Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

Ninawasganga sana watu wanaosema huyo ontario aliwatapeli watu kupitia forex.
Mimi binafsi nilijua kwa mara ya kwanza kuhusu hayo mambo ya forex kupitia threads za huyo jamaa kipindi hicho nipo India.
Sasa nikamshirikisha jamaa yangu tuliyekuwa naye huko India tukaanza kuifatilia tukakuta kule India kipindi hicho ilikuwa haoruhusiwi tukaachana nayo.
Yule jamaa akahamia South Africa 2018 alipofika kule akanitafuta akanikumbishia tena akaniambia kule south africa ipo na wanafundishwa darasani.
Yule jamaa akajiunga kupitia broker wa kule .
Sasa hivi Yule jamaa sio mtu wa kawaida kwa ukwasi Sasa hivi anaishi florida usa na shughuli anayoifanya ni hiyo hito ya cryptocurrency trading kwa elimu aliyoipata kwanza kupitia nyuzi za Ontario.
Sifahamu huyo Ontario kashtakiwa kwa makosa gani ila kama itakuwa kuhusu mambo ya forex sidhani kama wataweza kumtia hatiani.
Mwisho ukweli ni kwamba forex is real business Nchi kibao wameanzisha courses zake kwa wanafunzi

Wewe utakuwa ndo walewale

Mimi navyojua matapeli huwa hawafanikiwi kwakuwa hizo pesa za laana usipoishia jela , usipoishia kujitibia magonjwa utaishia kufa masikini.

Mimi yupo mtoto wa Aunt alifanya hiyo Kazi na alikuwa anapiga picha yupo USA , yupo Dubai n.k anakula bata

Ila aliowatapeli Uganda walimtafuta kumuua Ila akimbilia Tanzania na sasa Kenya

Kaishia kuvuta bangi ,pombe na yupo na 30 yrs tu Ila ni wanted.

Kama sio rahisi Museven kumsaidia angekuwa ameuliwa

Kwa sasa amechanganikiwa akili

So acheni utapeli hauna faida utapata
 
Duuuh...
Lissu anatukuzwa saana. Mmemsifu kukimbia na ashapapita kwake.

Kama ungesema Kibatala ni mwanasheria mzuri yes huyu nakubaliana na wewe. Lissu Jana alisema nini most of the time Kalia Lia... msianze kutukana maana nawajua.

Kibatala aachiwe kesi...

Kwani mtu akisema imani yake kwamba hajaona mtu kama Lissu unambishia kwamba aseme kaona? Mantiki ya mtoa hoja naona umeenda mbali nayo!
 
Ontario kwa sasa anatumikia karma yake na atarudi from zero
Wewe ni mmoja wa watu wasiokuwa na mihemko waliochangia kwenye huu uzi.

Natamani tungekuwa na watu wengi kama wewe.

Binafsi sijawahi kuiamini forex...naamini katika uzakiishaji...tangible products. Ukifuatilia nyuzi zote za ONTARIO za forex sikuwahi kumshawishi mtu au wala kuandika comment iliyolubaliana na biashara yake ya forex kwasababu siamini katika forex.

Kutokuamini kwangu forex hakujawahi kunifanya kumuita tapeli yeyote anayefanya forex. Ontario kakamatwa lakini watu wanafanya mistake ile ile ya presumption.

Hawana uhakika wa alichokamatiwa ila tayari wanahukumu yake. So absurd.N
 
Uzi unajadili uwezo wa kiakili wa Lissu, comments zinajadili mambo ya Forex na Ontario...shabashh!

Kuna utofauti kati ya "kuwa na akili" na "uwezo wa kiakili", kila mwanadamu ana akili lakini pia kila mwanadamu ana uwezo wa kiakili na katika hili la uwezo ndipo wengi tunapopishana...
 
Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .

MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .

Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
Ana akili sana, ila ni Wakili ambaye hajawahi kushinda Kesi yoyote. Ni mzungumzaji mzuri na jasiri. Na akinukuu na vifungu na vitabu unaweza hisi uko mikono salama.
 
Ontario kwa sasa anatumikia karma yake na atarudi from zero
Sijui amekamatwa kwa kosa gani siwezi kutoa maoni yoyote kuhusu hili.

December nikija Tanzania nitaenda kumwamgalia.
 
Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .

MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .

Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
Ushabiki wa kipuuzi unaweza mdharau hata aliyekuzaa ukasema Lissu ana akili kuliko baba yako, watu wako kazini wanatafuta kazi wapate pesa kwa njia zao nyie mnakurupuka tu na kauli za kitoto.
 
Una akili, wa kawaida sana sema anapenda show off hasa mbele za watu, wajinga wenzake km mleta mada anavyoona wenzake wanavyoongea kwa utulivu kwamba hawajui.
Huko miaka ya nyuma niliwahi kuhudhuria kesi ya Uchaguzi kati ya Joseph Sinde Warioba na Stephen Masato Wasira chini ya Hayati Jaji Kahwa Lugakingira pale MCC Musoma .

Warioba alikuwa na mawakili wakiongozwa na Wakili Josephat Rweyemamu na Wasira akiwa na Mawakili wakiongozwa na Wakili Mabere Nyaucho Marando.

Ilikuwa ni kesi nzuri sana iliyoendeshwa kitaalamu sana!
Nilimwona Joseph Sinde Warioba akiwasikiliza wanasheria wake wakipambana na Wakili Mabere Nyaucho Marando na Kila akiona Wakili Marando anawazamisha Mawakili wake alikuwa akiandika vimemo kuwasaidia!

Hapo ndo nilijua kuwa kumbe Joseph Sinde Warioba pia alikuwa Mwanasheria Nguli.

Katika kesi ile kuna mtu Maarufu sana aliibuka akiitwa Miyasi Chang'ang'a!
Umaarufu wake ulitokana na Cross examination aliyofanyiwa na Wakili Mabere Nyaucho Marando.

Kwahiyo Joseph Sinde Warioba aliziishi doctrines hizo mbili za Sheria kwamba;
1. Don't be an advocate on your own cause/case
2. Learn to listen from others

Tundu Lissu maneno meeeeengi na wakati mwingine anapoteza focus kabisa ; mara European Union is watching as if Tanzania ni colon la European Union ama inawajibika kwa European Union.
Sawa anatetea haki yake ambayo hata mimi simpingi lakini aache comedy na u- much know!!
 
Ontario aliliwa kichwa na Wasouth Africa. Hakuwa anakula yote.

Alikuja kugundua late.
Wale wasouth wa Durban mlitupia picha hapa wakiwa na Mercedes wakiwa Centurion nilisema huu ni utapeli na hao ni matapeli mlikua wakali kama pili pili na yule demu alikua akiwasapoti nimesahau ID yake...
 
Huko miaka ya nyuma niliwahi kuhudhuria kesi ya Uchaguzi kati ya Joseph Sinde Warioba na Stephen Masato Wasira chini ya Hayati Jaji Kahwa Lugakingira pale MCC Musoma .

Warioba alikuwa na mawakili wakiongozwa na Wakili Josephat Rweyemamu na Wasira akiwa na Mawakili wakiongozwa na Wakili Mabere Nyaucho Marando.

Ilikuwa ni kesi nzuri sana iliyoendeshwa kitaalamu sana!
Nilimwona Joseph Sinde Warioba akiwasikiliza wanasheria wake wakipambana na Wakili Mabere Nyaucho Marando na Kila akiona Wakili Marando anawazamisha Mawakili wake alikuwa akiandika vimemo kuwasaidia!

Hapo ndo nilijua kuwa kumbe Joseph Sinde Warioba pia alikuwa Mwanasheria Nguli.

Katika kesi ile kuna mtu Maarufu sana aliibuka akiitwa Miyasi Chang'ang'a!
Umaarufu wake ulitokana na Cross examination aliyofanyiwa na Wakili Mabere Nyaucho Marando.

Kwahiyo Joseph Sinde Warioba aliziishi doctrines hizo mbili za Sheria kwamba;
1. Don't be an advocate on your own cause/case
2. Learn to listen from others

Tundu Lissu maneno meeeeengi na wakati mwingine anapoteza focus kabisa ; mara European Union is watching as if Tanzania ni colon la European Union ama inawajibika kwa European Union.
Sawa anatetea haki yake ambayo hata mimi simpingi lakini aache comedy na u- much know!!
Lissu yupo vizuri bhana kumsifia mtu kuwa yupo vizuri kwani utakufa waswahili bhana...
 
Ontario yupo jela kesi haina dhamana
Huyu mwenzake Daby wote watabaki kuunga unga

Wizi haufai walikula hela za watu dah
Ontario hata kumpandishia threads hamtaki, nyie wazayuni watu wabaya sana 😅!.
 
Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .

MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .

Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
Katika ardhi ya bongo, kama kuna watu walisoma fani zao wakaelewa,ni huyu jamaa, is, the best regal mind, of our time, mwingine alikuwa Prof Kabudi,Ila baada ya kulamba asali,huwa anawaza kwa kutumia tumbo na makalio,
 
Mtu mwenye akili level ya Lissu ni Jaji Warioba.

Kidoogo Wassira anakaribiakaribia.
Wengine ni average sana.
 
Serikali imekaa kitako ikalete kesi ili wahiairishe! Ulitegemea Lissu aseme nini ama atumie vifungu vipi Ili kesi isihairishwe?
Kwanini mshtaki uombe kuhairishwa kesi badala ya kutumia hoja zilizopo kutoa hukumu?
Kwanini msimnyonge afe?

Back
Top Bottom