Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #121
Pole sana mkuu. Changamoto ya Nchi yetu ndo hii kurogana hata bila sababu. Lkn usikubali kizembe mkuuNina heka 200 handeni ndugu, ardhi safi, maji ya kuchimba, nina tractor na nimesafisha 40 hela 20 sasa, nilichezeshwa mno, nikatafuta wambulu 3 ( nao si haba kishirikina ) nikawanunulia na mifugo, siwalipi, wanajiendesha kwa tractor, mifugo na vibarua, na nimewapa target wasafishe angalau hela 150
Mimi Kule sitarudi mpaka Wageni wewe wengi!