MwiguluHuyu, kwa wanaomjua, alianza uchawa akiwa shule.
Kama akichunguzwa wizi uliotokea chini yake akiwa wizara ya fedha, hawa wanaompamba hata kama wamenunuliwa au kujipendekeza, watakosa pa kuficha nyuso zao. Kimsingi, hakuna chawa yeyote anayefaa kuwa rais hata wa kundi la nyumbu.
Kimsingi, hajawahi kutokea waziri mkuu wa hovyo kama huyu
Nawasilisha.