Sijajua wa Kenya wanawashwa nini na wa Tanzania

Sio kweli.
Mkuu unataka kutetea umamani!?
Huo ndio uhalisia mkuu na ni painful truth.
Kenya wana wivu na Tanzania in all aspects.
Hata huko mitandaoni inajieleza wazi.
Na hili hadi viongozi wao huwalisha propaganda mbaya raia wa Kenya kuhusu Tanzania.
Kama mfuatiliaji wa geopolitics utakua unaelewa nachokusudia.
 
Hata sisi watz tunapenda ligi. Labda wewe tu.
 
Kwa hili sasa unatakiwa uwasifu; badala ya kuwalalamikia
Wewe ulishawahi kujifananisha na kitu ambacho hukipendi au haukukubali?
Ukiona mtu anajifananisha na wewe mpe pongezi; anakukubali
 
Tangu akunwe mwangi…. Wote wanataka sasa
 
Ni competition nzuri tu kwa maendeleo ila deep down wanaipenda Tz sana. Tanzania ni blessed country ni basi tu.
 
Kama nakuona na likanzu la muarabu umekunja sura 🤣🤣🤣
Wewe jamaa sidhani kama mzima , kutokana na wewe naamini 100% Kenyans wengi mna matatizo ya akili mmewehuka.

Hapa kanzu imeingiaje mbusi wewe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…