Hujawafuatilia vizuri hao wakenya wewe.Hawana chuki ni watani tuu km waha na wahaya,,,
Asa mkenya akuchukie kisa nn ?? Atafaidika na nn ??
Watanzania wanaoshoboka kwa hao wakunya huwa nadhani hawajui rangi halisi za wakunya, sio ndugu zetu bali ni majirani wapumbavu wenye wivu na chuki.Hujawafuatilia vizuri hao wakenya wewe.
Hao wana chuki kuanzia uongozi wao hadi raia.
Kipindi cha Uhuru Kenyatta walianzisha COW coalition of willing na kuwaita Uganda na Rwanda na Tanzania wakaitenga,hiyo COW ikafa.
Mpango wa kujenga SGR ulikua wa Afrika mashariki nzima,wao wakajitoa na wakatutenga wakaanzisha ujenzi wao wenyewe,Mungu sio Athumani wala Dula akaja Magufuli akakataa kujenga standards za Kenya akajenga better standard continuos welded rail electrified with electric trains. Likawashuka.
Sakata la Samia kuhamisha wamaasai walienda kutangaza vyombo vya kimataifa kuwa wamaasai wanapigwa risasi na walanalazimishwa kuhama.
Hadi wanaharakati wa kimataifa walikuja juu.
Wana chuki mbaya sana hao tena saanaa.
Na hawajui kama wanawaumiza na wenzao ambao tupo nao huku.Watanzania wanaoshoboka kwa hao wakunya huwa nadhani hawajui rangi halisi za wakunya, sio ndugu zetu bali ni majirani wapumbavu wenye wivu na chuki.
Tusi gani alitukanwa Rais?Hata walipokuwa wanamtukana Rais wa Tanzania na serikali nao ule ni utani ?
Wana genye.Husika na kichwa cha habari hapo juu
Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu
Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
Sisi ni Watani wajadi.Husika na kichwa cha habari hapo juu
Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu
Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
Nakubaliana na wewe!!Hawana chuki ni watani tuu km waha na wahaya,,,
Asa mkenya akuchukie kisa nn ?? Atafaidika na nn ??
Kwani hakuna Watanzania wengi wanaomtukana Samia?Hata walipokuwa wanamtukana Rais wa Tanzania na serikali nao ule ni utani ?
Mzazi wako akitukanwa na watoto wa nyumba ya jirani utajisikiaje ?Kwani hakuna Watanzania wengi wanaomtukana Samia?
Ipo siku tutakiwasha ili washike adabuNjaa mbaya inaweza kufanya mtu mzima uhoronye ovyo,, huo ndio uhalisia wa wakinya
Ulegevu wa nn ?? Mimi Kenya ndo nimepatia hela ya kunisomesha, chakula tunachokula kinatoka kenya malisho ya mifugo,,We nae hebu acha ulegevu.
Na walikuwa wanapiga pesa kupitia sisi yaani kwa mfano wanapiga picha za mlima Kilimanjaro au Ngorongoro/Serengeti kisha wanawadanganya wazungu kuwa ni mlima wao.Miaka ya nyuma walikuwa wanatuchukulia poa walimezeshwa matangopori kuhusu TZ sasahivi kutokana na utandawazi wameijua TZ uhalisia wake . Uko sawa
Itoshe kusema tumewashika pabaya hawaamini wanachokionaNa walikuwa wanapiga pesa kupitia sisi yaani kwa mfano wanapiga picha za mlima Kilimanjaro au Ngorongoro/Serengeti kisha wanawadanganya wazungu kuwa ni mlima wao.
Sasa hivi kwa sababu ya mitandao ukweli uko waziwazi ndio maana wanaumia kwa sababu hakuna nchi nyingine mbadala ya kwenda kupiga pesa kwa ukanda wa Afrika mashariki.
Ukiondoa Tanzania na Kenya zingine zilizobaki ziko unstable zinatia huruma
Aiseee kwa maelezo hayo nimegundua wana haki ya kuwewesekaWakenya kavu tu tena mnavyowafatilia ndio mnawapa kichwa wana life ngumu sana hao jamaa wao wameshindwa kuchukua ardhi kwa viongozi wao wanataka kuja kulima vitunguu kwetu wakauze kwao aisee hapo kwao ardhi yote inamilikiwa na watu wachache sana..
Mzazi kwanini atukanwe?Mzazi wako akitukanwa na watoto wa nyumba ya jirani utajisikiaje ?
Hao jamaa ni sisi ni watani wa jadi, sawa na Simba na Yanga.Hao sio suala la maendeleo wana wivu na chuki na sisis