Alphamale wa JF
Member
- Sep 21, 2024
- 73
- 227
Panafaa sana. Kuna jamaa pale wanazalisha miche ya Nyanya na kuwauzia wakulima. Nakushauri nenda kalime na ukifika pale niambie nikupe connection mkuu.Mimi nimesoma Dakawa high school kipindi hicho ikiwa mchanganyiko na sasa ni girks,vipi kuhusu Doma karibu na mikumi panafaa kwa kilimo?
Hapana Mimi ni paroko mkuuOyaaaa mwamba ilo zaga ni lako kumbe ebhanaeee 🔥
Mahenge ya Iringa au ya hapa Morogoro?Naipendaga sana ile comment yako Makolo wakifungwaga. 😀😀😀Nipo Mwana Utopolo OG toka Mahenge nchi ya asali na maziwa 😃
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mashamba wameshagawiwa watu. Sasa ya kugaiwa hayapo labda ukodishe toka kwa wenyeji japo changamoto yake ni kuingizwa mjini mkuu.Habari mkuu,hivi taratibu za kupata shamba hapo dakawa zipoje?natamani sana kupata nilishakuja nikakosa
Asante mkuu,msimu mzuri mwexi wangapi,hapo uliposena kyzalisha m8che ya nyanya sijaupata uzuri,yaani hawauzi mbegu bali miche right?Panafaa sana. Kuna jamaa pale wanazalisha miche ya Nyanya na kuwauzia wakulima. Nakushauri nenda kalime na ukifika pale niambie nikupe connection mkuu.
Mahenge ya iringa nimekumbuka kuna karanga sana paleMahenge ya Iringa au ya hapa Morogoro?Naipendaga sana ile comment yako Makolo wakifungwaga. 😀😀😀
Baba yangu alikuwa mkulima maarufu sana Mzee Swai. Huko Tunguli, Kibati na maeneo mengine hadi Kiteto Manyara mzee alikuwa mashamba so nilikuwa naenda naye shambani toka enzi hizo.Ulikuwa unachezea Mtibwa Sugar, kiwango kizuri hicho professionally.
Ukaamua kuachana na mpira na kujikita kwenye kilimo. Vipi kwenye mpira hakuna fursa kama ukocha nk au kilimo kinalipa zaidi?
Ndio ni biashara inayofanywa na watu wengi kuzalisha miche ya Nyanya hapa Morogoro na niliona wengine pale Iringa na Mbeya.Asante mkuu,msimu mzuri mwexi wangapi,hapo uliposena kyzalisha m8che ya nyanya sijaupata uzuri,yaani hawauzi mbegu bali miche right?
Asante mkuu,kwa hiyo mwezi wa tisa wa kumi ndio muda wa kusia au kupanda,Doma huwa napita nilipapenda sana baada ya kuona yake mashambaNdio ni biashara inayofanywa na watu wengi kuzalisha miche ya Nyanya hapa Morogoro na niliona wengine pale Iringa na Mbeya.
Mwezi mzuri sisi tunauita Off season kipindi ambacho nyanya hakuna mashambani na sokoni ndio wewe una calculate muda huo utoe mzigo. Kuanzia kwezi 1 hadi 3 ni kipindi cha noti kwenye Kilimo cha Nyanya.
Sawa mkuu. Ningeandika ila naogopa kupotea.Sina uhakika unachosema maana nilipata nafasi ya kuzungumza na wenyeji walisema ardhi ipo niwewe na Hela Yako.
Ruaha nbuyuni ipo kilolo sehemu kubwa,pale akiendabila kuoga dawa za kisukuma atarudi kwao kwa miguu,kuna urozi hatari,kuna technolojia ya kuiba mazao shambani kwa nguvu za gizaWakati mwingine uje na Kilosa nikutembeze vijijini ujionee fursa za wazi kuanzia:-
Dumila na mateteni-kilimo Cha Nyanya
Kilangali, Tindiga, Kivungu- Kilimo Cha mpunga
Zombo, Ulaya-kilimo Cha mahindi
Lumuma, Pwaga, Mnozi, Ruaha mbuyuni, Kitati, Kidete n.k - kilimo Cha vitunguu na Mahindi
Sehemu zote hizo mazao mchanganyiko kama mbaazi, ufuta, kunde, maharage, alizeti n.k yanalimwa sana pia ufugaji wa kuku, Bata, kanga, mbuzi, nguruwe, Ng'ombe, punda n.k
Karibu Kilosa
Wenye nao wewe si unawajua?utaweza kunisaidia niwapate?Mashamba wameshagawiwa watu. Sasa ya kugaiwa hayapo labda ukodishe toka kwa wenyeji japo changamoto yake ni kuingizwa mjini mkuu.
Ukweli lazima usemwe hata kama unauma mimi ni mmoja wapo nilipokifika kijijini kwetu nakuta vijana wapo kijiwe tu hana hata buku,,,nikawasemA Sana na wapo waliokiongea kama wewe mara hawana mitaji mara Mungu hajawamulia na blahblah kibao....ila nashukuru asilimia kubwa kwasasa kijijini kwetu wanapambana mno na kilimo na wengi wamepata mafanikio....kijana mwenye nguvu ukiwa na 100000 tu unalima ufuta heka 3 huku lindiWewe mkuu umejiandaa safari ukiwa na kibunda chako. Lakini jmeleta dhsrau etu vijans ni wavivu.
Watu mkishapata kidogo tu maskini mnawaona hawana akili ni wavivu
Mkuu Uko Lindi sehemu gani naomba uniunganishe na mimi brqza wako nisiwe kijana kama hao. Niko chini ya miguu yakoUkweli lazima usemwe hata kama unauma mimi ni mmoja wapo nilipokifika kijijini kwetu nakuta vijana wapo kijiwe tu hana hata buku,,,nikawasemA Sana na wapo waliokiongea kama wewe mara hawana mitaji mara Mungu hajawamulia na blahblah kibao....ila nashukuru asilimia kubwa kwasasa kijijini kwetu wanapambana mno na kilimo na wengi wamepata mafanikio....kijana mwenye nguvu ukiwa na 100000 tu unalima ufuta heka 3 huku lindi
Unataka kulima zao ganiMkuu Uko Lindi sehemu gani naomba uniunganishe na mimi brqza wako nisiwe kijana kama hao. Niko chini ya miguu yako
Utanishauri kwa uzoefu wako, huo ufuta uhakika wa kulima na kuvuna ukoje? Gharama je?Unataka kulima zao gani
Mkuu vipi kuhusu mbegu mnazotumia ni za kisasa? Maana niliona ni fupi sana zingine ndo Bado kabisa hata hazijataka kuvunwa
Analia hapa. Ukweli nilishangaa Sana wengine wanavuna wengine wanapalilia. Huku kwetu mwanza Tyr tupo kwenye maandalizi ya kanza kupanda
Nakubali pale pa moto Kuna wasagara hawafai wachawi ile mbayaRuaha nbuyuni ipo kilolo sehemu kubwa,pale akiendabila kuoga dawa za kisukuma atarudi kwao kwa miguu,kuna urozi hatari,kuna technolojia ya kuiba mazao shambani kwa nguvu za giza
Kweli wewe unaijua Moro, mimi naifahamu Mvomero ngoja mtoa mada aje kutoa ushuhuda muda siyo mrefu! Eti wenyeji wavivu!Ameendeshwa na mhemko,papara,ushamba,ulimbukeni,kiburi n.k! Rudi tena kwa wenyeji wako wa Mvomero!Shida iliyopo Moro, maeneo mengi ni ya matajiri. Ardhi kubwa ni ya wachache, ardhi ndogo ndio ya wengi.
Niishie hapo.