Sijajua wa Kenya wanawashwa nini na wa Tanzania

Hao wana chuki na sisi umeshaona wanavyomtusi mama samia na watu wa TZ
 
Utawasikia;
1. Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2. Diamond ni mkenya
3. Zuchu ni mkenya etc
 
Utawasikia;
1. Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2. Diamond ni mkenya
3. Zuchu ni mkenya etc
Wapuuzi sana hawa. Wamekaa hawajatosheka wanaanza kusambaza uvumi kuwa wamenunua tiketi za mechi ya TZ vs Morocco hivyo raia hatutaweza kuingia kwasababu Kenya wamenunua tiketi zote.
Ilhali HUWEZI kununua tiketi kiholela mfumo unadhibitiwa na NIDC.
Kila mara wao ni ***** ***** tu.
 
Wakenya hawajiamini hata kwenye vitu wanavyoona wametuzidi lakini bado wanatuonea wivu, wanatamani wangeishi maisha tunayoishi sisi, hawalali usingizi kutwa kuchungulia kwetu kuna nini. Kwa ujumla wana matatizo ya afya ya akili.
Na hiyo imetokana na uongo waliolishwa muda mrefu juu yetu. Sasa baada ya kutembea na Tanzania kujitangaza na wakaiona hata mitandaoni wanaona uhalisia kwa ground ni tofauti na walivyoaminishwa kuwa sisi ni masikini.
 

Wakati wanavunja East African Cimmunity, kina Sir Njonjo walijua wametangulia mbele sana. Tanzania ikawa inaenda mdogo mdogo. Ila sasa, kwa jinsi mambo yalivyo, viwanda vingi Kenya vinategemea malighafi toka TZ.

Halafu mnawabania. Mpaka nsima mnawabania. Ndio maana wanawamind sana
 
Sio kweli.
 
Sio kweli
 
Wana akili kuwazidi, wa bongo Mara 100+,
Bunge la Kenya limejaa academicians, wwmasheria, wabobezi, njoo kwetu hapa, kuna kibajaji, Babu, tale, msambatavangu watu wapo bungeni kqmq wanacheza rede
 
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe kwanini umeleta uzi humu kujaza seva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…