Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

Ulikuwa unachezea Mtibwa Sugar, kiwango kizuri hicho professionally.

Ukaamua kuachana na mpira na kujikita kwenye kilimo. Vipi kwenye mpira hakuna fursa kama ukocha nk au kilimo kinalipa zaidi?
Baba yangu alikuwa mkulima maarufu sana Mzee Swai. Huko Tunguli, Kibati na maeneo mengine hadi Kiteto Manyara mzee alikuwa mashamba so nilikuwa naenda naye shambani toka enzi hizo.

Baada ya kuvunjika mguu wakazi nacheza mpira ndio nilistaafu na kuachana na soka nikajikita kwenye Kilimo mkuu.
 
Asante mkuu,msimu mzuri mwexi wangapi,hapo uliposena kyzalisha m8che ya nyanya sijaupata uzuri,yaani hawauzi mbegu bali miche right?
Ndio ni biashara inayofanywa na watu wengi kuzalisha miche ya Nyanya hapa Morogoro na niliona wengine pale Iringa na Mbeya.

Mwezi mzuri sisi tunauita Off season kipindi ambacho nyanya hakuna mashambani na sokoni ndio wewe una calculate muda huo utoe mzigo. Kuanzia kwezi 1 hadi 3 ni kipindi cha noti kwenye Kilimo cha Nyanya.
 
Asante mkuu,kwa hiyo mwezi wa tisa wa kumi ndio muda wa kusia au kupanda,Doma huwa napita nilipapenda sana baada ya kuona yake mashamba
 
Sina uhakika unachosema maana nilipata nafasi ya kuzungumza na wenyeji walisema ardhi ipo niwewe na Hela Yako.
Sawa mkuu. Ningeandika ila naogopa kupotea.
Mfano kukiwa na madishi 6 ya maandazi, watu wawili wakala madishi matano, then watu 100 wakagawana dishi 1, bado watasema wamekula maandazi. So kuwa makini ukinunua, usione kuwa ni pori tu ni maeneo ya vigogo. Nipo sana maeneo hayo.
 
Wakati mwingine uje na Kilosa nikutembeze vijijini ujionee fursa za wazi kuanzia:-
Dumila na mateteni-kilimo Cha Nyanya
Kilangali, Tindiga, Kivungu- Kilimo Cha mpunga
Zombo, Ulaya-kilimo Cha mahindi
Lumuma, Pwaga, Mnozi, Ruaha mbuyuni, Kitati, Kidete n.k - kilimo Cha vitunguu na Mahindi

Sehemu zote hizo mazao mchanganyiko kama mbaazi, ufuta, kunde, maharage, alizeti n.k yanalimwa sana pia ufugaji wa kuku, Bata, kanga, mbuzi, nguruwe, Ng'ombe, punda n.k

Karibu Kilosa
Ruaha nbuyuni ipo kilolo sehemu kubwa,pale akiendabila kuoga dawa za kisukuma atarudi kwao kwa miguu,kuna urozi hatari,kuna technolojia ya kuiba mazao shambani kwa nguvu za giza
 
Wewe mkuu umejiandaa safari ukiwa na kibunda chako. Lakini jmeleta dhsrau etu vijans ni wavivu.
Watu mkishapata kidogo tu maskini mnawaona hawana akili ni wavivu
Ukweli lazima usemwe hata kama unauma mimi ni mmoja wapo nilipokifika kijijini kwetu nakuta vijana wapo kijiwe tu hana hata buku,,,nikawasemA Sana na wapo waliokiongea kama wewe mara hawana mitaji mara Mungu hajawamulia na blahblah kibao....ila nashukuru asilimia kubwa kwasasa kijijini kwetu wanapambana mno na kilimo na wengi wamepata mafanikio....kijana mwenye nguvu ukiwa na 100000 tu unalima ufuta heka 3 huku lindi
 
Mkuu Uko Lindi sehemu gani naomba uniunganishe na mimi brqza wako nisiwe kijana kama hao. Niko chini ya miguu yako
 
Mkuu vipi kuhusu mbegu mnazotumia ni za kisasa? Maana niliona ni fupi sana zingine ndo Bado kabisa hata hazijataka kuvunwa

Analia hapa. Ukweli nilishangaa Sana wengine wanavuna wengine wanapalilia. Huku kwetu mwanza Tyr tupo kwenye maandalizi ya kanza kupanda

Ruaha nbuyuni ipo kilolo sehemu kubwa,pale akiendabila kuoga dawa za kisukuma atarudi kwao kwa miguu,kuna urozi hatari,kuna technolojia ya kuiba mazao shambani kwa nguvu za giza
Nakubali pale pa moto Kuna wasagara hawafai wachawi ile mbaya
 
Shida iliyopo Moro, maeneo mengi ni ya matajiri. Ardhi kubwa ni ya wachache, ardhi ndogo ndio ya wengi.
Niishie hapo.
Kweli wewe unaijua Moro, mimi naifahamu Mvomero ngoja mtoa mada aje kutoa ushuhuda muda siyo mrefu! Eti wenyeji wavivu!Ameendeshwa na mhemko,papara,ushamba,ulimbukeni,kiburi n.k! Rudi tena kwa wenyeji wako wa Mvomero!
 
Back
Top Bottom