monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usicheze na K broNi wivu tu.
K umekula miaka 17 bado unaionea wivu!?
Dada Umeitikia kwa hisia as if limekugusa!! This is life akija weee mpe aichakate tu akafie kwake! Nawe kuja kustuka ushazeeshwa na hajakufikisha popote huku mwenzio mipango yake na familia iko vere vere!Duh ni hatari
Kuna wakati mfumo dume huwa unasaidia sana, kule kwetu huwezi kukuta Mwanamke anamdharau mumewe to that extent.Mkuu huyo mwanaume hajisimamii na kuisimamia familia/ ndoa yake Ndiomana mkewe anamuona jamaa kama mdogo wake wa kiume tu!! Au ukute mkewe alimvumilia sana visanga/ kuchepuka kwa jamaa sasa nayeye kaamua liwalo na liwe!
Ukisikia yalaaaaaaaaaa!Nyie wanaume maofisini mliooa mnaongoza kudinya wake za watu huko maofisini kwenu ngoja na nyie wawadinyie...
😂😂Vitasa tenaKuna wakati mfumo dume huwa unasaidia sana, kule kwetu huwezi kukuta Mwanamke anamdharau mumewe to that extent.
Yaani Mwanamke anakupigia simu kukuaga kuwa atakuwa na ratiba xyz ghafla ghafla tu na wewe mwanaume unaridhika?
Sio vibaya siku moja moja una mnyoosha kwa vitasa hadi akili imkae sawa
Huo mfumo ushapitwa na wakati ifike mahala wewe na wakwenu huko mbadilike japo mwanaume kujisimamia nafasi yake kama head of family mwenye maamuzi 75% hakuna mwanamke ataeleta huo upuuzi!Kuna wakati mfumo dume huwa unasaidia sana, kule kwetu huwezi kukuta Mwanamke anamdharau mumewe to that extent.
Yaani Mwanamke anakupigia simu kukuaga kuwa atakuwa na ratiba xyz ghafla ghafla tu na wewe mwanaume unaridhika?
Sio vibaya siku moja moja una mnyoosha kwa vitasa hadi akili imkae sawa
Watu wamekaa ndoani kama wafungwa hivii huku wanajitia ma paroko /wachungaji wa kuhimiza ndoa huku zao kiuhalisia zinateketea!Achana naye huyo njoo ujiunge na chama letu la wapinga ndoa tukiwaambia ndoa haina mpango hamutuamini
Uko sahihi sana mkuu.Haya maswali yote ni ya kazi gani? Mwanamke anayejitambua kwanza ataomba ridhaa ya mume wake kabla hata hajawaambia wenzake kuwa ataenda au hatokwenda kisha atasikiliza jibu la mume wake.
Kama mume atasema sawa nenda amuulize mara mbili mbili kama ameridhia kweli aende kama hataki yeye hatakwenda kwa maana hiyo safari haina umuhimu kushinda mume wake, mwanaume akikubali kiroho safi hapo sasa akawaambie wenzake kuwa atakwenda hiyo ndio heshima kwa mume.
Sasa sio anakubaliana na wenzake wanapanga hadi wanafanya booking anamaliza ndio yeye anakuja mwambia mume wake sasa ili iweje na alishafanya 90% ya process?
Me nadhani ifike wakati tukubaliane tu kuwa mwanamke akiwa na kiburi na maamuzi binafsi ndani ya mahusiano au ndoa huyo si wa kuishi nae aende huko kwenye mamlaka ya juu kumshinda mume wake ambayo amechagua kuitii. Kama ni anasikiliza na kutii maamuzi ya rafiki zake basi akaishi nao wampe na mahitaji yake yote, kama ni wazazi wake basi akakae nao, kama anakusaliti na boss wake basi akakae nae waishi kwa uhuru ila yote kwa yote usivumilie dharau na upumbavu wa mwanamke asiye tii na kuheshimu maagizo yako ambayo yanalenga kulinda ndoa yenu.
Daah watu mna vituko sana 🤣🤣🤣🙌Cha msingi tukuchangie buku buku na wewe uende mikumi
Ngoja niwaambie Wazee wangu waache huo utaratibu ili kesho msikie Mwanaume apigwa na mkeweHuo mfumo ushapitwa na wakati ifike mahala wewe na wakwenu huko mbadilike japo mwanaume kujisimamia nafasi yake kama head of family mwenye maamuzi 75% hakuna mwanamke ataeleta huo upuuzi!
Au hapo kuna mawili...mke kamzidi mume kipato so mke analeta dharau au mume hamfikishi / hamkuni vizuri au hata kutafuta amani tu for sometime.
Mahusiano yana mengiii tusijimbilie kujaji mtu!
Saivi umri umenitupa, ila enzi zangu nimewahi kuitumia hii njia kwa Bibi yenu 🙊🏃🏃🏃😂😂Vitasa tena
Kweli mkuu!!Ngoja niwaambie Wazee wangu waache huo utaratibu ili kesho msikie Mwanaume apigwa na mkewe
Nami Nimeshangaa sana!Ila Wanaume wa siku hizi mpo soft soft sana, sasa jambo kama hilo ni la wewe kususa uondoke eti ukatafute maisha kwingine!
Unashindwa kusimama wewe kama Mwanaume ukatoa amri moja tu HAKUNA KWENDA, au ndio anakulisha nini? Kuvunja kikoba wanaenda kulala huko huko 🙄
Kunahitajika somo kubwa la Wanaume kujitambua
Babu wew ni noma😀Saivi umri umenitupa, ila enzi zangu nimewahi kuitumia hii njia kwa Bibi yenu 🙊🏃🏃🏃
[emoji23] Vaseline tena? watu mmejaa ukorofi.Bila ya shaka siku ya Valentine day kapewa mauwa,hela,chocolate na Vaseline [emoji23][emoji23]
Acha ujinga mwingiiiiiiiii wewe ,kama unapenda wanao usimruhusu maana utateseka sana baada ya hapo. 17 years ni ya kucherish na kuilinda sana- usijekufanya makosa ya kuacha liende ende tu. Grab his time and attention by the ballsbaada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!
Nakaribisha ushauri
Acha ufara ukachapiwe ukae kimyaShukuru Mungu kakutaarifu kabla. Wengine wanakujulisha wakiwa washafika 'Mikumi' kabisa.
Hawa viumbe wakiamua lao huna la kuweza kufanya kumzuia. Huyo hata ufanye nini huko anakotaka kwenda atakwenda tu.
Kama bado unampenda, mruhusu aende na usitake kuhoji zaidi maana pengine hutokuwa na moyo wa kuuvumilia ukweli endapo utaujua. Bora ubaki na faraja kuwa yupo na wenzie mikumi kuliko kuchunguza zaidi na kugundua yupo na mwenzie.
Hii inapaswa iwe "wake up" call kwako kujua kuwa tayari kuna hitilafu katika ndoa yako. Maamuzi yako ya sasa yasiwe juu ya safari ya mikumi bali aliefanya safari ya mikumu iwepo na mustakabali wa ndoa yenu.