Sijamuelewa mke wangu

Mkuu huyo mwanaume hajisimamii na kuisimamia familia/ ndoa yake Ndiomana mkewe anamuona jamaa kama mdogo wake wa kiume tu!! Au ukute mkewe alimvumilia sana visanga/ kuchepuka kwa jamaa sasa nayeye kaamua liwalo na liwe!
Kuna wakati mfumo dume huwa unasaidia sana, kule kwetu huwezi kukuta Mwanamke anamdharau mumewe to that extent.

Yaani Mwanamke anakupigia simu kukuaga kuwa atakuwa na ratiba xyz ghafla ghafla tu na wewe mwanaume unaridhika?

Sio vibaya siku moja moja una mnyoosha kwa vitasa hadi akili imkae sawa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Vitasa tena
 
Huo mfumo ushapitwa na wakati ifike mahala wewe na wakwenu huko mbadilike japo mwanaume kujisimamia nafasi yake kama head of family mwenye maamuzi 75% hakuna mwanamke ataeleta huo upuuzi!
Au hapo kuna mawili...mke kamzidi mume kipato so mke analeta dharau au mume hamfikishi / hamkuni vizuri au hata kutafuta amani tu for sometime.
Mahusiano yana mengiii tusijimbilie kujaji mtu!
 
Achana naye huyo njoo ujiunge na chama letu la wapinga ndoa tukiwaambia ndoa haina mpango hamutuamini
 
Achana naye huyo njoo ujiunge na chama letu la wapinga ndoa tukiwaambia ndoa haina mpango hamutuamini
Watu wamekaa ndoani kama wafungwa hivii huku wanajitia ma paroko /wachungaji wa kuhimiza ndoa huku zao kiuhalisia zinateketea!
 
Uko sahihi sana mkuu.
 
Ila Wanaume wa siku hizi mpo soft soft sana, sasa jambo kama hilo ni la wewe kususa uondoke eti ukatafute maisha kwingine!
Unashindwa kusimama wewe kama Mwanaume ukatoa amri moja tu HAKUNA KWENDA, au ndio anakulisha nini? Kuvunja kikoba wanaenda kulala huko huko πŸ™„

Kunahitajika somo kubwa la Wanaume kujitambua
 
Ngoja niwaambie Wazee wangu waache huo utaratibu ili kesho msikie Mwanaume apigwa na mkewe
 
Nami Nimeshangaa sana!
 
baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!

Nakaribisha ushauri
Acha ujinga mwingiiiiiiiii wewe ,kama unapenda wanao usimruhusu maana utateseka sana baada ya hapo. 17 years ni ya kucherish na kuilinda sana- usijekufanya makosa ya kuacha liende ende tu. Grab his time and attention by the balls
 
Acha ufara ukachapiwe ukae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…