Sijajua vigezo vilivyotumika kumteua Mwigulu kuwa Waziri Mkuu, hafai

Sijajua vigezo vilivyotumika kumteua Mwigulu kuwa Waziri Mkuu, hafai

Kwa kawaida mawaziri wakuu kuanzia Kina Sokoine, Sumaye, Pinda mpaka Majaliwa ni watu makini sio watu wa siasa na propaganda bali watendaji na wazungumzaji makini na wenye mamlaka. Ila huyu ni wa tofauti sana
Simpo. Alifanikisha wizi wa fedha za uchaguzi mbali na kumuondoa kuwa tishio kwa Riziwani Kikwete huko tuendako. Isitoshe, mwehujuu ni flower girl wa Kikwete tangu akiwa shule kule Singida ambako mama yake Riz anatokea.
 
Alimshauri Magu afiche statistics za covid ili Tz ionekanane haina ugonjwa na ss hivi anarudia kuficha mauaji wakati wapo uchi kabisa strategist wa mama yao
 
Mimi ninavyofahamu waziri mkuu hutokana na wabunge.

Sasa huo uchaguzi wa kuchagua wabunge ulifanyika lini ?
 
Ana mihemko, siyo strategist mzuri(kamshauri mama kuwa tatizo la watanzania ni watumishi wa umma wazembe!!) na hivi karibuni amethibitika kuwa muongo.
Huyo mama Hana uwezo wa kuchakata mambo mpk afanyie kazi kila analoshauriwa hata kama ni baya?
 
Kwa kawaida mawaziri wakuu kuanzia Kina Sokoine, Sumaye, Pinda mpaka Majaliwa ni watu makini sio watu wa siasa na propaganda bali watendaji na wazungumzaji makini na wenye mamlaka. Ila huyu ni wa tofauti sana
Wote hamna kitu. Afadhali ya Lowassa.
 
Back
Top Bottom