Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #121
Pole sana mkuu. Changamoto ya Nchi yetu ndo hii kurogana hata bila sababu. Lkn usikubali kizembe mkuuNina heka 200 handeni ndugu, ardhi safi, maji ya kuchimba, nina tractor na nimesafisha 40 hela 20 sasa, nilichezeshwa mno, nikatafuta wambulu 3 ( nao si haba kishirikina ) nikawanunulia na mifugo, siwalipi, wanajiendesha kwa tractor, mifugo na vibarua, na nimewapa target wasafishe angalau hela 150
Mimi Kule sitarudi mpaka Wageni wewe wengi!
Nakubaliana nawewe Mimi nilipenda mvomero asee. Gairo nimenunua kidogo sana kama kumbukumbu ya safari hii. Na ni barabarani.Mkuu nakushauri nmezaliwa morogoro na kukulia morogoro wilaya ambayo sikushauri uwekeze kilimo ni gairo kilimo nenda kilombero mlimba malinyi na mvomero na kilosa baadhi gairo n ufugaji basi
Mkuu kufa kupo tu hatuwahi waza asee.πΉKumbe ndiyo sura yako? Ngoja kikosi cha cha ZCO tukulie rada
Sasa mkuu si nawao wafaidike asee. Mimi niliona nimewapigia huku kwetu kipande kidogo tu jeroAah! wamekupunja sana, pikipiki ungeiacha mbali bila wao kujua kuwa wewe ni mtalii ungepewa supu mara mbili na ndimu juu kwa bei hiyohiyo.
Pole sana mkuu. Changamoto ya Nchi yetu ndo hii kurogana hata bila sababu. Lkn usikubali kizembe mkuu
hakika mkuu barikiwa sana..Kabisa mkuu. Binafisi niliwiwa kushare hapa Ili mwenye kuthubutu na athubutu tu. Na atakae acha basi nafisi yake itamshitaki daima.
Majina tu haya mvurugano sembuse pichaπHadi ni kuamini unachosema em weka na picha yako bila kuzuwia uso. Tukujuwe kama una nia njema.
Nipo Mwana Utopolo OG toka Mahenge nchi ya asali na maziwa πUpo we Kolo a.k.a Ngungu Boy?ππππ
Sio mwenyeji mkuu niliitishwa bara bara ya vumbi tu Hadi nikatoka Turiani. Vibao vilisaidia sana.Mzee omba Mungu sana kwenye hiyo shughuli, kusingekuwa haya mambo ya kishenzy tungekuwa mbali sana!
Hivi road ya handen tokea Moro imeisha? Muhimu sana hiyo!
Poa mkuu njoo pmNitakutafuta Ng'wanangwa ni muhimu sana nikipata namba yako. Tuwasiliane
Mjumbe hauwawi mkuu ujumbe umefika Kwa walengwa kazi kwetu sote!Habari nyeti nipendazo sana kuzisikia, kuziona na kuzitumia kiuwekezaji.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Swali zuriUlikuwa unachezea Mtibwa Sugar, kiwango kizuri hicho professionally.
Ukaamua kuachana na mpira na kujikita kwenye kilimo. Vipi kwenye mpira hakuna fursa kama ukocha nk au kilimo kinalipa zaidi?
Hahahaa asee mkuu msiniteke. Ndo kwanza mke wangu utamu haujaisha aseeπNgoja tumtagi bwana.......tuje tukuteke
Mkuu utakuwa hujipendi. ππUkifa hii pisi wasukuma tunaioa we Nikifa MkeWangu Asiolewe πππ
Habari nyeti nipendazo sana kuzisikia, kuziona na kuzitumia kiuwekezaji.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nakubali mkuuNchi inahitaji vijana na hata wazee wapambaji, ambao wanazisaka fursa popote nchini.
Tanga ni kipande tu sio Tanga ninayoijua ila hakuna lami asee vumbi tu kutoka Gairo unaingia kushoto na Kuna ubao umeandikwa barabara ya IYOGWE lami Hadi Turiani huko.Ina maana mkoa wa Morogoro na tanga haujaunganishw na barabara ya lami π€
God have mercy upon us. π€£
Kwa kifupi nakuomba hima hima tuwepo pale ndoto zako na zangu ni zile zile. Gunia la pumba za mahindi niliuliza sehemu nikaambiwa 10k sikutanii. Na Kwa pembeni niliona baadhi ya pumba zimeoza kabisaa nahisi pale ilikuwa Tunguli Tanga.Katika Maisha yangu natamani niishi Morogoro Vijijini, kazi ninayotamani ni Kilimo na Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji tu.
Naamini nitatoboa, ni vile mambo bado hayajakaa sawa.
Kwa kifupi umenipa ramani halisi ya Kile natamani
Mkuu madini ndo hayo kilichobaki utekelezaji tu hakuna uongo hata nukta hizo picha sio AI ni halisi ndo mazingira ya kule. Bahati nzuri Kuna wenyeji wameongeza madini zaidi mkuu kuliko hata Mimi.Jambo jema tupe madini mkuu