Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #141
Mkuu vijiji nilivyopita baadhi yake niliandika majina ila Kuna baadhi tulipita speed. Imagine safari ya msaa9 Kwa pikipiki.Ulifika Dihombo na Mkindo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vijiji nilivyopita baadhi yake niliandika majina ila Kuna baadhi tulipita speed. Imagine safari ya msaa9 Kwa pikipiki.Ulifika Dihombo na Mkindo?
Karibu mkuu. Vilevile Kuna mwenyeji wa hapo Gairo atatufaa sana yupo humu humu jukwaani.Naomba tuyajenge inbox.
Tuendelee na mada Tajwa juu mkuu📌Huyu ndo mkeo?
Donto tangu naichukua form ya urais mwakani nikijurikana watekaji wataniacha kweli?(Utani)Na ni kwanini ufiche sura kijana
Halafu unawasikia wapuuzi fulani, wasomi uchwara wanakwambia 'Uchawi haupo' eti ni mambo ya kusadikika tuu..nami huwa naishia kusema tu ''Inhiiiiiiiiii !!''.Mzee omba Mungu sana kwenye hiyo shughuli, kusingekuwa haya mambo ya kishenzy tungekuwa mbali sana!
Hivi road ya handen tokea Moro imeisha? Muhimu sana hiyo!
Hao ni wenyeji mkuu. Ama haitakiwi pia?Wenzako unawaonyesha sura Ila wewe sura yako hutaki ionekane,ndio nn Sasa?
Nyama ni nyama mkuu. Twende kazi.Wewe hapo umekula utumbo wa tumbili
Ukisali tu hakuna kitu najisiNyama ni nyama mkuu. Twende kazi.
Hao wamekuta Mali za urithi wasije wakakupunguzia mwendo mkuu. Achana nao mapema sanaHalafu unawasikia wapuuzi fulani, wasomi uchwara wanakwambia 'Uchawi haupo' eti ni mambo ya kusadikika tuu..nami huwa naishia kusema tu ''Inhiiiiiiiiii !!''.
mjaleNaomba jina la mti huu Tafadhar iwe kilugha ama Kwa kiswahili nahifadhi kumbukumbu.
View attachment 3155020
Mkuu ni Nia tu wote inawezekana sanaIla Wasukuma kwa kuchangamkia fursa ya kilimo na kukamata ardhi mnatisha sana.
I bet hii nchi baada ya miaka 50 ijayo 60% ya ardhi ya nchi hii itakuwa mikononi mwa Wasukuma.
Ahsantee sana mkuu. Bado narudi morogoro nilipapenda mvomero na kilosa ni pazuri sana.japo sijaenda sehemu nyingi hapo Gairo Tyr nimechukuapo kaeneo kakuanzia. Siyo kurudi hivihivi. TuMkuu Gairo ni best sana kwa kilimo cha kumwagilia , lakini pia kilimo cha seasonal kinakubali kuna vijiji huko milimani ukiiacha barabara ya kuu ukaingia ndani ndani huko lubeho , mandege mpaka njungwa maharage na mahindi yanakubali na wana maji mazuri sana !
Karibu Gairo , nimejenga na nimewekeza huko japokua naishi Dar es Salaam .
Ni sehemu ambayo kiukweli ukituliza kichwa unafanya vizuri !!
Kiufupi Morogoro ni mkoa wa fursa kwa wachapakazi.
Wilaya nisiyoipenda kwa mkoa wa Morogoro ni Ifakara maana kuna joto kama kwa shetani
Ahahahahaha! Ukiishamuona utakuja PM!Mkuu nakuja pm speed mno. Halafu pia nimwambie anadalimiwa na mtoto wa shule?😹😹
Kweli nchi yetu Mungu ameibariki sana ni sisi tu tunakosa hamasa pia serikali ndio ingewekeza maeneo kama hayo kupitia BBT na project nyingine nyingi sasa hivi tusingekuwa tunaletewa mahindi ya msaada na ngano kutoka Ukraine au Russia.Hingera kwa kuamua kuoambana na kushare na wana JF fursa sio kila saa wawaze ngono tu.
Binafsi nimelima sana na kufanya biashara ya Mahindi Tunguli miaka 2005. Nimefika hadi huko Idibo na askari wake wale sungusungu walikuwa maarufu sana kipindi cha nyuma na tuliwatumia kutishia masai wakati wa mapigano ya wamasai na wakulima miaka hiyo.
Kwa upande wa Mvomero japo we umekosea ukaandika Mvumero nimelima sana huko na hata sasa nalima mpunga kwenye skimu ya umwagiliaji Dakawa chini ya UWAWAKUDA.
Nimefurahi kuona umefika hadi Maskati. Huko nilikuwaga na mchepuko wakati nahangaika kwenye biashara. Hapo Hembeti nikipataga mtoto mmoja mzuri sana miaka hiyo. Sasa ameolewa yule binti Tillya.
Niliishi sana Turiani maeneo ya Kilimanjaro nikichezea Mtibwa Sugar kipindi hiko tukiwa na akina Mkangwa na Zuberi Katwila.
Huko fursa nje nje bro. Njoo tulime mpunga hapa Dakawa au tulime miwa tuuze Mkulazi au tulime nyanya mateteni, Mbigili na Dumila.
Mimi nimesoma Dakawa high school kipindi hicho ikiwa mchanganyiko na sasa ni girks,vipi kuhusu Doma karibu na mikumi panafaa kwa kilimo?Hingera kwa kuamua kuoambana na kushare na wana JF fursa sio kila saa wawaze ngono tu.
Binafsi nimelima sana na kufanya biashara ya Mahindi Tunguli miaka 2005. Nimefika hadi huko Idibo na askari wake wale sungusungu walikuwa maarufu sana kipindi cha nyuma na tuliwatumia kutishia masai wakati wa mapigano ya wamasai na wakulima miaka hiyo.
Kwa upande wa Mvomero japo we umekosea ukaandika Mvumero nimelima sana huko na hata sasa nalima mpunga kwenye skimu ya umwagiliaji Dakawa chini ya UWAWAKUDA.
Nimefurahi kuona umefika hadi Maskati. Huko nilikuwaga na mchepuko wakati nahangaika kwenye biashara. Hapo Hembeti nikipataga mtoto mmoja mzuri sana miaka hiyo. Sasa ameolewa yule binti Tillya.
Niliishi sana Turiani maeneo ya Kilimanjaro nikichezea Mtibwa Sugar kipindi hiko tukiwa na akina Mkangwa na Zuberi Katwila.
Huko fursa nje nje bro. Njoo tulime mpunga hapa Dakawa au tulime miwa tuuze Mkulazi au tulime nyanya mateteni, Mbigili na Dumila.
Pisi pembeni hapo inaonekana si haba 🔥
Hapo uliposema kuna pumba nyingi na za bei rahisi ndio pa kutia kambi ya kufuga nguruwe na kuku , unayanenepesha kwa wingi unapakia kwenda kuuza Dar ,aisee bonge la fursa mkuuAhsantee sana mkuu. Bado narudi morogoro nilipapenda mvomero na kilosa ni pazuri sana.japo sijaenda sehemu nyingi hapo Gairo Tyr nimechukuapo kaeneo kakuanzia. Siyo kurudi hivihivi. Tu