Alphamale wa JF
Member
- Sep 21, 2024
- 73
- 227
Panafaa sana. Kuna jamaa pale wanazalisha miche ya Nyanya na kuwauzia wakulima. Nakushauri nenda kalime na ukifika pale niambie nikupe connection mkuu.Mimi nimesoma Dakawa high school kipindi hicho ikiwa mchanganyiko na sasa ni girks,vipi kuhusu Doma karibu na mikumi panafaa kwa kilimo?