Sijajua vigezo vilivyotumika kumteua Mwigulu kuwa Waziri Mkuu, hafai

Sijajua vigezo vilivyotumika kumteua Mwigulu kuwa Waziri Mkuu, hafai

Kuna mahali nilisikia Mwigulu ana PhD, hivi kwa akili ya fomfoo div three, kuna mtu anaamini kweli kwamba kuna mwanajeshi wa marekani alijaribu kuingiza nchini mabomu 4 yenye rangi za chadema. Kuna anayeamini yale ni mabomu ya kweli, mwanajeshi wa marekani anaweza kua na kitambi na kuvaa pete kama mganga wa kienyeji?

That is one.

Two. Hivi Mwigulu kuna swali lolote alilijibu vizuri katika yale aliyoulizwa na waandishi wa habari?

Jamaa haoneshi kabisa kama kasoma Mazengo.

Hivi unaweza kumlinganisha na waziri mkuu gani. Usimtaje Nyerere wala Salim.
 
Mwingulu alitakiwa kua jela kitambo sana huyu ndo alisema ana ushahidi Rwakatare kuwa gaidi.

Huyu ndo amekuwa anamiliki vikundi vya mauaji. Huyu mabomu ya Arusha alikuwa anahusika.

Huyu kaua mfuko wa road fund akiwa Waziri wa Fedha ulionanzishwa na Magufuli kwa ajili ya wakandarasi.

Team mtandao, ni mtu kuwa jela muda mrefu.

Halafu GenZ na watanzania, kwanini wanamchekea na uzalendo fake?

Ndo maana Magufuli alimweka pembeni
 
GT,

Hii ni maajabu huyu jamaa hana haiba ya Uwaziri Mkuu hata kidogo, anaonekana muhuni tu tofauti na wenzake waliopita.

Wangetafuta figure nyingine lakini siyo huu jamaa maana hayuko mioyoni mwa watanzania.

Mwigulu ana msururu wa kashfa, hiyo nafasi haimfai hata kidogo. Japo Kadogosa ni mgeni bungeni, kidogo ana haiba ya Uwaziri Mkuu.
Inategemea uwezo wa aliye mteua, pili uwezo wa wasaidizi wa mteuzi
 
Kwa kawaida mawaziri wakuu kuanzia Kina Sokoine, Sumaye, Pinda mpaka Majaliwa ni watu makini sio watu wa siasa na propaganda bali watendaji na wazungumzaji makini na wenye mamlaka. Ila huyu ni wa tofauti sana
Huyu ni mwizi kauteuliwa kwa sifa za wizi na mwizi mwenzake!
 
GT,

Hii ni maajabu huyu jamaa hana haiba ya Uwaziri Mkuu hata kidogo, anaonekana muhuni tu tofauti na wenzake waliopita.

Wangetafuta figure nyingine lakini siyo huu jamaa maana hayuko mioyoni mwa watanzania.

Mwigulu ana msururu wa kashfa, hiyo nafasi haimfai hata kidogo. Japo Kadogosa ni mgeni bungeni, kidogo ana haiba ya Uwaziri Mkuu.
Siku hz hatuangalii sifa ni uswahiba na upartner baas.
 
We acha tu hili kasheshe jamaa linajua kutudhalilisha!
Amewaheshimisha, kutoa waziri mkuu sio jambo dogo ujue. Japo sasa master wake ndio hivyo tena, binafsi sina baya kivile na Nchemba.
 
Tuambie kwanza

1. Umepita kwenye mioyo ya watanzania wangapi na kwa kutumia methodology ipi?

2. Tupatie hizo kashifa ni zipi na zipi? Syo unakuwa kama wale jamaa walitumia helikopta kumtangaza mtu kuwa fisadi, then wakamteua kugombea urais
Kura hazikupigwa kwa kiwango cha kawaida. Zilizopigwa hazikuhesabiwa kwa taratibu za kawaida. Zilizohesabiwa hazikujumlishwa kwa kiwango cha kawaida. Hata zilizojumlishwa haikuwafikia Tume ya Uchaguzi kwa utaratibu uliozoeleka.

Sasa kwamaana hiyo huoni kuwa ni genge la wahuni tu wameamua kujitwalia madaraka kwa nguvu ya vyombo vya dola??

Unataka tukafukue makaburi ya nn wakati kuna hili lililopo mbele ya macho yetu?? Au kwako siyo uchafu/kashfa??
 
Kwa kawaida mawaziri wakuu kuanzia Kina Sokoine, Sumaye, Pinda mpaka Majaliwa ni watu makini sio watu wa siasa na propaganda bali watendaji na wazungumzaji makini na wenye mamlaka. Ila huyu ni wa tofauti sana
Exactly 💯 PM ni mtendaji siyo brabra
 
Back
Top Bottom