Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Kawekwa kwa sababu ya utakatishaji wa ufisadi.GT,
Hii ni maajabu huyu jamaa hana haiba ya Uwaziri Mkuu hata kidogo, anaonekana muhuni tu tofauti na wenzake waliopita.
Wangetafuta figure nyingine lakini siyo huu jamaa maana hayuko mioyoni mwa watanzania.
Mwigulu ana msururu wa kashfa, hiyo nafasi haimfai hata kidogo. Japo Kadogosa ni mgeni bungeni, kidogo ana haiba ya Uwaziri Mkuu.
Wamekopa matrillion ya pesa kwa kisingizio cha kuendeleza miradi ya kimkakati, pesa zote wameweka mifukoni mwao, miradi yote imekwama na kuliachia taifa mzigo wa madeni na umaskini.
Hapo hatumikii waTz, anatumikia genge lao la wanamtandao lililotajwa na Polepole.
Ndiyo maana hata majibu aloulizwa na waandishi juu ya utekaji, mauaji nk nk, hakuwa na majibu yenye mantiki.