Hii nayo ni element ya uchawa.Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
Huyo ni ndio wale askari wa doria mtandaoni 😀😀😀Mkuu JF wakupe special badge...sijawahi kukosa like yako hapa JF...kila uzi upo.
Good spirit.
Vilaza haki yao ni kupigwa tu mkuu na ndicho ambacho ccm wanakifanya best.Umenena vyema ila hata ungeingia kwenye cheni ya kuwapiga ni sawa tu , vilaza haki yao ni kupigwa tu mkuu
Kama mbowe alivotulia yule ndo mwenye akili sasa hana njaa ndo maana hata uenyekiti kauachia kiroho safi kabisa na hana shida ya kupanda panda majukwaani kupiga kelele kama kina lissu wenye njaaWenye akili wako huru, hawahitaji kupiga kelele ili wapate ugali wa kila siku. Wanatengeneza pesa kutumia akili hawahitaji kupigana ili wapate kula. Umeshasikia tajiri anahangaika mara jela, mara kupiga kelele kwenye majukwaa? Lissu ni kama hao wengine wanaoganga njaa majukwaani hakuna cha akili wala nini ni njaa tuu zinawasumbua.
Wewe mwanamke inaonekana una gubu sanaUna akili, wa kawaida sana sema anapenda show off hasa mbele za watu, wajinga wenzake km mleta mada anavyoona wenzake wanavyoongea kwa utulivu kwamba hawajui.
Kwahiyo yeye alikuwa anafanyaje huko forex mpk kuwa tapeliWewe utakuwa ndo walewale
Mimi navyojua matapeli huwa hawafanikiwi kwakuwa hizo pesa za laana usipoishia jela , usipoishia kujitibia magonjwa utaishia kufa masikini.
Mimi yupo mtoto wa Aunt alifanya hiyo Kazi na alikuwa anapiga picha yupo USA , yupo Dubai n.k anakula bata
Ila aliowatapeli Uganda walimtafuta kumuua Ila akimbilia Tanzania na sasa Kenya
Kaishia kuvuta bangi ,pombe na yupo na 30 yrs tu Ila ni wanted.
Kama sio rahisi Museven kumsaidia angekuwa ameuliwa
Kwa sasa amechanganikiwa akili
So acheni utapeli hauna faida utapata
Kwa Kibatala hata mimi nakubaliana nawe. Huyu ni Hazina kubwa kwa nchi.Duuuh...
Lissu anatukuzwa saana. Mmemsifu kukimbia na ashapapita kwake.
Kama ungesema Kibatala ni mwanasheria mzuri yes huyu nakubaliana na wewe. Lissu Jana alisema nini most of the time Kalia Lia... msianze kutukana maana nawajua.
Kibatala aachiwe kesi...
Kuna wakati namfikiria hata simwelewi.Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
Kabisa kama viongozi wa CCM walivyo kaziniUshabiki wa kipuuzi unaweza mdharau hata aliyekuzaa ukasema Lissu ana akili kuliko baba yako, watu wako kazini wanatafuta kazi wapate pesa kwa njia zao nyie mnakurupuka tu na kauli za kitoto.
Ana experience kubwa saana tofauti na Lissu.Kwa Kibatala hata mimi nakubaliana nawe. Huyu ni Hazina kubwa kwa nchi.
(Anajua kujenga hoja zenye mashiko bila jazba pia ni mvumilivu)
Hahaha......anayetukana vs anayeteka na kuua. Anaonekana anayetukana ndiye mwenyr madhara.....Afrika kuna shida sanaTatizo vijana wa upinzani hamuwezi kuhold conversation bila matusi wala false accusations.
Ila pia naelewa frustration mnazopitia.....you are too quick to judge...too quick to insult. Etc
Kwanini msikubali kuna watu wenye mitazamo tofauti na nyie?
Kwa hiyo mandela hakuwa na akili?Wenye akili wako huru, hawahitaji kupiga kelele ili wapate ugali wa kila siku. Wanatengeneza pesa kutumia akili hawahitaji kupigana ili wapate kula. Umeshasikia tajiri anahangaika mara jela, mara kupiga kelele kwenye majukwaa? Lissu ni kama hao wengine wanaoganga njaa majukwaani hakuna cha akili wala nini ni njaa tuu zinawasumbua.
Probably you might die before him and may The Almighty God afanye hivyoHe's now near to death he should fight himself for his success and that's why he doesn't believe anybody.
Wewe utakuwa ndo walewale
Mimi navyojua matapeli huwa hawafanikiwi kwakuwa hizo pesa za laana usipoishia jela , usipoishia kujitibia magonjwa utaishia kufa masikini.
Mimi yupo mtoto wa Aunt alifanya hiyo Kazi na alikuwa anapiga picha yupo USA , yupo Dubai n.k anakula bata
Ila aliowatapeli Uganda walimtafuta kumuua Ila akimbilia Tanzania na sasa Kenya
Kaishia kuvuta bangi ,pombe na yupo na 30 yrs tu Ila ni wanted.
Kama sio rahisi Museven kumsaidia angekuwa ameuliwa
Kwa sasa amechanganikiwa akili
So acheni utapeli hauna faida utapata
Wewe utakuwa mjinga na mpumbavu .Kama mbowe alivotulia yule ndo mwenye akili sasa hana njaa ndo maana hata uenyekiti kauachia kiroho safi kabisa na hana shida ya kupanda panda majukwaani kupiga kelele kama kina lissu wenye njaa
Mkuu mbona wewe ndio unaonekana umejaa njaa na chawa pro max?Wenye akili wako huru, hawahitaji kupiga kelele ili wapate ugali wa kila siku. Wanatengeneza pesa kutumia akili hawahitaji kupigana ili wapate kula. Umeshasikia tajiri anahangaika mara jela, mara kupiga kelele kwenye majukwaa? Lissu ni kama hao wengine wanaoganga njaa majukwaani hakuna cha akili wala nini ni njaa tuu zinawasumbua.