Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

Ukiamka oga tofauti na hapo utakuwa na mawenge tu na ukizingatia janaba hujalitoa una laana na robo
 
Duuuh...
Lissu anatukuzwa saana. Mmemsifu kukimbia na ashapapita kwake.

Kama ungesema Kibatala ni mwanasheria mzuri yes huyu nakubaliana na wewe. Lissu Jana alisema nini most of the time Kalia Lia... msianze kutukana maana nawajua.

Kibatala aachiwe kesi...
 
Ontario yupo jela kesi haina dhamana
Huyu mwenzake Daby wote watabaki kuunga unga

Wizi haufai walikula hela za watu dah
Kaka kazi ya pesa ni kuliwa , ni nyie tu hamkuwaelewa jamaa, mbona wengine wana zidi kudowlodi ma pesa bwashee?
 
siku zote muda ni mwalimu mzuri sana..sio kwamba lissu ana akili sana..hapana…ni gifted..hapa Mungu ameingilia kati…tunaweza sema ni kipawa kutoka kwa Mwenyezi Mungu…Jitahidi sana kutunza afya yako..
 
Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .

MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .

Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa vilaza walipataje hizo Kazi .

Hakimu hakuna anachoelewa ,Mwanasheria the same.
Wenye akili wako huru, hawahitaji kupiga kelele ili wapate ugali wa kila siku. Wanatengeneza pesa kutumia akili hawahitaji kupigana ili wapate kula. Umeshasikia tajiri anahangaika mara jela, mara kupiga kelele kwenye majukwaa? Lissu ni kama hao wengine wanaoganga njaa majukwaani hakuna cha akili wala nini ni njaa tuu zinawasumbua.
 
siku zote muda ni mwalimu mzuri sana..sio kwamba lissu ana akili sana..hapana…ni gifted..hapa Mungu ameingilia kati…tunaweza sema ni kipawa kutoka kwa Mwenyezi Mungu…Jitahidi sana kutunza afya yako..
Ahsante kwa kutuchekesha kamanda, ubarikiwe.
 
Kwanini ukiwa CCM ghafla unakuwa mbumbumbu hivi? Bado mnaamini CCM kinaiwazia Tanzania? CCM ni kakikundi ka watu wachache sana wanaongozwa na kikwete na mtoto wa Samia.
 
Umenena vyema ila hata ungeingia kwenye cheni ya kuwapiga ni sawa tu , vilaza haki yao ni kupigwa tu mkuu
 
Kwanini ukiwa CCM ghafla unakuwa mbumbumbu hivi? Bado mnaamini CCM kinaiwazia Tanzania? CCM ni kakikundi ka watu wachache sana wanaongozwa na kikwete na mtoto wa Samia.
Tatizo vijana wa upinzani hamuwezi kuhold conversation bila matusi wala false accusations.

Ila pia naelewa frustration mnazopitia.....you are too quick to judge...too quick to insult. Etc

Kwanini msikubali kuna watu wenye mitazamo tofauti na nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…